Maswali yanayonitatiza! Naomba msaada wenu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maswali yanayonitatiza! Naomba msaada wenu!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Pape, Jul 10, 2010.

 1. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  1. How can animals find their way back home?
  2. What if animals could plan, reflect and cheat?
  3. Do animals lie or feel guilty?
  4. Are there other species in mamals/animals practising same sex relationship (Gays/lesbian).i.e Je kuna wanyama wengine zzaidi ya binadamu ambao ni mashoga na wasagaji(added by mtazamaji)
   
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  You mean animals other than homo sapiens?
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  yes they do
   
 4. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Uumm how Preta? I need more information please!
   
 5. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Exactly!:mad:
   
 6. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Naomba niongezee swali ambalo nimekuwa najiuliza siku nyingi

  4. Are there other species in mamals/animals practising same sex relationship( Gays/lesbian).i.e Je kuna wanyama wengine zzaidi ya binadamu ambao ni mashoga na wasagaji
   
 7. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  hii kiboko! lol:A S-eek:
   
 8. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #8
  Jul 11, 2010
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Hayo maswali sidhali kama kuna mtu anaweza kuyajibu, labda hilo la mwisho.

  Inabidi uwe ushawahi kuwa "mnyama" ndio utaweza kujibu.

  Hata wanyama wana maswali mengi sana juu ya binadamu, ila hawana majibu sababu hawajawahi kuwa binadamu, and never will they understand how it feels to be a human being.
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Jul 11, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  tazameni toyota world of wildlife...........
  kuna majibu
   
 10. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #10
  Jul 11, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Wanyama wanatumia zaidi milango ya fahamu katika kuishi kwao, na hasa mnuso (smell). Ukimchukua kwa mfano mbwa ukaenda naye kwa miguu hata km. 20, halafu ukamtoroka, mbwa yule atarudi nyumbani. Atatumia zaidi harufu - atapita sehemu zile mlizopita mpaka atafika nyumbani.
  Wanyama hawaplani kama mwanadamu katika maisha yao lakini wana kitu kinaitwa silika (instinct). Hii inawasaidia kuitikia hali mbalimbali wanazokumbana nazo. Kumbe hawawezi kupanga mipango ya baadaye (yaaani ya kuja kutekeleza kwa mfano kesho) - kama afanyavyo binadamu kwani hawana akili na utashi. Kutafakari pia hawawezi. Ila kuna aina fulani ya kumbukumbu (inayojificha katika milango ya fahamu ya wanyama) ambayo kwa mazingira fulani inaweza kumfanya ku-react kwa namna inayotegemewa. kwa mfano, mbwa ukimpiga, anabaki na identity ya ubaya (uadui) wako kwa njia ya harufu yako. Kumbe akikuona siku nyingine, ile harufu ya wewe akishainusa mara moja anahisi kwamba wewe ndo yule uliyempiga au kumtendea ubaya. Na mara ata-react negatively dhidi yako au kwa kubweka, au kukushambulia.
  Wanyama wanaweza ku-lie instinctively siyo rationally. Mfano, mdudu aitwaye kifa-uongo au hata kobe. Kifa-uongo ukimgusa anakauka kabisa kana kwamba amekufa (anadanyanya - mzima sana tu). Hii ndo namna yake ya kujilinda. Lakini hafanyi hivyo kwa kutumia akili, bali silika. Vivyo hivyo kobe, ukimshambulia anaficha kichwa kwenye gamba na kukauka kana kwamba ni mfu kumbe anajihami.
  Nadharia ya ku-cheat ina presuppose uwepo wa ujuzi, utashi na uamuzi. Mnyama hawezi ku-che
   
 11. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #11
  Jul 11, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  From my experience there are animals which feel guilty! A dog is an example. Nitawapa kisa changu kimoja:
  Nikiwa mdogo around 6 years old, tulikuwa na mbwa nyumbani. Huyu mbwa alikuwa ni rafiki yangu sana, nilikuwa naenda naye kuchunga na kokote nitakakoenda, akishaona sina kampani lazima anifuate. Sasa one day nilikuwa nacheza naye, nikawa namziba midomo. Akawa anashindwa kupumua, basi akiona nafanya hivyo alikuwa anaondoka pale nilipo. Mimi nikawa namfuata, nakwenda kumziba tena kwa kuwa nilikuwa nafurahia anavyohangaika. Baada ya uvumilivu kumshinda alining'ata kwenye mkono. Basi nikaanza kulia.
  Huwa ninakumbuka yule mbwa alivyokuwa anahangaika kunibembeleza na hata kujaribu kuparua mkono alioniuma, huku akilalamika. Ujue nilianza kumwonea huruma japo amening'ata. Kufika home yule mbwa akawa anawaogopa wazee, akajua watampiga, kwahiyo akawa anakaa mbali kabisa. Nikitoka tu ndani, ananifuata anaanza tena kuninung'unikia. Hadi leo huwa naikumbuka ile hali. Mbwa anafeel gulty sana pengine kumshinda binadamu.
   
 12. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #12
  Jul 11, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Asanteni wakuu kwa hizi nondo; ni nzito sana!
   
 13. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #13
  Jul 12, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Lakini mkuu kwa wenzetu waliondelea hivi sasa haki za wanyama kwao zinzidi hata haki za binadamu huku kwetu(afrika). wana fund research nyingi za tabia za wanyama/wadudu mbali mbali.

  Once Niliona kipindi cha BBC kuna mtaalamu anafanya research ya take off /landing ya inzi. teh teh teh .so sidhani mpaka uwe mnyama ndo uweze kuyajibu haya. Huko kwa waliotutangulia wanaweza kuwa na majibu
   
 14. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #14
  Jul 12, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,642
  Likes Received: 2,876
  Trophy Points: 280
  Tunaomba utupe majibu kutokana na wewe kuwa mtazamaji wa toyota world of wildlife.
   
Loading...