Mbwa wenu ni mvivu sana. Jana mchana walikuja majambazi kwa nyumba yenu. Mbwa wenu alikuwa kalala chini ya mti mbele ya nyumba. Alichofanya alifumbua jicho moja tu na akawaambia: Hivi nyie waizi mbona hamna akili. Mnakuja mchana wote huu wa saa sita mnadhani ni nani atakayewakimbiza wakati mi nimejipumzisha hapa!. Hebu ibeni haraka muondoke mkirudi usiku ndo nitawakimbiza!.