Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 44,323
- 105,155
Chain ni nini?Sababu kuna chain, na ni hali halisi, na ukweli wa wazi kabisa.
Hali halisi unaijuaje? Utajuaje unachokiona ni hali halisi na sio kwamba upo kwenye zone ya UPUMBAVU ambayo hukufanya ujione upo sahihi na hujui kama huyajui?
Hujathibitisha bado kivipi habari za muhamad zisiwiane na pazi aliyebebwa na jogoo
Tutaona hapa nani ambaye imemshinda. Swal lako limejibiwa kwa hoja yenye nguvu na hujaweza kupinga zaidi ya kulalamika.Hili limekushinda huliwezi. Naona unaruka ruka na kurudia ibara.
Kama unapinga kua hoja haijakuzidi ebu ijibu
Hiyo tafsiri hata ingekuja kwa namna ambavyo wewe ulitaka, hiyo isingethibitisha kua creature huyo alikuwepo na tukio la muhamad kupaa lionekane ni kweli.
Kupishana kwa tafsiri kati ya rangi ya jogoo ambaye alimbeba pazi, haimaanishi kua liyepatia rangi iliyozungumziwa kitabuni atakua sahihi au atafanya jogoo huyo awe real.
Alikadhalika hata habari kuhusu muhamad nazo ni stori za kusadikikaUnakubali story ya Pazi ipo bila shaka. Ama kuhusu dhati ya habari ya Pazi inajulikana ni ya kusadikika, ila uwepo wa Stori ya Pazi ni kweli ipo.
Kwasababu hajaandika ngungi hivyo pazi ni habari ya kweli?Kwahiyo, nakukosoa katika kuandika mambo ya Uongo ya kuwa Ngugi ndiye aliyeandika habari za Pazi. Elewa hili.
The same goes with Quran
Nishakuambia ni vitabu vingi nimevisoma katika hivyo sio vyote vimemtaja mwandishi lakini hiyo haitoi tafsiri kua kitabu hakijaandikwa na mtuNani mtunzi wa habari za Injili ? Ili habari ya Pazi na Injili iwe sawa.
Lakini hata hivyo mtunzi hana nafasi yeyote katika ugunduzi wa uhalisia wa habari kama ambavyo huko juu nimeeleza
Mfano mdogo kuna hiki kitabu kinaitwa physicology volume 3 hakija taja jina la mtunzi nimekuwekea link hapo
Psychology Volume 3: Thinking and Knowing (Psychology, Volume 3)
Swala la pazi Limeishaje ishajeKijana nataka marejeo ya Buraq siyo habari za Pazi, suala la Pazi limeisha
Hili nao lilikwisha isha naona unarudia tuhili, sababu hakika yake inajulikana kwa kurejea maana ya Hadithi kwa Waswahili. Nipe marejeo ya maana ya Buraq usitoke nje ya hoja.
Kwakukusaidia labda nikuulize, nikikuba habari kutoka kwenye article ya kiislamu inayotoa maana ya hilo neno utakubaliana na jibu lake au utapinga kua article sio yakiislamu na jibu ni uongo?
Hapa natakauweke uthibitisho kisha weka na chanzo ulichotoa huo uthibitisho ikiwezekana na link kabisaManeno ya kwenye mabano si maneno ya muhusika
Thibitishandiyo maana hupimwa katika mizani, yaani hayapo katika matini ya asili. Bali ni maneno ya ziada. Maneno hayo ili yawe ya kweli yanatakiwa yawekewe ushahidi.
Ebu niwekee uthibitisho kwanini maneno ya kwenye mabano huwakilisha uongoBika shaka kabisa ni maneno ya uongo, sababu hayajayasema yule mwenye kumjua huyo mnyama. Tutakuuliza wewe mmeyapata wapi hayo maneno.
Kwani kunamahali umethibitisha?Unataka nikuthibitishie mara ngapi
Unaweza weka nukuu ya hilo jibu hapa?
Kwamba unataka kusema swali lako hilo halikujibiwa?Kuna swali nilikuuliza rahisi sana, ili uthibitisho kwako uwe ni uthibitisho unatakiwa uwe na vigezo gani ? Hili swali huwa unalikimbia sijui kwanini ?
Unahakika kua swali hilo ulilouliza hapa sikulijibu post za nyuma?
Unahakika kwamba hukujibiwa ni vitu gani vinahitajika kuambata katika uthibitisho ili uthibitisho ujitosheleze?
Nacheka sana sasa kama unashindwa kuonyesha wapi umepata wapi ?
Kokote kule ambako hata ningepata tafsiri unayoitaka wewe kusingethibitisha muhamad yupo au hicho kiumbe kipo. So what's your point here?
Unaweza niambia wapi nikipata definition sahihi kuhusu pazi kutafanya habari yake kuwa kweli?
Kwaiyo ukipewa maana ya jogoo itathibitisha pazi yupo na jogoo ni kweli alimbeba pazi?la hii maana ya Buraq maana uwepo wa mtume upo na nimesha uthibitisha na nilikunukulia maneno mara kadhaa, na ukatokomea.
Weka hapa tuone kama kunasehemu imesema hivyo, alikadhalika weka na chanzoImesema siyo Farasi,soma maana niliyo kupa usipotezee watu muda kijana. Hakuna sehemu iliyosema Farasi zaidi ya maneno ya ziada katika maana ukiyo itoa maana ambayo haina asili.
Wapi hapo ?