Matahila bwana

Idd hashim

Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
79
Reaction score
17
Mataila wawili wa mirembe walipanga kutoroka kambini ,walipanga wakifika getini wamuue mlinzi sasa walipofika pale wakakuta mlinzi hayupo wakasema kwa huzuni loooh! Mlinzi hayupo safari yetu imekwisha haribika turudi!
 
Poleni sana,next time kabla hamjaenda mpange kabisa kama hayupo mtafanya nini
 
hii posti ihamishie kwenye "ziliwahi kufunika hapa janvini"
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…