Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,554
- 2,160
Dhuh kumbe Lozi Chitara... LOL i thought Radio Tumaini???
halafu kuna sehemu wanasema "DAWASCO: TUTAKUFIKIA", hii kweli ni lugha ya kiabiashara jamani?
inamaana wanawatisha wateja ama vp?
kuna matangazo mengine jamani hayana kichwa wala miguu.