Maswali magumu shambulizi dhidi ya Mbunge Nassari

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
16,240
2,000
Igwe wanaJF!

Baada ya Mbunge wa Arumeru Mashariki kuvamiwa nimefuatilia maelezo kwa Nassary mwenyewe na baadhi ya wadau mtandaoni. Baada ya kuchambua nimebakiwa na maswali magumu hususani ukizingatia kwa mujibu wa Nassary na wachambuzi ulikuwa ni mpango wa mauaji, haya ndio maswali yangu:

 1. Nyumba ya Nassary ina mlinzi? kama yupo je aliwaona wavamizi?
 2. Nassary alifanikiwa vipi kuwatoroka 'wauaji' wenye silaha ambao wameteketeza mbwa kwa risasi? Alijuaje 'wauaji' wameondoka?
 3. Iweje akimbilie polisi angali amekuwa akituhumu vyombo vya dola ni adui zake?
Naomba wenye angalau majibu yenye kufikirisha wachangie bila jazba.

Nawaalika.
 
Mussolin5

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
18,406

Mbona hapo hamna swali lolote gumu kama ulivyojinasibu
 
MIGNON

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
3,537
2,000
Igwe wanaJF!

Baada ya Mbunge wa Arumeru Mashariki kuvamiwa nimefuatilia maelezo kwa Nassary mwenyewe na baadhi ya wadau mtandaoni. Baada ya kuchambua nimebakiwa na maswali magumu hususani ukizingatia kwa mujibu wa Nassary na wachambuzi ulikuwa ni mpango wa mauaji, haya ndio maswali yangu:

 1. Nyumba ya Nassary ina mlinzi? kama yupo je aliwaona wavamizi?
 2. Nassary alifanikiwa vipi kuwatoroka 'wauaji' wenye silaha ambao wameteketeza mbwa kwa risasi? Alijuaje 'wauaji' wameondoka?
 3. Iweje akimbilie polisi angali amekuwa akituhumu vyombo vya dola ni adui zake?
Naomba wenye angalau majibu yenye kufikirisha wachangie bila jazba.

Nawaalika.
Chahali anaweza kutufanyia utafiti wa kitaalamu lakini nami kama social and security analyst nina mambo mawili makubwa.
Kwanza,hili shambulio halina uhusiano na vyombo vya dola (katika utekelezaji).Kwa bunduki za kijeshi wala asingeitafuta rifle ilipo.Inawezekana kuna chembe chembe za siasa na mipango ya wana siasa lakini ni si vyombo halali vya dola!!
Jambo la pili ni kuwa hivi ni vitisho dhahiri kwa mtu wa umri mdogo kama Nasari, wakati mwingine ni bora kuacha hizi siasa na kuendelea na shughuli zingine hadi hapo hili wimbi la sasa litakapopita.Upepo unakwenda ovyo na maisha ni muhimu.Wpinzani wajiulize hasa "Tunampigania nani?".
Watanzania watakapojua umuhimu wa upinzani watashiriki hata kuwalinda wapinzani wasidhurike lakini kwa sasa ni wachache mno wanaojua umuhimu wa upinzani.
 
124 Ali

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
7,673

Majibu ninkama ifuatavyo:

JIBU :Hilo siwezi kulijibu kiufasaha ila assumption inawezekana na mlinzi kama alikuwepo naye ali retreat

JIBU:katika maelezo yake "wavamizi walikuwa confused hawakujua nywumba aliyomo target wao

JIBU:Jeshi la polisi halijawahinkuwa adui wa mwananchi ila wapo polusi wanaotumika kutekeleza baadhi ya mambo yasiyofaa kwa malengo ya kisiasa kuwa ita polisi wote wabaya si sahihi polisi wanafanya kazi vyema kwa asiliamia 90
 
Scrat

Member
Dec 7, 2016
23
45

Alijuaje kuwa wako confused?
 
Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
16,240
2,000
Chahali anaweza kutufanyia utafiti wa kitaalamu lakini nami kama social and security analyst nina mambo mawili makubwa.
Kwanza,hili shambulio halina uhusiano na vyombo vya dola (katika utekelezaji).Kwa bunduki za kijeshi wala asingeitafuta rifle ilipo.Inawezekana kuna chembe chembe za siasa na mipango ya wana siasa lakini ni si vyombo halali vya dola!!
Jambo la pili ni kuwa hivi ni vitisho dhahiri kwa mtu wa umri mdogo kama Nasari, wakati mwingine ni bora kuacha hizi siasa na kuendelea na shughuli zingine hadi hapo hili wimbi la sasa litakapopita.Upepo unakwenda ovyo na maisha ni muhimu.Wpinzani wajiulize hasa "Tunampigania nani?".
Watanzania watakapojua umuhimu wa upinzani watashiriki hata kuwalinda wapinzani wasidhurike lakini kwa sasa ni wachache mno wanaojua umuhimu wa upinzani.
Nashukuru, umejitahidi kufafanua kwa lugha rahisi
 
Quinine Mwitu

JF-Expert Member
Oct 19, 2014
5,215
2,000
Igwe wanaJF!

Baada ya Mbunge wa Arumeru Mashariki kuvamiwa nimefuatilia maelezo kwa Nassary mwenyewe na baadhi ya wadau mtandaoni. Baada ya kuchambua nimebakiwa na maswali magumu hususani ukizingatia kwa mujibu wa Nassary na wachambuzi ulikuwa ni mpango wa mauaji, haya ndio maswali yangu:

 1. Nyumba ya Nassary ina mlinzi? kama yupo je aliwaona wavamizi?
 2. Nassary alifanikiwa vipi kuwatoroka 'wauaji' wenye silaha ambao wameteketeza mbwa kwa risasi? Alijuaje 'wauaji' wameondoka?
 3. Iweje akimbilie polisi angali amekuwa akituhumu vyombo vya dola ni adui zake?
Naomba wenye angalau majibu yenye kufikirisha wachangie bila jazba.

Nawaalika.
Mkuu haya ndio maswali magumu,au bado yanakuja?
 
SeiphuJazari

Member
Sep 7, 2017
27
45
Kusaka ukwel sawa na kumenya Ganda la kitunguu Lita kutoa machoz na kubaki macho juu ukisha fika kwenye kiini niambie nn utagundua zaidi ya mafaili ambayo Uta shindwa kuya funua
 
Scrat

Member
Dec 7, 2016
23
45
Nyumba ziko tatu hawakujua ipi yupo Nassari sio kuwa confused uko?au unafikuri kuwa confuswd mtu kuchanganikiwa akili?
Inawezekana hawa jamaa hawakuwa hata na time na yeye. Kama hawaja mwambia yeye alijuaje kwa wamekuwa confused mzee? Hujajibu swalii
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom