Matangazo JamiiForums

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
15,297
18,896
Najua kuwa admin hana control dhidi ya matangazo yanayokuwa streamed hapa kutokea Google. Hata hivyo nadhani anaweza kufanya something kuzuia matangazo yanayoweza kuwa offensive kwa baadhi ya wanachama.

Binafsi ninajisikia uneasy sana JF inaponiwashia tangazo linalosema "Meet Tanzanian Women" likiambatana na picha za akina dada mbele ya watoto zangu wa kike na wa kiume.
 
Tanzania Tanzania Tanzania,nakupenda kwa moyo wote..
Hivi kweliii??
 
Tanzania Tanzania Tanzania,nakupenda kwa moyo wote..
Hivi kweliii??

Hapana, maana ya tangazo hili siyo hiyo unayodhani; lingekuwa na maana tu kama lingesema Meet Tanzanian Singles. Kwa sasa linatoa message kuwa Tanzanian women ni commodities zinazotofutwa na watu mbalimbali; limekuwa skewed upande mbaya.
 
Mkuu Kichuguu nijuavyo mimi ni kuwa unapofungua page inayoendana na matangazo yale basi yanaonekana hayo.Mfano mimi kila nikifungua kule kwenye jukwaa la IT matangazo yoote huwa yanahusiana na IT tu.
 
Najua kuwa admin hana control dhidi ya matangazo yanayokuwa streamed hapa kutokea Google. Hata hivyo nadhani anaweza kufanya something kuzuia matangazo yanayoweza kuwa offensive kwa baadhi ya wanachama.

Binafsi ninajisikia uneasy sana JF inaponiwashia tangazo linalosema "Meet Tanzanian Women" likiambatana na picha za akina dada mbele ya watoto zangu wa kike na wa kiume.

Mkuu,

Naungana na wewe kwa hili.

Tena kama uko sehemu ya kazi watu wanaweza kudhani kuwa unakula vitafunwa mchana wa jua kali badala ya kufanya kazi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom