Maswali magumu ya mwanafalsafa Epicurus kuhusu mwenyezi Mungu

nitamuabudu alisababisha ulimwengu uwepo na uwe katika mpangilio huu kwa maana naamini sio binadamu .ingawa simjui nani lakini ninamuabudu kwa maana naamini ndie aliyeniumba mimi thats why nipo compatible na nature
Unaposema "nitamuabudu" unaimply kuna some being with some consciousness.

Ukigundua ulimwengu umeumbwa na natural forces zisizo na consciousness, kama gravity na the second law of thermodynamics, utaabudu gravity?

Kwa nini unakimbilia kuabudu usichokijua badala ya kujielimisha ukijue?

Ukija kugundua ni kweli kuna aliyeumba dunia lakini katuumba kwa nia mbaya kama mtu anavyofuga ng'ombe kisha kuwachinja na kuwala nyama, na huyo aliyeumba dunia sisi ni mifugo yake, anatufanyia experiment kama panya wa lab, kisha akisikia njaa anatuua mmoja mmoja ili atule nyama, wakati ana uwezo wa kutufanya tuishi bila kufa, bado utamuabudu?
 
Natural forces zilitokeaje ulimwenguni? Nini chanzo chake?

Duh hizi kweli nondo,naanza kukuelewa
 
Kama akitumia nguvu kubwa aliyonayo kufanya total eradication of evil he can appear as dictator for not allow free will. So as he is super smart he choose to give free will to his creation. So u are free to follow him or not.
If God is omniscient bro you don't have a free will
 
Jiulize..Sasa hivi yupo wapi..?
Kama yeye alikua anaakili na mwelevu sana mbona hakuweza kutegua fumbo la kifo..yaani yuko state ipi kwa muda huu.

FYI. Maswali yake hayo yote karne ya 14 Mwanafalsa mwenye akili kuliko yeye Saint.Thomas Aquinas alijibu maswali yaje yote hayo bila kubakiza kitu
Naomba kujua kwa undani kuhusu huyu mtakatifu.
 
Un
Kama akitumia nguvu kubwa aliyonayo kufanya total eradication of evil he can appear as dictator for not allow free will. So as he is super smart he choose to give free will to his creation. So u are free to follow him or not.
Ungepewa freewill kama uzaliwe au kutokuzaliwa hakuna freewill hapo 😂😂 eti freewill unaikuta baada ya kuja duniani!
 
Unataka nithibitishe kwa namna ambayo we unataka?

Mtume ni finctional character kama pazi, huhitaji PHD katika hilo. Masimulizi yake ni ya kufikirika yasiokua na uhalisia kama pazi kwaiyo kwasababu mnamjua pazi ni character wa aina gani basi nikikuambia muhamad ni sawa tu na pazi nadhani utakua unanielewa

Ukiambiwa uthibitishe pazi alishawahi kuwepo na matukio ya masimulizi yake ni yakweli ugumu utaopata hapo na ukosefu wa majibu ndio ugumu huo huo utaoupata ukiambiwa uthibitishe muhamad aliwahi kuwepo na dhana nzima ya hadithi zake zakufikirika

[Quotes]Ona ivyokuwa mjinga, ina maana humjui hata yule aliye mbeba mtume ni nani, kwa ujinga wako ulivyo sikia na wewe ukachukua habari hivyo hivyo bila kuhakiki, halafu unakuja kukanusha ujinga ?

Buraqu ndiye aliyembeba mtume katika safari yake ya usiku,kuelekea Mbinguni. Wewe tuambie nani alikwambia mtume alibebwa na Farasi ? Hizi habari umezipata wapi ?
Buraqu si farasi mwenye mabawa anakichwa cha kike na ndio aliyembeba mtume?

Sasa kwa akili yako wewe ukiachana na ufia dini wako, hivi farasi mwenye kichwa cha mtu wa jinsia wa kike halafu ana mabawa anayeruka hewani unaweza ukatumia ubongo gani kukubaliana na upupu huu kua hiki kiumbe kipo/kilikuwepo?

kuna hitajika research katika hili? Umeona mpaka hapa habari ya pazi inaonekana ina nafuu kuliko huu uzushi ambao hata kichaa hakubaliani nao?

Mwanzo ulisema habari za kuran unazipima kwa hali halisi though i questioned you back hali halisi ni nini kupitia hali halisi unapimaje habari ya kuran kujua kitu hiki ni kweli na kina endana na uhalisia?

Hali halisi gani katika mazingira yetu inakubaliana na hiki kiumbe chenye sura ya kike miguu minne na mbawa kinapasua anga za juu?

