Maswali mengine yanaboa kwa kweli

Maswali mengine yanaboa kwa kweli

Mnaangalia mechi ya yanga na simba mtu anakuuliza,simba ndo waliovaa jezi nyekundu?
 
Hahaa charty hem yaweke hapa

Bebii umenipendea nini..bebi nna kibamia au rungu..bebi mi mwanaume wako wangapii..bebi ume injoii..bebii una nauli...nk yanakera haya maswali ya kindezii
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom