Kijana una juhudi ya kuchangia kwa jazba hata kwenye kitu ambacho hukijui! Na ni wewe umeipotosha hii thread kwa makusudi au kwa ujinga.

Unaposema hakuna majina ya kiislamu unamaanisha nini? Unatoa mfano wa Abdallah.. unajua maana yake? Abdallah = Abd-Allah kwa Kiswahili ni Mja (mtumishi) wa Allah! Sidhani kama kuna mkristo anayemuabudu Allah..

Pia narudia tena, hii thread ilikuwa hailinganishi waislamu na wakristio juu ya kuwa na vyuo vikuu..Hilo halina ubishi TZ kuna vyuo vikuu vingi vinavyomilikiwa na taasisi za kikristo. Mada ilikuwa MATAJIRI wa kiislamu (wale wanaofadhili sana kwenye simba na yanga) Kwa nini hawajengi VYUO VIKUU? Wakati hili nalo halina ubishi, tulitoa challenge hapa kuwa sio matajri wa kislamu tu, hata wa kikristo TANZANIA hawafanyi hivyo..tutajie tajiri/matajiri wa kikristo WANAOMILIKI VYUO VIKUU TZ...........

Msilete ubishi wenu wa kiharakati hapa!