Maswali ya interview walioitwa NSSF


nadhani ipo kwenye kutoa maamuzi.
 
Hata me nashangaa...jaman tuachane na mambo ya udini kama ni ridhiki ya mtu kupata atapata tu no matter what...mambo ya dini tuwekeni kando tudiscuss kuhusu hcho cha jumamosi
 
Naomba kuuliza plz...kuna watu nimeckia wamepangiwa interview mchana na wengne sie asubuh na kuna wengine nimesikia aty wamepangiwa siku nyingine tofauti na tar.13...ss swali ni hili inawezekana kweli tuloitwa asubuh ndo wale tulosomea mambo ya public adminstration au human resource?cz ktk list ya frendz zang wte tuloitwa pale tumesoma ktu kimoja na tumepangiwa asubuh...bt kuna mmoja kasoma law amenambia yy kaambiwa mchana...so dnt u think kuwa wanapanga watu kulingana na walichosoma??f so hamfikirii kuwa wanaweza wakaleta maswali ambayo yanahusu proffessional zetu tulizosomea??n' idea plz...hvyo ndo me nlikaa nikafikiria bt am not sure
 
Mmmh czani ashreybbz coz niloitwa nao wengi walimu me sio Mwl...ila nahisi Maswali yatakuwa ni ya kutesti IQ
 

Acha kuita wenzako makafiri wewe... Halafu unatumia lugha ya kiingereza ambayo ni ya makafiri. Hivi mbna nyie ndugu hamuna akili kiasi hicho??? Mimi nadhani kama wewe ni muisilamu sana basi usitumie kiingereza tujue moja
 

Mimi naomba kuuliza , eti unaweza kuchaguliwa tu hata kama bado hauna gamba? I mean cheti cha chuo. Maana kuna ndugu yangu kaitwa ila ndio kamaliza chuo mwaka huu yeye ana transcript tu?
 
Acha kuita wenzako makafiri wewe... Halafu unatumia lugha ya kiingereza ambayo ni ya makafiri. Hivi mbna nyie ndugu hamuna akili kiasi hicho??? Mimi nadhani kama wewe ni muisilamu sana basi usitumie kiingereza tujue moja

You seems to be among of them (those with common and unregenerating minds).

So I can't urgue with you any more.
Kwaheri bwa mdogo.
 
You seems to be among of them (those with common and unregenerating minds).

So I can't urgue with you any more.
Kwaheri bwa mdogo.

Sawa dj nimekuelewa. Ila kiingereza chako ni broken sana , ulisoma wapi ww ??? Au ndio mambo ya big result now haya?
 
jamen kuna mtu yoyote kapigiwa simu leo kutoka nssf kufahamishwa kuwa kabadilishiwa serial number yake ya pepa??plz nijibun maana me nimepigiwa cm nimepewa serial kpya aty ile ya kwenye email niachane nayo....dnt knw f tz true or not...so n'body alopigiwa plz roho yangu itulie
 
mm cjapata email so i will to go to the hq kuulizia before the interview na wengine ambao hawajapata email ntawapa feedbck
 
Kama hujapata email angalia kwenye spam email or junk mail utaikuta huko..
 
Ivi hizo nafasi zenyewe za operation officers ni ngapi zinazoshindaniwa wadau naombeni ji u
 

Kaka sidhani kama ipo hivo maana kuna wengi walosoma engineering wamepangwa asubuhi whom I know. Sidhani kama wanaweza fanya style hio kila watu wapewe eneo lao la specialization coz kuna watu wa cadre mbali mbali.
 
Ni kweli hata mimi nimepangwa asubuhi na nimesoma BAF..so hakuna uhusiano wowote juu ya hill.
 

Mdau ni kweli hiyo kitu hata me pia nimepigiwa simu leo jumanne kuwa namba yangu ya siri imebadirika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…