Hii mada huwa sipendi kabisa kuianzisha au kuchangia kwa sababu ni kama vile ndiyo inahamasisha ushoga lakini kuna engo moja hivi kwa muda mrefu kila nikisoma nyuzi za namna hii sijawahi kuona wakitaja suala la utajiri kama chanzo cha ushoga kwa sasa! Nimeona niwasanue ili watu wasiingie katika mtego huo!
Mara kadhaa nimekaa na Ma Gen Z vijiweni wakiwazungumzia matajiri ambao wamekuwa wakifanya makafara ya ushoga.
Katika hili vijana hao wanasema kuna namna mbili:
1. Wapo matajiri ambao huwalipa watu wawatindue na ukithubutu kufanya hivyo basi wewe utakufa maskini maisha yako yote mana nyota inahamia kwake. Sasa kadri anavyotinduliwa ndivyo anavyotajirika. Wale vijana wanakiri wameishawahi kulipwa na matajiri wawatindue!
2. Namna nyingine ni kuwatindua wengine ili kuwachukulia nyota.
Kwa mujibu wa wale vijana, kafara la kutinduliwa ndilo lina pesa nyingi kuliko kutindua!