Umeona sasa mpaka hapa tumefika hujaweza kuthibitisha allah yupo nor muhamad sasa unajitengenezea series ya maswali ya mtindo kama huo usiyoweza kuyajibu.

ningeweza kukuambia uthibitishe huyo unayemuita buraqu kua sio kiumbe wa kufikirika, ila kwakua najua huwezi na sitaki mjadala ujikite huko basi leo tuangazie katika yale maswali common ambayo ni challenge ya siku zote na hujawahi kuyajibu

Thibitisha allah yupo

Finctional character as muhamad

I've done it no need to do more

Kwanini nisikuulize wakati scripts ya muhamad na pazi are the same?

Mimi nimetoa majibu mapema kabisa kua habari za pazi nizakufikirika kama muhamad wala hazina uhalisia na hazithibitishiki. Wewe unataka kuhalalisha uzushi wa muhamad kwa chaka la miujiza jambo ambalo hata ngungi angeweza kuandika ili mradi stori yake ionekane ni kweli

Mpaka wewe unasema stori ya pazi ni uongo ebu tuambie ni mechanism gani alitumia jogoo kumbeba pazi?

Nimekuambia hivi kama hujahakiki chanzo chako cha habari huthubutu kusema habari flani kutoka sehemu fulani ni ya kweli.

Unanipa maswali ambayo yameulizwa na kitabu fulani, sasa kabla hujajibiwa maswali yako ebu tuhakikishie wewe ulikithibitisha vipi kua kimesema ukweli?

Kama hakuna idadi maalumu kwanini swala la kunukuliwa liwe na ulazima?

Kwani haiwezekani habari fulani ikawa ya kweli na ikakosa watu wakuinukuu?

Pointi ya kunukuu ina-relate vipi na ukweli wa habari husika?

Kwaiyo kukiwa na nukuu dhidi ya habari fulani kua habari hiyo ni ya kweli basi habari hiyo inakua kweli ni ukweli?

Unajuaje kua idadi ya hao watu walionukuu sio watu ambao wana ajenda moja kwa ajili ya kuwapotosha watu?

Kwani swali haliwezi likasimama kama jibu?

Nilichokiandika kimejitosheleza nataka majibu narudia tena kwa msisitizo
Kwaiyo kukiwa na mashahidi wanaokubaliana kua jambo fulani ni la kweli basi jambo hilo hua kweli?

Hakuna kitu kinaitwa hali halisi kinachokubaliana na utopolo wa quran. Labda neno hali halisi liwe na maana nyingine ambayo mnaijua kiwenu

Kujisemea kwamba hoja zako ni zakweli haifanyi kweli kua hoja zako ni za kweli

Diamond anajiita dangote lakini haimfanyi kua bilionea wa kwanza africa see the different?

Refer to your definition ya mpumbavu, kua hujiona sahihi kwa kile akifanyacho na hajui kama hajui. Then how can we believe you ain't insane?

Sijafundishwa, sijakaa madrasa kwa ajili ya kujifunza how to criticize a rubbish and silly arguments I'm just born with it

Katika hao watu naye baba yako alikuwepo?

Unajuaje kwamba hao walioshuhudia hawakua deluded na muhamad?

Kama habari za black holes na mambo ya galaxy kuhusu anga za juu zimewekwa kwa ushahidi wa video na picha lakini bado watu wanazikataa unafikiri ni mjinga gani atayekubali habari za mwezi kupasuka kwa kusoma maandishi?

Wewe unaweza kufika kwenye jua?

Nikishagundua hiyo ni weakness yako nikatunga habari kua kwenye jua kuna saa yenye madini ya tanzanite iko katikati ya jua na haiungui. Utakua na haja ya kwenda kwenye jua ili ku-prove kua saa hiyo haipo na habari nzima ni uongo?

Tatizo una-expect kuoata majibj magumu kwenye maswali rahisi na ndio maana ukijibiwa hujui kama umejibiwa

Nishakuwekea requirements za uthibitisho sihitaji kulifanya hilo tena kwa muda huu

Whats your point?

Kwani haiwezekanj mtu akaamua kusambaza uongo?

Quran imewezaje, na kwanini ufikiri iwe ngumu kwa ngungi?

The question is bounce back to you

Kuto kumjua mtunzi hakukupi mwanya kuhalalisha uzushi wake au sio kigezo cha kusema haina mtunzi, As long as ina maandishi basi there must be a writer who inked those pages

Kwani kiumbe gani chenye kichwa cha kike miguu minne na mbawa alichotumja muhamad kupaa nacho angani ambacho akili salama katika uhalisia inakubaliana na hii habari?

