Kivipi natuma lawama media companies? You and I both know kwamba ni media platforms ndizo zinatumika na advertisers kufikia target markets! Na hizo media companies hizo ndo kazi zao na ndio source kuu ya mapato yao! Kwahiyo it's all about business, no offense! Kama rates zao ni kubwa possibly inatokana na gharama ambazo nao wanaingia!
"Unauliza, je ni sahihi kuifikia audience kwa style wanayotumia?" Kwa staili ipi hasa? Ikiwa kwa kutumia media especially tv + radio the answer is 101% YES! Hiyo ndiyo njia efficient zaidi kuliko nyingine yoyote ile! Western countries, siku hizi kuna significant shift from traditional advertising platforms like radio + tv to digital... kv use of social media! Kwa mazingira ya Tanzania, hiyo alternative haiwezi kuwa efficient... unaitumia tu as a part of promotional or marketing mix ili kuifikia cyber community! Unaweza kuifanya social media kuwa platform yako kuu endapo tu; umejiridhisha your target market ni social networkers!
Kwamba uweke Mawakala Vijijini; si tu kwamba hiyo ni completely ineffective and inefficient way ya kufikia target market like pia at the end of the day unaweza kukuta ni VERY EXPENSIVE compared to traditional means! Assume, a maximum 100 villages zinahitaji Wakala 50, One Agency kwa kila vijiji 2 zinazokugharibu 50 Million per month! The very same 50 Million ukizipeleka Radio Free Africa; matangazo yao yatafika kwa vijiji zaidi ya 5000! Sasa i wapi hapo rationale ya kutumia Mawakala?!
Hoja yako ya kwamba ikiwa yanataka kujidai ya kimataifa cjui unakusudia nini hasa! Hebu toa mfano wa tangazo moja na ueleze ni nini hasa hakikutakiwa kufanyika kwenye tangazo husika! Anyway, ngoja niweke hivi: Assume wewe ndo Head wa Marketing wa kampuni ya tangazo husika... ungefanya nini kinyume na kinachofanyika bila kuathiri lengo kuu la kwanza la kuifikia audience kubwa zaidi kwa kuzingatia your target market!