Matajiri wa Kiislamu Jengeni Vyuo Vikuu

Status
Not open for further replies.
haijakaa vizuri hiyo kaka, utaleta udadisi mwingi kwa htread yako. Kwa ujumla waislamu wanatakiwa kubadilika. Mara zote kaka wanatoka nyuma. Redio, seminaries etc... Sijui kama hata wana Tv kwa sasa, lakini madhehebu mengine yameshapita huko. Binafsi nadhani kuna haja ya kuangalia usomi pia katika kupata viongozi.

Nilikuwa napita tu!!!!!!!!!!!!

Huko ni kupita au unafik wa kike??

acha kubwabwaja... umeambia kila mtu ni muanglikana hapa? huyu imam kalawiti .. je ndio tusema kuwa waislamu wote wamebaka? la hasha.. huyu ni yeye kama yeye na wala hana uhusiano na waislamu wote safi dunia nzima ..this apply to those mapadri also.. ila kama hutaki na mimi nitaconclude.. right? nadhani tunaenda sawa sasa

Unajua maana ya charges we jamaa?? Au hasira zimekupunguzia uwezo kwa kutafakari?

................... Waanglikani waliambiwa wakikataa ushoga watanyimwa misaada, tunajua mnasamehewa kodi kwa biashara zote zinazofanywa na kanisa, ndio maana mlikuja juu misamaha ilipotaka kusitishwa. Cha mno mnauza unga kwa msaada wa serikali. Hatuja sahau kuna standing order ya nyie kulipwa pesa zetu za kodi kwa yale makubaliano yenu na serikali. Sasa mmelewa na mmeshiba, mnatapikia watu katka viatu !

kwenye kahawa na tende kuna kodi kweli

........... Mgalatia mwenzio alisema wao wanachanga wenyewe tu, kama umekir ni vizuri, sie hatuna wivu, tatizo ujinga wetu unawanyima usingizi sijui kwa nini ? je mna mpango wa kutukatia kidogo hiyo misaada !?

Tende zinapatikana wapi Sheikh wangu?

jengeni vyuo wenzetu la sivyo mtabaki mkisema oh mfumo wa kikristo, mara wakatoliki, upendeleo, sijui wezi.... Nyerere mtu wa haki kashakufa sasa mwenye nguvu mpishe ubepari kama kawa haya

Kweli jamani sisi Makatonta Wagalatia tunapewa sana misaada kutoka ulaya.

Mimi ni mchungaji najuwa kinachoendele wagalatia wenzangu, tusijitape ndugu zangu

hivi mmesahau ! Agakhan ! ni moja ya sects katika uislamu! dhehebu la Ismaili .... wale wana projects ngapi Africa mashariki na kati,. Aga Khan - Wikipedia, the free encyclopedia

mi nikisema akili za baadhi ya wakristu 10 humu Jf ni sawa na akili ya muislam 1 mnabisha ...

1) Mnataka mfano wa shule ipo Agakhan mzizima .... 1st priority ni waislam.. then mnafata nyie wengine (makafiri)

- Almuntazir Islamic seminary ipo upanga mara ngapi inatoa hadi top 10 ndani ya TZN , bahati nzuri nilisoma mimi pale

- Kuna feza boys ... 1st priority ni watoto wa kiislam 70 % ya wanafunzi wa kiislam

2) mnataka chuo kikuu Agakhan hospitali ni chuo ingawa wameanza kwa unesi... InshaAllah watakuja kuto B.A siku moja

3) Unataka vyuo vya ufundi vya kiislam... nenda Africa muslims agency Tabata pale

BTW weye uliyeliza hili swali jiulize weye mwenyewe .. sidhani kuna mkristo as individual ( siyo NGO, Mashirika) .. ametoa pesa yake eti kajenga chuo .. nipe jina la huyo mkristu!

Kweli jamani sisi Makatonta Wagalatia tunapewa sana misaada kutoka ulaya.