Yani unafikiri umekwepa hoja yangu kumbe unazidi kujichimbia shimo mwenyewe. Huyo buraqu sijui bunaqu unayemtaja wewe ushajua muonekano wake na maelezo yake ni mnyama wa aina gani?

Huyo mnyama aliyemoanda muhamad mnamtofautishaje na unicorn?

Sio haina mtunzi sema simjui mtunzi, na usikute ni mikono ya watu zaidi ya mia imeandika.

Nakuuliza wewe, hiyo quran imeandikwa na nani?
[/QUOTE]
Mkuu Scars nimekuvulia kofia uko vizuri sana katika kujenga hoja aisee itakuwa wewe ni genius halafu hutumii nguvu wala lugha za hovyo hongera sana
 
Ngoja niuone kama umekidhi vigezo vya kuitwa uthibitisho

Hapa umefanya kosa kuonesha ishara ya kunukuu maneno yake. Ililaswa uthibitishe kwanza yupo tukishaliweka hilo sawa tukajua kua yupo hapo sasa ukija na haya maneno tutajua unazungumzia jambo ambalo umelithibitisha

Hujathibitisha allah yupo we unakimbilia kusema "allah aliye juu amesema" kwa hiyo hatua hii tu ya mwanzo tunaiwekea alama ya ❌

Hapa pia hujathibitisha hiki ulichokiandika umekitoa katika source ipi na unahakika gani kua source hiyo ya hiziz nukuu imeongea ukweli

Kazi ndio kwanza hata kuanza haijaanza
😂😂😂
 
Sio tu mpaka siku ya mwisho kitendo cha kuishi bila uwepo wake u cant be genuinely happy even in this life.
To be happy depends on one's mindset, Kama wewe uwepo wa Mungu unakupa genuine happyness ni kwako tu na si kila mtu.
 
1. Kama wazaliwe au wasizaliwe. Wanajikuta wamezaliwa tu. Ukishzaliwa huna free will ya kuamua uwe hujazaliwa au umezaliwa.
Mkuu NImejaribu tu kuwaza kivingine, kwamba inawezekana Free will ya Either uzaliwe au usizaliwe ipo, isipokuwa Concious huwa inapotea kuwaza hivyo. Yaana kwasababu tunapokuja huku duniani Dhamiri zetu za kutunza mambo kama hayo hatuwezi kuzifikia Kirahisi.

Its just my thought tu kwa abc's nilizonazo kwenye point yako namba moja tu na sio Mada kuu.
 
Jiulize..Sasa hivi yupo wapi..?
Kama yeye alikua anaakili na mwelevu sana mbona hakuweza kutegua fumbo la kifo..yaani yuko state ipi kwa muda huu.

FYI. Maswali yake hayo yote karne ya 14 Mwanafalsa mwenye akili kuliko yeye Saint.Thomas Aquinas alijibu maswali yaje yote hayo bila kubakiza kitu
Ni wapi alisema yeye ni mwerevu sana? Kuuliza swali ni kujiona mwerevu? Mtu kisa anakufa ndio asiulize maswali?
 
Mimi hayo maswali nilikuwa nayo tangu awali, ingawa sikuweka mpangilio vizuri kama yalivyoulizwa na huyu mwanafalsafa Epicurus.

Kusoma wanafalsafa waliotangulia na kuuliza maswali hayo kulinisaidia kuyatambua zaidi hayo maswali kimpangilio na kuona kuwa ni muhimu

Pia niliona kwamba.

1. Si mimi tu niliyekuwa na maswali hayo.
2. Maswali hayo yameulizwa miaka mingi sana na wanafalsafa walioheshimika sana.
3. Licha ya kuulizwa kwa miaka yote hiyo, hayajapatiwa majibu ya kueleweka kimantiki mpaka leo.
Niulie mimi kwa kiswahili walao mawili tu,ukirizika na majibu uulize mengine
 
Niulie mimi kwa kiswahili walao mawili tu,ukirizika na majibu uulize mengine
Bahati mbaya sana kwa muandiko huu hata Kiswahili unaonekana hukijui.

Ndiyo maana umeandika "ukirizika".

Sijaridhika kwamba unajua hata hicho Kiswahili.

Labda ujifunze Kiswahili kwanza.

Maana sitaki kujipa kazi ya kukufundisha Kiswahili na falsafa ya dini ambayo haijaandikwa katika Kiswahili kwa wakati mmoja.
 
Back
Top Bottom