Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 119,017
- 221,624
Taarifa ya Nabii wa Mungu Godbless Lema, ambayo ameisambaza leo Duniani kote kwenye kuhamasisha maandamano ya amani huko Arusha, imewataka matajiri wote wa jiji hilo kushiriki maandamano hayo, kwa vile hata wao wamekumbwa na Ugumu wa maisha baada ya dola kutoweka, na huenda wakafirisika baada ya muda mfupi ujao.
Miezi 9 iliyopita dola 1mil ya US ilibadilishwa kwa 2.3 bil za madafu lakini sasa dola hizo hazipo na kwenye black Market dola 1mil sasa ni 2.9 bil ya madafu, amedai kwamba haifahamiki huko mbele mambo yatakuwaje, hivyo matajiri hawako salama na wanapaswa kushiriki maandamano kabla hawajafirisika rasmi.