Maswali magumu shambulizi dhidi ya Mbunge Nassari

Inawezekana hawa jamaa hawakuwa hata na time na yeye. Kama hawaja mwambia yeye alijuaje kwa wamekuwa confused mzee? Hujajibu swalii
Nishajibu ila unataka lunitoa kamasi na maswali yako ya nyongeza nitakupa pyu pyu sasa hivi!
 
Wewe ulitaka aende wapi? Angeenda bar au?!
Igwe wanaJF!

Baada ya Mbunge wa Arumeru Mashariki kuvamiwa nimefuatilia maelezo kwa Nassary mwenyewe na baadhi ya wadau mtandaoni. Baada ya kuchambua nimebakiwa na maswali magumu hususani ukizingatia kwa mujibu wa Nassary na wachambuzi ulikuwa ni mpango wa mauaji, haya ndio maswali yangu:

  1. Nyumba ya Nassary ina mlinzi? kama yupo je aliwaona wavamizi?
  2. Nassary alifanikiwa vipi kuwatoroka 'wauaji' wenye silaha ambao wameteketeza mbwa kwa risasi? Alijuaje 'wauaji' wameondoka?
  3. Iweje akimbilie polisi angali amekuwa akituhumu vyombo vya dola ni adui zake?
Naomba wenye angalau majibu yenye kufikirisha wachangie bila jazba.

Nawaalika.
 
Mtu Akigoma Kuja Chama Tawala Kosa Mnaaza Kumtengenezea Zengwe Vitisho Vingi

Yote Hayo Ya Nin Tubishane Kwa Hoja
 
Igwe wanaJF!

Baada ya Mbunge wa Arumeru Mashariki kuvamiwa nimefuatilia maelezo kwa Nassary mwenyewe na baadhi ya wadau mtandaoni. Baada ya kuchambua nimebakiwa na maswali magumu hususani ukizingatia kwa mujibu wa Nassary na wachambuzi ulikuwa ni mpango wa mauaji, haya ndio maswali yangu:

  1. Nyumba ya Nassary ina mlinzi? kama yupo je aliwaona wavamizi?
  2. Nassary alifanikiwa vipi kuwatoroka 'wauaji' wenye silaha ambao wameteketeza mbwa kwa risasi? Alijuaje 'wauaji' wameondoka?
  3. Iweje akimbilie polisi angali amekuwa akituhumu vyombo vya dola ni adui zake?
Naomba wenye angalau majibu yenye kufikirisha wachangie bila jazba.

Nawaalika.
Rudi shule ukajifunze kuuliza maswali.

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app

Igwe wanaJF!

Baada ya Mbunge wa Arumeru Mashariki kuvamiwa nimefuatilia maelezo kwa Nassary mwenyewe na baadhi ya wadau mtandaoni. Baada ya kuchambua nimebakiwa na maswali magumu hususani ukizingatia kwa mujibu wa Nassary na wachambuzi ulikuwa ni mpango wa mauaji, haya ndio maswali yangu:

  1. Nyumba ya Nassary ina mlinzi? kama yupo je aliwaona wavamizi?
  2. Nassary alifanikiwa vipi kuwatoroka 'wauaji' wenye silaha ambao wameteketeza mbwa kwa risasi? Alijuaje 'wauaji' wameondoka?
  3. Iweje akimbilie polisi angali amekuwa akituhumu vyombo vya dola ni adui zake?
Naomba wenye angalau majibu yenye kufikirisha wachangie bila jazba.

Nawaalika.
Sio mbaya kulalamikia watumishi wa chombo fulani na haikinzani iwapo utahisi maisha yako hatarini kisha ukakimbilia kwa chombo kama Polisi kwa Usalama Zaidi ,Sio kila Askari anaweza kuwa Mbaya wa Mtu anaelalamikia utendaji usio endana na maadili ya chombo husika Ndio maana kuna Ngazi tofauti tofauti Ndani ya Vyombo vyote vinavyohusika na Ulinzi pia utoaji haki ,ikiwa Habari ya shambulio hili ni ya kweli Sio ni mda wa Polisi, kudhihirisha kuwa wako kinyume na tuhuma wanazo semwa semwa kila litokeapo Tatizo kwa Wapinzaji wetu
 
Hizo ni kiki tu ,amna uvamizi hapo hivi Nasary wanaume wakikutaka ulivyo laini kuna haja ya watu kutumia bunduki kweli huna hadhi ya risasi nasary wee makofi tu yanakutosha
 
Dunia inatawaliwa na Mungu na Shetani. Hata roho za watu pia zimegawanyika hivyo - roho ya Mungu na Roho ya Shetani. Shetani siku zote atafurahia maumivu ya watu wengine. Ikitokea nchi ikawa na wengi wenye roho ya Shetani kuliko wenye roho ya Mungu, basi nchi hiyo inakuwa na taabu kubwa sana. Ubinafsi, uonevu, mauaji, nk vitashangiliwa sana kwa sababu ndiyo malengo ya Shetani hayo.
 
