Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 16,653
- 21,854
Najua kuwa admin hana control dhidi ya matangazo yanayokuwa streamed hapa kutokea Google. Hata hivyo nadhani anaweza kufanya something kuzuia matangazo yanayoweza kuwa offensive kwa baadhi ya wanachama.
Binafsi ninajisikia uneasy sana JF inaponiwashia tangazo linalosema "Meet Tanzanian Women" likiambatana na picha za akina dada mbele ya watoto zangu wa kike na wa kiume.
Binafsi ninajisikia uneasy sana JF inaponiwashia tangazo linalosema "Meet Tanzanian Women" likiambatana na picha za akina dada mbele ya watoto zangu wa kike na wa kiume.