Jiulize swali dogo tu likusaidie; Tibaijuka kafukuzwa au kaachishwa kazi? Mbona bado ni MBUNGE na mshahara anao?Kama Waziri si mtumishi wa umma,nani anamlipa mshahara na marupurupu mengine na anafanya kazi ya nani na kwa nn?Je Katibu mkuu anapatikana vipi?
BOT iliteuliwa kuzitunza pesa hizi wakati wote wa mgogoro. Zingeweza zikatunziwa kwingine.Oooh nimekusoma sasa,Kumbe IPTL wana account BOT-imetulia hii mkuu
Hujanijibu mkuu.Mgogoro kati ya wanahisa wa IPTL-watu binafisi serikali imeingiaje hapa?
Umesahau,na Je Tibaijuka amesitishiwa Uwaziri kwa makosa yapiMniwie radhi kwa kuuliza. Nauliza kwa mara ya mwisho. Sitauliza tena. Nitabaki kimya hata kisemwe au kifanywe niní. Sitauliza tena juu ya Escrow. Nitasubiria tu kashfa za bomba la gesi na sukari. Basi.
Kwakuwa tumeambiwa na Rais kuwa mabilioni yaliyokuwemo Escrow yote yalikuwa ya IPTL. Na kwakuwa tumeambiwa na kuaminishwa na Rais kuwa mabilioni ya Escrow yalilipwa au kupewa mwenyewe ambaye ni IPTL.
Na kwakuwa mwenye mabilioni,IPTL,amechukua chake kiutaratibu na Serikali ilijua. Je,uchunguzi na hatua zinazoendelea kuchukuliwa hivi sasa zinalenga niní? Wanaochunguzwa wanachunguzwa kwa makosa yapi hasa?
Hata nisipojibiwa,nitaridhika kama mwafrika!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Kwa kweli Rais wetu kaonyesha ukomavu unaotakiwa kwenye nafasi ile. Kaamua, tusubiri bunge wakikutana watasemaje. Ni mapema mno kuhukumu.Vipi Kuhusu Rais?yeye ni sehemu ya bunge na ametofautiana nalo-katiba inasemaje juu ya hili?
Hakika hili ndilo lilikuwa jibu la awali la Prof Muhongo na mwenzake Maswi kuwa escrow ilikuwa ni zao la ugo vi kati ya wana hisa. Baada ya ukaguzi jibu likajulikana kuwa ni malalamiko kati ya Tanesco na IPTL. Sasa hoja ikawa fedha zi za umma kwa sababu zilikuwa ni za kulipia gharama za umeme!Ziliwekwa kule kwa muda kwa kuwa kulikuwa na kesi kati wanahisa wa IPTL.Zikawekwa kwenye akaunti ya ESCROW ambayo hakuna mwenye hisa yeyote angeweza kuchukua hadi kesi imalizike.Zingewekwa akaunti ya IPTL mwanahisa yeyote angeweza amka asubuhi na kuzitoa pesa zote ndio maana zikawekwa kwenye ESCROW ACCOUNT.
Umesahau,na Je Tibaijuka amesitishiwa Uwaziri kwa makosa yapi
Sawa Mama Miraji na Mama Salama JK.
Mmeeleweka
Maazimio haya yalifikiwa na Bunge(Wananchi) kwa kuamini/kujua kuwa pesa zile zilikuwa ni za Umma.Kwa Kuwa mkuu wa nchi amethibitisha kuwa pesa zile hazikuwa za umma,Mapendekezo yale yalitakiwa yawe yamejifuta yenyewe.Kuendelea kuchunguza tuhuma hewa ni ufisadi mwingine
Mniwie radhi kwa kuuliza. Nauliza kwa mara ya mwisho. Sitauliza tena. Nitabaki kimya hata kisemwe au kifanywe niní. Sitauliza tena juu ya Escrow. Nitasubiria tu kashfa za bomba la gesi na sukari. Basi.
Kwakuwa tumeambiwa na Rais kuwa mabilioni yaliyokuwemo Escrow yote yalikuwa ya IPTL. Na kwakuwa tumeambiwa na kuaminishwa na Rais kuwa mabilioni ya Escrow yalilipwa au kupewa mwenyewe ambaye ni IPTL.
Na kwakuwa mwenye mabilioni,IPTL,amechukua chake kiutaratibu na Serikali ilijua. Je,uchunguzi na hatua zinazoendelea kuchukuliwa hivi sasa zinalenga niní? Wanaochunguzwa wanachunguzwa kwa makosa yapi hasa?
Hata nisipojibiwa,nitaridhika kama mwafrika!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Hakika hili ndilo lilikuwa jibu la awali la Prof Muhongo na mwenzake Maswi kuwa escrow ilikuwa ni zao la ugo vi kati ya wana hisa. Baada ya ukaguzi jibu likajulikana kuwa ni malalamiko kati ya Tanesco na IPTL. Sasa hoja ikawa fedha zi za umma kwa sababu zilikuwa ni za kulipia gharama za umeme!
Shidaaa umekaririshwa, azimio azimo .
Wewe umesema hili swali mlishajibu sasa mlijibu kama nani au wewe FaizaFoxy ni bunge au serikali au wewe ndiyo Rais wa nchi hii?
mkuu tupatupa uliadi utakuja na majibu ya wale wazee wa dar mbona kimya au uliwapa majibu wazee sisi hatutakiwi kujua?
Mniwie radhi kwa kuuliza. Nauliza kwa mara ya mwisho. Sitauliza tena. Nitabaki kimya hata kisemwe au kifanywe niní. Sitauliza tena juu ya Escrow. Nitasubiria tu kashfa za bomba la gesi na sukari. Basi.
Kwakuwa tumeambiwa na Rais kuwa mabilioni yaliyokuwemo Escrow yote yalikuwa ya IPTL. Na kwakuwa tumeambiwa na kuaminishwa na Rais kuwa mabilioni ya Escrow yalilipwa au kupewa mwenyewe ambaye ni IPTL.
Na kwakuwa mwenye mabilioni,IPTL,amechukua chake kiutaratibu na Serikali ilijua. Je,uchunguzi na hatua zinazoendelea kuchukuliwa hivi sasa zinalenga niní? Wanaochunguzwa wanachunguzwa kwa makosa yapi hasa?
Hata nisipojibiwa,nitaridhika kama mwafrika!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Kwa maana ya kazi ya uwaziri au?ua unamaanisha kazi ya ubunge ni sawasawa na kazi ya Uwaziri?Mkuu nimeshindwa kujua tofauti ya kuachishwa kazi na kufukuzwa,nisaidieJiulize swali dogo tu likusaidie; Tibaijuka kafukuzwa au kaachishwa kazi? Mbona bado ni MBUNGE na mshahara anao?
Azimio la bunge, Ulitaka azimio langu au lako? huna na sina.
Naona yameikuingia na sasa unabwabwaja tu.
Hii ngoma imedunda tafuteni jingine.