extraordinary cyb
Member
- Jun 30, 2025
- 80
- 88
We umepata wapi hizi taarifa 😎Unajua maana ya faragha!??
Faragha ipo sehemu ya kukutana na mazungumzo ya kuongelewa.
We umepata wapi hizi taarifa 😎Unajua maana ya faragha!??
Faragha ipo sehemu ya kukutana na mazungumzo ya kuongelewa.
Unaelewa maana ya faragha mkuu!?We umepata wapi hizi taarifa 😎
😁😁Nadhani wanamjadili samia alivyo na roho mbaya