Matajiri wa Kiislamu Jengeni Vyuo Vikuu

Matajiri wa Kiislamu Jengeni Vyuo Vikuu

Status
Not open for further replies.

Pelekeni fikira zenu potofu huko kwenye jukwaa lenu.

Who do you think Karim Aga Khan is? Mbona kajenga shule nzuri ambazo watoto wa dini zote wanasoma na kupata elimu nzuri.
tatizo la kusoma sunday school hizo na skuli za st st st mitihani mnaletewa.

Hebu fikiria kwanini Zanzibar kuna vyuo vikuu vingi kwa percentage ukilinganisha na tanganyika?

Fikiria kwanza hapo kisha lete hoja yako.

1. St Augustine
2. Bishop Theophile Kisanji
3. Makumira
4. Tumaini
5. Nk
Haya muone huyu nae anashindwa hata kutofautisha kati ya kuanzishwa na Matajiri na kuendeshwa na taasisi za kidini. Hizo hapo juu zimeasisiwa na kuendeshwa na madhehebu ya Ki-kristo. Majina yanayojitokeza ni kuwaenzi waumini watajwa kwa michango yao katika dini husika.

Thank mkuu, nafikiri jamaa zetu hawapendi elimu.

Je umesoma kijitabu cha Dr Padre salvalon kinachoitwa KANISA KATOLIKI NA SIASA ZA TANZANIA BARA 1953- 1985.

Kisome kitabu hicho kisha lete hoja sio unakuwa mvivu wa kusoma historia halisi ya nchi yako.

Chuo kikuu cha tumaini Iringa, Dar, Secuco,Stefano Moshi ilitembezwa harambee ambapo kina Mengi, Mkapa, Sumaye walihudhuria kwenye baadhi ya hizo sherehe. Bakuli liitembezwa hata mimi nilichanga. KKKT Morogoro wanampango wa kujenga chuo kikuu na taasisi kubwa ya elimu, matajiri wa kikristo waiitwa walichanga.

Huu ndio Ukristo. Maendeleo kwa wote.

Je umesoma kijitabu cha Dr Padre salvalon kinachoitwa KANISA KATOLIKI NA SIASA ZA TANZANIA BARA 1953- 1985.

Kisome kitabu hicho kisha lete hoja sio unakuwa mvivu wa kusoma historia halisi ya nchi yako.

Kwahiyo mnajenga VYUO VIKUU, sio?

Je umesoma kijitabu cha Dr Padre salvalon kinachoitwa KANISA KATOLIKI NA SIASA ZA TANZANIA BARA 1953- 1985.

Kisome kitabu hicho kisha lete hoja sio unakuwa mvivu wa kusoma historia halisi ya nchi yako.

Mkuu, kwani ukisema Zanzibar unamaanisha UISLAM?

Jf ishaanzwa kupelekwa kichadema,na kikristo zaidi bado kidogo ukabila pia utavamia huku

tatizo la kusoma sunday school hizo na skuli za st st st mitihani mnaletewa.

Hebu fikiria kwanini Zanzibar kuna vyuo vikuu vingi kwa percentage ukilinganisha na tanganyika?

Fikiria kwanza hapo kisha lete hoja yako.

Tutolee hapa Uzanzibari wako.
Eti Tanganyika kuna mfumo kristu.
Wenzako huku tunaishi kwa mfumo wa kimaadili regardless of religion but people like you msiojuwa mnatoka wapi na utamaduni upi wa kufata basi mnatakaa mtuingize wote kwenye udini udini.

Woows, nafikiri umejifunza sasa.

Tanzania inamatajiri wengi sana wa Kiislamu ambao ni mashabiki wa vilabu vikubwa vya Simba na Yanga.

Matajiri hawa wa Kiislam wanauwezo wa kutoa dolari laki moja, mbili na zaidi ili watu waingie kwenye mtanange viwanjani .

Cha ajabu, mimi sijasikia hata mara moja Matajiri hawa wa Kiislam wakitoa dolari kujenga vyuo vikuu na au maospitali nk.

Hivi tatizo lipo wapi kwa matajiri wa Kiislam katika kuendeleza ummah? Mbona Matajiri wa Kikristo wapo mstari wa mbele kujenga vyuo na mahospitali.

Wanajamii tatizo ni nini kwa matajiri wa kiislam?

Mkuu hii mada imeenda shule.

Thanks

Terrorist mind hizi, kutegemea kusaidiwa kutoka nje. wakristo wanatumia fedha zao wenyewe kupata maendeleo unayoyaona. ingekuwa misaada inasaidi mbona Saudia inatoa misaada misikitini na sanasana inazidisha utekwaji tu wa misikiti?

