Kama ni Oral usijichoshe sana ndugu maswali ni hayo majukumu yako yanabase kwenye utendaji zaidi sio kishule shule zaidi angalia vision na mission na core value na historia ya kampuni yatakusaidia kujibu swali unaelewa nini kuhusu kampuni yetu, kwann unataka kufanya kazi hapa na mengineyo ni General yanajulikana.