Matangazo: ubunifu hakuna?

Matangazo: ubunifu hakuna?

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2008
Posts
9,058
Reaction score
9,658
kuna tangazo moja la zain limefanywa na Kibonde ambalo naona ni wazi limekaa sana kimipasho yaani kuponda huduma ya mshindani wake. kwa nini wasiinadi bidhaa yao bila kutaja au kukosoa vya wenzao, sidhani kama ubunifu umeshuka kiasi hicho. hivi hakuna taratibu zinazosimamia haya matangazo?
 
...Nadhani hawajasikia wimbo wa zamani wa Mlimani Park Orchestre:

'uukimpenda msichana sema naye pole pole,
kamwe hakuna haja yakumkashifu kijana mwenzio kakaa, !
 
hivi wengine wanaosemwa na kibonde katika tangazo hilo (ambao kila mtu anawajua) hawawezi kuishtaki zain tume ya ushindani?
 
Back
Top Bottom