Russia na Pakistan na india hawaamiki
Hata Iran, aliemtandika America na msenge wake Israeli mpaka wakaomba poo.Wote waoga
Vp ukrein sio mzungu au hapo hawajasalitiana vp kutaifisha mali za warusi ulaya sio kusalitianaKatika huo mkutano wakumbe jambo moja tu, Russia ni Mzungu, Russian ni WAZUNGU. Hao wengine ni brown people, not whites. Wazungu hawajawahi kisaritiana. Nimefanya nao kazi over 25 years now; nawajua
I knew somebody could come in thus way, I pretended as if I don't know about what you mentioned. Nitakukumbusha pia hata Marekani kawahi kuifirisi Ufaransa baada ya Ufaransa kukataa kumuunga mkono kwa vita yake na Iraq ya bwana Saddam Hussein. Anyways, to make the story short, this is what I meant. Kama kuna mgogoro wa wazungu kwa wazungu, then tambua kwamba hao ni ndugu, watajuana wenyewe. But kukiwa na mgogoro kati ya mzungu na mtu/taifa la race nyingine and then wewe uka assume eti una urafiki na mzungu eti atakusaidia against mzungu yule ambaye ni adui yako then you are kidding yourself. Waulize Msumbiji na Angola wakati wa vita vyao na waasi ambao walikua supported na makaburu wa SA those years, Msumbiji na Angola (of course na Tanzania) tulikua tunasapotiwa na Russia, baadhi ya Wanajeshi waliopigana vita zile from Tanzania bado wapo HAI, ask them but katafute how did Samola Machel the former Mozambique president was dead.Vp ukrein sio mzungu au hapo hawajasalitiana vp kutaifisha mali za warusi ulaya sio kusalitiana
I knew somebody could come in this way, I pretended as if I don't know about what you mentioned. Nitakukumbusha pia hata Marekani kawahi kuifirisi Ufaransa baada ya Ufaransa kukataa kumuunga mkono kwa vita yake na Iraq ya bwana Saddam Hussein. Anyways, to make the story short, this is what I meant. Kama kuna mgogoro wa wazungu kwa wazungu, then tambua kwamba hao ni ndugu, watajuana wenyewe. But kukiwa na mgogoro kati ya mzungu na mtu/taifa la race nyingine and then wewe uka assume eti una urafiki na mzungu eti atakusaidia against mzungu yule ambaye ni adui yako then you are kidding yourself. Waulize Msumbiji na Angola wakati wa vita vyao na waasi ambao walikua supported na makaburu wa SA those years, Msumbiji na Angola (of course na Tanzania) tulikua tunasapotiwa na Russia, baadhi ya Wanajeshi waliopigana vita zile from Tanzania bado wapo HAI, ask them but katafute how did Samola Machel the former Mozambique president was dead.Vp ukrein sio mzungu au hapo hawajasalitiana vp kutaifisha mali za warusi ulaya sio kusalitiana
Wazungu hawajawahi salitiana kuanzia lini?..maana hitler alikua na makubaliano na soviet hakuna kushambuliana,alipoziteka poland, belgium,france etc akawageukia sovietKatika huo mkutano wakumbe jambo moja tu, Russia ni Mzungu, Russian ni WAZUNGU. Hao wengine ni brown people, not whites. Wazungu hawajawahi kusalitiana. Nimefanya nao kazi over 25 years now; nawajua
Sawa mremboWazungu hawajawahi salitiana kuanzia lini?..maana hitler alikua na makubaliano na soviet hakuna kushambuliana,alipoziteka poland, belgium,france etc akawageukia soviet
Nato na west wote wanamsaidia ukraine,huko Sahel urusi kasaidia wazungu kutunguliwa,cold war,urusi ana vikwazo kibao vya wazungu wenzie
Hawana madhara lakini Trump alimwambia zelenky anataka kuanzisha vita ya 3 ya dunia ambayo yeye hana card alikuwa anamaanisha mwenye card ni nani? America tu? Nafkiri Trump alikuwa na uwoga kwa China na Russia ndio ambao wanakutana na mnyama aliyemuhenyeha Netanyahu kwa siku 12Hawana madhara
Unajua maana ya faragha!??Kama kweli ni faragha ..
We umejuaje 🤔😂