Kitty Galore
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 345
- 100
Ni kweli bongo matangazo hayani ubunifu kabisa sijui ni wateja kuwa wabahili au watengenezaji kukosa ubunifu..Ukiangalia channel za kihindi kuna matangazo mazuri hadi unatamani lirudiwe tena ufaidi..hapa bongo ni tofauti kabisa yani matangazo yakijinga na matangazo ya magodoro ndo yanaongoza kwa ubovu..!!
Heheehe yani yana kera haya matangazo kwakweli..!!Haaaa kuna lile la Magodoro kuna wale kina Mama.. wanavyoongea sasa lol.. kuna mmoja anasema kantangaze...
Jero jero! Jero jero! Jero jero!!
Hakuna tangazo ambalo lilanibia kama lile tangazo la magodoro gani sijui et jini ndio analeta. Yaan hakuna uhalisia wala mantiki yeyote. Zero kabisaaaa, et hilo nalo mtu alikaliza akili yake chini akabuni. Watanzania tumerogwaaa!!
Tangazo la kijinga sana.Jero jero! Jero jero! Jero jero!!
utadhani wanajifunza kuongea au wamebunda maji mdomoni.Haaaa kuna lile la Magodoro kuna wale kina Mama.. wanavyoongea sasa lol.. kuna mmoja anasema kantangaze...
Kuna tangazo la NHIF nimeliona leo yani hadi nimechoka,,hao watu waliowatumia kuigiza kama familia yani daahHakuna tangazo ambalo lilanibia kama lile tangazo la magodoro gani sijui et jini ndio analeta. Yaan hakuna uhalisia wala mantiki yeyote. Zero kabisaaaa, et hilo nalo mtu alikaliza akili yake chini akabuni. Watanzania tumerogwaaa!!
Jero jeroo jero jeroo,umechelewa toka nje,unakwenda wapi rudi kakae,hah hah King Majuto .Linaboa kuliko matangazo yote mnayorusha. Jaribuni kuwa creative. Yote ya magodoro na ivory sweets.
Inatusababisha baadhi yetu tuchukie products zenu