Maswali ya Kisayansia yanayonitatiza

Sioni cha kuchangia maana sielewi.labda mtoa mada aweke wazi anataka nini.Hapa naona amewaaminisha kuwa kuna ndege mnyama na ndege chombo cha usafiri.
Naomba mwongoza kutoka kwa mtua ambaye hajachangia mada hii kama ndege ni mnyama au kiumbe hai na ndege mwingine ni chombo cha usafiri tu au ni hata silaha etc.
Kama majibu ni sawa na niliyoandika hapo basi WOTE MMEKURUPUKA(mliochangia kwa kuelezea mechanisms) zake.
 
Mie nilielewa anamaanisha POPO ambaye ni MNYAMA.

Una tatizo na hilo bado au bado una tongotongo za KUKURUPUKA usingizini?

Umeshaamka? Mkuu, umesema huchangii kwa sababu hujaelewa. Ila mwisho unadai umetoa majibu ambayo kama yako sawa basi wengine wamekurupuka. Anyway, ngoja wataalamu wa Bilogy waje hapa maana wengine sisi ni akina Zege halilali.
 
Sioni cha kuchangia maana sielewi.labda mtoa mada aweke wazi anataka nini.Hapa naona amewaaminisha kuwa kuna ndege mnyama na ndege chombo cha usafiri.
Naomba mwongoza kutoka kwa mtua ambaye hajachangia mada hii kama ndege ni mnyama au kiumbe hai na ndege mwingine ni chombo cha usafiri tu au ni hata silaha etc.
Kama majibu ni sawa na niliyoandika hapo basi WOTE MMEKURUPUKA(mliochangia kwa kuelezea mechanisms) zake.

LOL.... sometimes, you just gotta laugh!!

Shaycas, hujaelewa nini? Huwajui ndege (birds) kama kunguru, kuku, njiwa nk. Hujui ndege (planes) zinazobeba abiria kutoka mji mmoja mpaka mji mwingine? Hujaelewa nini hasa? Au ni Kiswahili ndio kimekuchanganya?
 
Nakubalina na waliotangulia na kutaja umbo la ndege na uzito mwepesi kuwa ni vitu muhimu. Mie naongeza mambo mawili kiundani ya hayo
1. Kwa upande wa biologia wepesi wa ndege unatona na '' bone marrows" sijui kiswahili zinaitwaje ila kama nimlaji makini wa kuku na bata utaona utakinpasua mfupa wa mguu mfano utaona vitu kama vya brown hivi kwa kawaida huwa ni vitamu sana. Kibaiologia inaaminika ndege wenye bone marrow nyingi hawari umbali mrefu mana ni wanakuwa wazito.

2. Ningependa kukutia moyo kuwa kila unachoona mwanadamu akivumbua chanzo chake huwa vitu ambavyo asili ya umbaaji wa Mungu. Hivyo basi ukitatizwa na kitu ilikukitatua nafuta jambo au mnyama au kitu kilicho uumbaji wa Mungu asilia basi utagundua mwanadamu akaanzia hapo. Umefikiri vema sana kulinganisha ndege irukayo na ndege mnyama. you can make a good scientist at that angle! GLORY TO GOD!
 
Sioni cha kuchangia maana sielewi.labda mtoa mada aweke wazi anataka nini.Hapa naona amewaaminisha kuwa kuna ndege mnyama na ndege chombo cha usafiri.
Naomba mwongoza kutoka kwa mtua ambaye hajachangia mada hii kama ndege ni mnyama au kiumbe hai na ndege mwingine ni chombo cha usafiri tu au ni hata silaha etc.
Kama majibu ni sawa na niliyoandika hapo basi WOTE MMEKURUPUKA(mliochangia kwa kuelezea mechanisms) zake.

Huyu hapa anajaribu kumrithi Kuhani na Dilunga, ila tatizo hana taaluma.
 
Huyu hapa anajaribu kumrithi Kuhani na Dilunga, ila tatizo hana taaluma.

Na Kuhani na Dilunga wana taaluma gani?

BTW, allegations zake kuhusu Dk. Masau ziliishia wapi? Labda wewe alikuweka kwenye loop kwani sisi wengine tulikuwa shut out mapema mno
 
Na Kuhani na Dilunga wana taaluma gani?

BTW, allegations zake kuhusu Dk. Masau ziliishia wapi? Labda wewe alikuweka kwenye loop kwani sisi wengine tulikuwa shut out mapema mno

Dk. Masau ali settle out of court.
 
Swali la kizushi: why birds do not FLY at night??.......
Birds cann't fly at nigth because they cant see around! Ni popo tu (au popobawa) ndo anauwezo wa kuruka usiku, yeye hategemei uwezo wa macho yake bali hutegemea mwangwi wa sauti fulani anayotoa ili kujua kama kunakipingamizi mbele yake au la!Hii inamuwezesha ku weza kuruka bila matatizo yoyote.
Mathalani popobawa huwa analenga sauti yake zaidi kwenye tigo, akipata mwangwi tu, basi anatua hapohapo, nadhani shehe Yahaya anajua mechanism hii zaidi!
 
JP,

Niliposoma hapo juu nikasema yes mshikaji amekuja kumwaga nondo kisawasawa. Kumbe mzee umeenda kuzoa nondo za wengine kama zilivyo na kuja kuzimwaga hapa. Nafikiri ulikurupuka kumshambulia Wande amekurupua. Angalau yeye alijaribu kuelezea kwa maneno yake mwenyewe na halafu akatoa hint ya Bernoulli's equation

Swali zuri.

Basi naomba umwage utirio (katika maneno yako) kujibu hilo swali.

Asante!
Siku nyingine ukiwa na swali basi na wewe nenda huko tunako 'kopi'

1. Uwezo wa Ndege (mnyama) kuweza kuruka na kuelea

Ndege (mnyama) ana viungo gani vya ziada ambavyo vinamwezesha kuruka na kuelea angani?

Kwa nini jamii nyingine ya ndege haiwezi kuelea angani? Mfano, kuku na bata wanaweza kuruka, lakini hawawezi kuelea angani.

Je wataalam waliovumbua ndege (chombo cha usafiri) walidesa kutoka kwa ndege (myama) ili kuwezesha hicho chombo kuelea angani?

Wanasayansia wa JF mpo?
19. Kwani hawawaoni ndege walioko juu yao namna wanavyo zikunjua mbawa zao, na kuzikunja? Hawawashikilii ila Mwingi wa rehema. Hakika Yeye ni Mwenye kuona kila kitu
67.Surat Al-Mulk
 
Back
Top Bottom