Mimi ni mchungaji najuwa kinachoendele wagalatia wenzangu, tusijitape ndugu zangu

Kosa lipo wapi ukipewa msaada? Kosa lipo wapi tukimsifu Yesu aliye hai? Wewe kweli ni Mchungaji weye?

hivi mmesahau ! Agakhan ! ni moja ya sects katika uislamu! dhehebu la Ismaili .... wale wana projects ngapi Africa mashariki na kati,. Aga Khan - Wikipedia, the free encyclopedia

mi nikisema akili za baadhi ya wakristu 10 humu Jf ni sawa na akili ya muislam 1 mnabisha ...

1) Mnataka mfano wa shule ipo Agakhan mzizima .... 1st priority ni waislam.. then mnafata nyie wengine (makafiri)

- Almuntazir Islamic seminary ipo upanga mara ngapi inatoa hadi top 10 ndani ya TZN , bahati nzuri nilisoma mimi pale

- Kuna feza boys ... 1st priority ni watoto wa kiislam 70 % ya wanafunzi wa kiislam

2) mnataka chuo kikuu Agakhan hospitali ni chuo ingawa wameanza kwa unesi... InshaAllah watakuja kuto B.A siku moja

3) Unataka vyuo vya ufundi vya kiislam... nenda Africa muslims agency Tabata pale

BTW weye uliyeliza hili swali jiulize weye mwenyewe .. sidhani kuna mkristo as individual ( siyo NGO, Mashirika) .. ametoa pesa yake eti kajenga chuo .. nipe jina la huyo mkristu!

Wapi chuo kikuu weye,

bahati mbaya Quran yetu haina ayats kama hizi za kumlazimisha mwanamke aliyebakwa alolewe na mbakaji

Kumbukumbu la Torati 22 28- 29

na ayats kama hizi za kubaka wanawake kwenye vita ....

huwezi ukakuta kwenye quran uchafu kama huo hapo juu!

Lakini ina ayati za kukiri kuwa mtu wenu alikuwa anabaka sio? Kaazi kweli kweli. Hivi unajuwa nani alikuwa mlengwa kwenye hiyo Deuteronomy? Naona umekurupuka weye.

Dr. Kairuki University Mikocheni Dar
Mwenge University - Moshi
Ruaha University Iringa -
Ruaha Medical University Iringa
St. Joseph University college - Dar
St. John University - Dodoma
St. Mary's University Rwakater's - Dar
Bugando University - Mwanza
St. Augustine Dar msimbazi
St. Augustine Songea
St. Joseph College - Songea
St. Augustine University - Tabora
Through SADAKA/ZAKHA Also plans in Rukwa, Dodoma, Vikindu Dar etc.

Tanzania inamatajiri wengi sana wa Kiislamu ambao ni mashabiki wa vilabu vikubwa vya Simba na Yanga.

Matajiri hawa wa Kiislam wanauwezo wa kutoa dolari laki moja, mbili na zaidi ili watu waingie kwenye mtanange viwanjani .

Cha ajabu, mimi sijasikia hata mara moja Matajiri hawa wa Kiislam wakitoa dolari kujenga vyuo vikuu na au maospitali nk.

Hivi tatizo lipo wapi kwa matajiri wa Kiislam katika kuendeleza ummah? Mbona Matajiri wa Kikristo wapo mstari wa mbele kujenga vyuo na mahospitali.

Wanajamii tatizo ni nini kwa matajiri wa kiislam?

Hivi unazungumzia matajiri wa kiislam au matajiri wenye majina ya kiislamu? Unawajua wewe matajiri wa kiislamu? Tupe orodha yao hapa na uthibitisho kuwa ni matajiri wa kiislam. Take care unaweza kujikuta Freeman sons unawaita matajiri wa kiislamu. Hata hao unaoweza kufikiri ni matajiri wa kikristu lakini ukifuatilia sifa zao si wakristu.

All in all naomba tuipunguze hii mijadala ambayo inawaleta watu ambao hawaitakii mema nchi yetu kwa kuendeleza maneno ya uchocheza ambao yanatutoa nje ya lengo ambalo ni kudai uhuru mpya wa nchi yetu badala yake tunaendelea kuwanufaisha watawala madhalimu ambao wananufaika na migawanyiko kama hii!

Mkuu, hivi neno MATAJIRI WA KIISLAM linahitaji msaada wa kuelewa?

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom