Maswali ya mume kwa mkewe.

Maswali ya mume kwa mkewe.

Angel Nylon

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
10,692
Reaction score
23,269
Mume: nambie ukweli mke wangu, hivi ushavunja uaminifua mara ngapi?
Mke:siku 1 nililala na mwenye nyumba sababu alidai kodi.
Mume: sio mbaya.
Mke:mara ya pili siku ulipofanyiwa operation tukiwa hatuna pesa ikabidi nilale na Dr. ili utibiwe.
Mume:kweli unanijali mke wangu.
Mke:mara ya tatu ni kile kipndi cha uchaguzi ulipokua unaomba kura za ubunge ikabidi nitembee na wapiga kura wako wote ili wakupigie kura! Ndo maana ukashinda uchaguzi.
Mume:Tobaaaa, twende kwa babu loliondo.
 
Khaaa ! Hii style ya copy & paste imezid ngoja niongee na mod tuanze kutoa adhabu.
 
Khaaa ! Hii style ya copy & paste imezid ngoja niongee na mod tuanze kutoa adhabu.

We umezid na kw ujinga...jifunze maana ya forum...kila cku kuna member wapya...wape vipya ww bas!
 
Back
Top Bottom