Kama ulitumiwa msg kuwa unatakiwa kwenda kwenye interview ni lazima watakuwa walikutumia msg... Ukiona kuwa hawajakutumia kuna uwezekano mkubwa ikawa wakati unawatumia maombi yako labda ulikosea kuiandika vizuri email yako hivyo wakatuma kwa mtu mwingine. Hivyo jitahidi siku ya interview ufike kwenye hiyo venue mapema na kuwauliza wahusika mapema wakupe msaada au vinginevyo fika HQ kabisa siku kadhaa kabla upate muongozo wao
Ila kama hata msg kutoka kwao haujapata kuwa watakiwa kwenye interview yao basi yakupasa kuelewa kuwa haujabahatika kwenye hilo na ujaribu tena pindi watakapotangaza nafasi mpya.
Vinginevyo fanya kama nilivyosema hapo juu kama ni kweli ulipata msg kutoka kwao
Kikubwa ni kujiamini. Maswali always flexible. Kama kweli elimu hiyo uliyoipata haikuwa magumashi lazima utajiamini. Unajua ukimsikiliza eti fulani aliulizwa hivi ujue elimu yako na wewe ina walakini
Wewe umeitwa interview au haujaitwa?
kuita kwenye written interview wanaangalia minimum qualification walizoziweka, mi ni mkristo na nimeitwa, natoa picha ya interview maana niliwahi fanya mara ya kwanza:
interview ilikua na secion 3
1. kiingereza
2. hesabu
3, ni professnal, ujue what is operatons Managemet, na chochote kinachiusia na operations, hakukuwa hata na swali moja la siasa, NSSF, wala JOB Descriptions
cjakuelewa hapo kwenye professional je kuna topic ya operation management inayosomwa darasani kwenye mambo ya social security n.b mimi sijasoma social security
Kama hakuna why umesema maswali hakuna hata moja la nssf? Nnavoelewa kama ni masuala ya operational si yanahusu operations za nssf moja kwa moja?
atakuwa hajaitwa au nimuajiriwa tayali
mi niliwahi kusoma kama somo darasani kwa hiyo nikiona hayo maswali nayakumbuka maana kama siku ile mengine yalikuwa ya darasani
maswali yalikuwa ya kuchagua/ true and False, kwa mfano swali lilikua
1: responsibilities of Operation Manager:
jibu:organize,plan, control, staff, and manage
ila wanakuwa wamechanganya na vitu vingine, kwenye kuchaua hilo
kuita kwenye written interview wanaangalia minimum qualification walizoziweka, mi ni mkristo na nimeitwa, natoa picha ya interview maana niliwahi fanya mara ya kwanza:
interview ilikua na secion 3
1. kiingereza
2. hesabu
3, ni professnal, ujue what is operatons Managemet, na chochote kinachiusia na operations, hakukuwa hata na swali moja la siasa, NSSF, wala JOB Descriptions
Nyie ongopeanen tu
na hayo maproduction and operations management
kiuhalisia hayo PODSCORB sijui hayareflect kaz za operations officer ktk social security industry