low thinking capacity
JF-Expert Member
- Jun 4, 2018
- 1,324
- 1,502
Eti mtu anakuuliza mshahara umetoka?wakati anajua kuwa Tanzania nzima hakuna mtu aliyelipwa
Basi njoo kaujiunge na wana yangaUnajibu ndiyo,unataka Huduma?
Nimeona aibu maana ndo zangu izo nikiishiwaga swaganaona upoo.
sasa nani kasema huoni?
Nimeamka wimaUmeamkaje!?
Hivi wewe utaoa kweli?
Hatuna matofali.Jamani hamjajenga tu?