................... Waanglikani waliambiwa wakikataa ushoga watanyimwa misaada, tunajua mnasamehewa kodi kwa biashara zote zinazofanywa na kanisa, ndio maana mlikuja juu misamaha ilipotaka kusitishwa. Cha mno mnauza unga kwa msaada wa serikali. Hatuja sahau kuna standing order ya nyie kulipwa pesa zetu za kodi kwa yale makubaliano yenu na serikali. Sasa mmelewa na mmeshiba, mnatapikia watu katka viatu !

Thank mkuu, nafikiri jamaa zetu hawapendi elimu.

............... elimu tunaipenda, ndio maana watoto wetu hupelekwa madrasa ..................... madrasa= darasa. Tatizo linakuja wakati mtu ameshasoma juzuu "30" kisha unamwambia akubali kuwa "MTU" ni ''MUNGU" ndio andikishwe shule inayosimamiwa na Mapadiri ! wapi na wapi !!

................... Waanglikani waliambiwa wakikataa ushoga watanyimwa misaada, tunajua mnasamehewa kodi kwa biashara zote zinazofanywa na kanisa, ndio maana mlikuja juu misamaha ilipotaka kusitishwa. Cha mno mnauza unga kwa msaada wa serikali. Hatuja sahau kuna standing order ya nyie kulipwa pesa zetu za kodi kwa yale makubaliano yenu na serikali. Sasa mmelewa na mmeshiba, mnatapikia watu katka viatu !
Ndio tunapewa misaada wewe unaona wivu wa nini?

........... Mgalatia mwenzio alisema wao wanachanga wenyewe tu, kama umekir ni vizuri, sie hatuna wivu, tatizo ujinga wetu unawanyima usingizi sijui kwa nini ? je mna mpango wa kutukatia kidogo hiyo misaada !?

................... Waanglikani waliambiwa wakikataa ushoga watanyimwa misaada, tunajua mnasamehewa kodi kwa biashara zote zinazofanywa na kanisa, ndio maana mlikuja juu misamaha ilipotaka kusitishwa. Cha mno mnauza unga kwa msaada wa serikali. Hatuja sahau kuna standing order ya nyie kulipwa pesa zetu za kodi kwa yale makubaliano yenu na serikali. Sasa mmelewa na mmeshiba, mnatapikia watu katka viatu !
acha kubwabwaja... umeambia kila mtu ni muanglikana hapa? huyu imam kalawiti .. je ndio tusema kuwa waislamu wote wamebaka? la hasha.. huyu ni yeye kama yeye na wala hana uhusiano na waislamu wote safi dunia nzima ..this apply to those mapadri also.. ila kama hutaki na mimi nitaconclude.. right? nadhani tunaenda sawa sasa
A Muslim worship leader is accused of raping a 12-year-old boy during visits to a mosque for religious lessons.
Mohammed Hanif Khan, 42, is alleged to have sexually assaulted the boy inside the Stoke on Trent mosque where he worked as the imam.
He is also charged with the attempted rape of and sexual activity with the boy's cousin, who was 15 at the time, as he stayed over at his home one evening.

Khan, who appeared in front of Nottingham Crown Court yesterday wearing a black suit, white shirt and red tie, spoke only to confirm his name and to enter not guilty pleas to all eight charges against him.

Mohammed Hanif Khan in the Stoke on Trent mosque where he worked as imam. He is alleged to have sexually assaulted a 12-year-old boy inside the mosque. He denies all the charges against him Khan, from Sheffield, is charged with three counts of rape, four counts of attempted rape and one count of sexual activity with a child, all of which are alleged to have taken place on various dates.
article-1346514-0CBC7C3A000005DC-716_468x682.jpg
Mohammed Hanif Khan in the Stoke on Trent mosque where he worked as imam. He is alleged to have sexually assaulted a 12-year-old boy inside the mosque. He denies all the charges against him

Read more: http://www.dailymail.co.uk/news/arti...#ixzz1TszU8Gu3
Source: Muslim leader 'raped young boy as he attended mosque for religious lessons' | Mail Online

Hili ni suala la vipaumbele tu!! mbona hata Matajiri wa ki-Kristu ni wavivu sana wa kuoa wake wengi? Badala ya pesa zao kuzitumia kuoa ili kupunguza tatizo la wanawake kutokuwa na waume wao wanazipeleka kujengea vyuo.

ipo cku hz kebehi tunazokebehiana ztakwishwa maana uvimilivu unatushinda........

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom