hahaaaa..hata mimi matangazo ya Mpesa yananikera sana ...tena ngoja niandike kwa herufi kubwa na ndogo kuonyesha msisitizo MaTAnGaZO Ya MPeSa YAnIkEraaAAAaaa sana...eti wanasema mpesa utapata pesa zako wakati wowote halafu ukitaka kwenda kutoa hela unakaaaa weeeeee....unasubiri meseji...mara uzunguke mji mzima kisa network inasumbua..mara hamna mtandao njoo badae...sasa na hapo ni mjini je hao wa porini!?? afu wanaposema mahali popote ...hata pasipokuwa na mtandao wao hivi unaweza pata huduma ya mpesa??maana kuna vijiji vingine ukienda huko unakuta ni zain tu au tigo tu voda hamna, haya huyo katni wa mpesa atafikaje huko..!!?? wananikera sana...!!