Matangazo ndiyo yanayoingizia radio husika kipato lakini yamekuwa mengi hadi yanakera

Shetemba

JF-Expert Member
Jan 20, 2018
883
889
Kwa kweli kuna baadhi ya vituo vya radio vina kero,maneno mawili tangazo, maneno mawili tangazo.matangazo ndiyo yanayoingizia radio husika kipato lakini yamekuwa mengi hadi yanakera,kuna hizi radio mbili ndio zinaongoza kwa matangazo na watangazaji wake kuchekacheka bila sababu.
 
Zitaje tu mkuu ili wajirekebishe
 
Mimi napenda sana kusikiliza matangazo, kwasababu hayo matangazo yanatoa fursa na ishu usizozifahamu
 
Inategemea na ustadi wa utoaji tangazo. Mfano clouds wao matangazo yao haya boi kwasabb yameandaliwa kwa kuvutia sana
 
Kuna sanaa ya kuandaa tangazo pia.mfano yale ya clouds tunakufungulia dunia,yamekaa kizazi sana.

Sio kama yale ya magodoro dodoma.
 
Back
Top Bottom