Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

nashukuru mjadala huu umeishia hapa leo hivyo basi nawaomba msichangie tena hadi hapo tutakapotangaza majina yenu baada ya mei mosi kwa sasa tunajianda kwa ajili ya gwaride la muungano na sherehe ya wafanyakazi. naomba mtulie kwa maana njia uliyopitia kupata tangazo ndio njia utakayopitia kupata taarifa za usaili.
nakutakia heri ya mei mosi na maandalizi mema ya kupata ama kukosa.
 
Mkuu mgonjwauki-google website ya uhamiaji bilabila.. ILA KUNA HAWA JAMAA WAMEWEKA UPDATES KWAMBA WAMEWEKA LIST OF THOSE SHORTLISTED APPLICANTS..ila haifungui chochote...
cheki hii attachment hapo....USIWAWEKE WATU NA TENSION HIVYO..
 

Attachments

  • 1398831986817.jpg
    1398831986817.jpg
    68.2 KB · Views: 456
Last edited by a moderator:
Vuteni subira kuanzia tarehe moja watatoa. Najua majibu hayatakuwa mazuri kwawengne naomba mvumilie coz maisha co uhamiaji tu maisha kokote. Na nawapa hongera wale Wataoitwa.
 
kama huna good baba toa mawazo ya kupata nafasi.tujumuike turudi kijijini tukaanze kulima nyie vipi.
 
Hii thread ni miyeyusho tu tarehe nyingi afu hamna lolote bora ibaki unknown siku wakitoa iwe yametolewa sio rusha roho mwa mwi day 2 day
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom