no kwa mwezi ukiwa depo ni kujitolea kama walio jkt now
Kuna likizo?maana mwaka mzima si padogo atikwa wanaenda jkt wanalipia kulala na kula? kule ni kujitolea ukimaliza mafunzo miez tisa au mwaka kama n jkt unaenda kwnye vituo vy malezi vya jeshi huko ndio unasubir ajira. ila ninachojua mm na kuwa na uwakika nacho kwa sasa wapewa hiyo amount tu kwa mwezi.
kijana vipi mbona unakomaa sana na likizo vipi utam-miss sana mama yoyooo...!! ndio kutafuta huko mkuu co mbaya hata kama hakuna likizo, ila uhamiaji wao ni miezi 6 depo pale CCP.Kuna likizo?maana mwaka mzima si padogo ati
kijana vipi mbona unakomaa sana na likizo vipi utam-miss sana mama yoyooo...!! ndio kutafuta huko mkuu co mbaya hata kama hakuna likizo, ila uhamiaji wao ni miezi 6 depo pale CCP.
hakun likizo ila ukiwa vituo vya malezi mnaishi free sana.
jamani napenda kujua lini matokeo ya usaili zimamoto?
Duh kweli vijana tunateseka na kusubiri ajira. Mnavyojadili utadhan ndo tayar mshaitwa huko uhamiaji. Majina yenu yasipotokaje?
Kuna likizo?maana mwaka mzima si padogo ati
kijana vipi mbona unakomaa sana na likizo vipi utam-miss sana mama yoyooo...!! ndio kutafuta huko mkuu co mbaya hata kama hakuna likizo, ila uhamiaji wao ni miezi 6 depo pale CCP.
huwezi kujua watu wamehaidiwa nini
zingatia tangazo lao la kazi limesema; selected applicants for the posts must attend a one year Basic Immigration Course prior to employment.
kazi kwako comrade