Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Igwe wanaJF!
Baada ya Mbunge wa Arumeru Mashariki kuvamiwa nimefuatilia maelezo kwa Nassary mwenyewe na baadhi ya wadau mtandaoni. Baada ya kuchambua nimebakiwa na maswali magumu hususani ukizingatia kwa mujibu wa Nassary na wachambuzi ulikuwa ni mpango wa mauaji, haya ndio maswali yangu:
Nawaalika.

- Nyumba ya Nassary ina mlinzi? kama yupo je aliwaona wavamizi?
- Nassary alifanikiwa vipi kuwatoroka 'wauaji' wenye silaha ambao wameteketeza mbwa kwa risasi? Alijuaje 'wauaji' wameondoka?
- Iweje akimbilie polisi angali amekuwa akituhumu vyombo vya dola ni adui zake?
Nawaalika.