Igwe wanaJF!

Baada ya Mbunge wa Arumeru Mashariki kuvamiwa nimefuatilia maelezo kwa Nassary mwenyewe na baadhi ya wadau mtandaoni. Baada ya kuchambua nimebakiwa na maswali magumu hususani ukizingatia kwa mujibu wa Nassary na wachambuzi ulikuwa ni mpango wa mauaji, haya ndio maswali yangu:

  1. Nyumba ya Nassary ina mlinzi? kama yupo je aliwaona wavamizi?
  2. Nassary alifanikiwa vipi kuwatoroka 'wauaji' wenye silaha ambao wameteketeza mbwa kwa risasi? Alijuaje 'wauaji' wameondoka?
  3. Iweje akimbilie polisi angali amekuwa akituhumu vyombo vya dola ni adui zake?
Naomba wenye angalau majibu yenye kufikirisha wachangie bila jazba.

Nawaalika.
Maigizo at work, hao tumewazoea
 
Hiyo comedy inafanana na ile ya mtu kujifanya ameunguliwa nyumba yake akiwa safarini wakati huo unakuta vitu
 
Kwa mujibu wa maelezo yake hakumtaja mlinzi hivyo ninaamini hakuwepo.

Hii inatia mashaka mbunge aliyekuwa na wasiwasi wa kuuwawa kukosa armed security guard nyumbani kwake.

..kwanini hamuulizi walinzi wa area D walikuwa wapi siku aliyopigwa risasi TL?

..au CCTV cameras za Dr.Kalemani ambaye ni jirani na TL ziko wapi.
 
Igwe wanaJF!

Baada ya Mbunge wa Arumeru Mashariki kuvamiwa nimefuatilia maelezo kwa Nassary mwenyewe na baadhi ya wadau mtandaoni. Baada ya kuchambua nimebakiwa na maswali magumu hususani ukizingatia kwa mujibu wa Nassary na wachambuzi ulikuwa ni mpango wa mauaji, haya ndio maswali yangu:

  1. Nyumba ya Nassary ina mlinzi? kama yupo je aliwaona wavamizi?
  2. Nassary alifanikiwa vipi kuwatoroka 'wauaji' wenye silaha ambao wameteketeza mbwa kwa risasi? Alijuaje 'wauaji' wameondoka?
  3. Iweje akimbilie polisi angali amekuwa akituhumu vyombo vya dola ni adui zake?
Naomba wenye angalau majibu yenye kufikirisha wachangie bila jazba.

Nawaalika.
Asingeripoti polisi ungesema kwanini hakwenda polisi! Tulieni kwanza, ni mapema mno kuanza speculations.
 
Hoja ya msingi kavamaiwa au hakuna? Na kama kweri alivamiwa ulitaka akae tu mpaka watimize walichopanga kukifanya?
 
Igwe wanaJF!

Baada ya Mbunge wa Arumeru Mashariki kuvamiwa nimefuatilia maelezo kwa Nassary mwenyewe na baadhi ya wadau mtandaoni. Baada ya kuchambua nimebakiwa na maswali magumu hususani ukizingatia kwa mujibu wa Nassary na wachambuzi ulikuwa ni mpango wa mauaji, haya ndio maswali yangu:

  1. Nyumba ya Nassary ina mlinzi? kama yupo je aliwaona wavamizi?
  2. Nassary alifanikiwa vipi kuwatoroka 'wauaji' wenye silaha ambao wameteketeza mbwa kwa risasi? Alijuaje 'wauaji' wameondoka?
  3. Iweje akimbilie polisi angali amekuwa akituhumu vyombo vya dola ni adui zake?
Naomba wenye angalau majibu yenye kufikirisha wachangie bila jazba.

Nawaalika.
Nakumbuka hata lisu mlisema ameshambuliwa na wabaya wake kisiasa kisha mkaondosha camera pale kwa tukio
 
Back
Top Bottom