dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 25,466
- 58,120
Sio kazi yangu ila narudia tena hujaelewa nilichoandika.Kwamba sijui kusoma kiswahili?
Sio kazi yangu ila narudia tena hujaelewa nilichoandika.Kwamba sijui kusoma kiswahili?
Kama awajipendi waigize jeshi waone motoAngalau kwa mujibu wa hiyo habari naona jeshi la Malaysia kidogo limetamka kitu chenye mashiko; liko tayari kuingilia kijeshi kuukomboa Jerusalem. Hawa angalau nimewaelwa sio hao wengine debe tupu.
Wamepata kwanza ndege yaoMaajabu kabisa Mkuu! Kutamka ni jambo moja na kutenda ni jambo jengine. Vijamaa vimeamua kutumia hii nafasi kujipa promo; eti jeshi la Malaysia kuukomboa Jerusalem toka mikononi mwa US na Israel! Ajabu jipya la dunia liko njiani linakuja.
Sio yao bali zao. Kuna ile iliyopotea kimaajabu na ile iliyodunguliwa na warusi. Anyway, naona wanataka washikamane na wenzao katika kamba ya mola kama dini inavyoagiza.Wamepata kwanza ndege yao
Asante kwa taarifa mkuu.Waziri wa mambo ya nje wa Lebanon ameyaomba mataifa ya Kiarabu kuiwekea vikwazo vya kiuchumi Marekani kama njia ya kulipiza kisasi kwa kitendo cha Rais wa nchi hiyo Donald Trump kuitambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel,huku akiahidi kuuhamisha ubalozi wa nchi yake kwenye mji huo (Jerusalem).
Waziri wa mambo ya nje wa Lebanon Gebran Bassil,ameyasema hayo katika kikao cha dharula huko Cairo nchini Misri.
Bwana Bassil ameyataka mataifa ya mashariki ya Kati kuiwekea vikwazo vya kisiasa,kiuchumi na kifedha Marekani.
RT
Huku hayo yakiendelea kuna taarifa zinaeleza kwamba jeshi la Malaysia limesema kwamba lipo tayari kuiingilia kijeshi na kuikomboa Jerusalem.
YAhoo Singapore News
Si wapeleke jeshi urusi kulipiza tatizo warabu uwa wanajitafutia matatizo wenyewe Israel pekee yake ata wajikusanye warabu wote watapigwa tu sasa na mmarekani na yeye yupo nyuma tutaona warabu wakifa kwa wingi yani ata awajiugezi 67 Israel ilikuwa taifa changa ila iliwafanyia matusi warabu wote na nguvu zao leo hii wamekoma hiv watafanyiwa dhambiSio yao bali zao. Kuna ile iliyopotea kimaajabu na ile iliyodunguliwa na warusi. Anyway, naona wanataka washikamane na wenzao katika kamba ya mola kama dini inavyoagiza.
Wakati hadi mkaa wana-import kutoka Tanganyika!
Au Kiluvya UNITED FC kuiwekea vikwazo TFF!Ni sawa na Zanzibar kuiwekea Vikwazo Tanzania!
Au Msondo ngoma kuiwekea Vikwazo Basata
Tatzo watu weng hawajui who are behind these jews,..hata ile vita ya kimaajab ya 67 watu hawaelew ilikuaje,..matajir wa dunia hii wakubwa wote ni jews,kina rothschild na tockerfela,ambao ndo kings of wars,wanao finance vita zote dunian na mipango mkakat,sasa hawa waliamua kurud kwao,yaan motherland miaka hyo ya 60,ndo walipowakuta waarab kwenye ardh yao,so they had to fight for their land.sasa hawa matajir ndo waliiunda pia the USA,na ndo hawa waliovunja USSR,.na ndo hawa walikuja colonise africa,sasa ni mambo meng ambayo ukiyaangalia ni makubwa zaid ya watu wajuavyo,wanabak kusema ohh USA is behind israel etcSi wapeleke jeshi urusi kulipiza tatizo warabu uwa wanajitafutia matatizo wenyewe Israel pekee yake ata wajikusanye warabu wote watapigwa tu sasa na mmarekani na yeye yupo nyuma tutaona warabu wakifa kwa wingi yani ata awajiugezi 67 Israel ilikuwa taifa changa ila iliwafanyia matusi warabu wote na nguvu zao leo hii wamekoma hiv watafanyiwa dhambi
Waarabu wanachekeshaDuh! Ha ha ha! Naona kundi la mapaka-shume 20 wakiungana kupambana na simba. May be this time watafanikiwa ukizingatia Kiduku naye kishatoa neno kulaani; Iran naye na sera yake ya kuifuta Israel katika uso wa dunia. Sie akina panya tukae tu mkao wa "kuliwa" tuangalie upepo unavyovuma; whether is in our favor or against.
Kaa kando ya kaburi la ndugu yako aliye kufa umsubiri Arudi kwanza gonga gonga kwenye kaburi lake kumfanya ajuwe una msubiri awahi kuamka!!Jerusalem ni mji atakaokaa mfalme wetu Kristo atakaporejea