Mitoto ya kisimbe utaijua tu!
united states of america.
wanampango wa muda mrefu afrika ya mashariki mpaka congo.
Yaani wanataka bahari ya hindi mpaka atlantiki wapasafishe
mkishachinjano mkaisha watakuja kaa wao.
Link http://www.globalresearch.ca/the-is...it-has-nothing-to-do-with-sunni-islam/54373391. Nani anafunza wanamgambo hawa mafunzo ambao wamekuwa wakileta simanzi nchi Kenya kila leo?
2. Somali hakuna kiwanda cha siraha nani anamwaga siraha za kila namna?
3. Nani analeta chuki africa na kugharamia rebals wanapofanya uasi na kwa faida ya nani?
mwisho nani kaleta Al qaeda na ISIS Wanaosumbua dunia leo kwa kutumia uislam haliyakuwa uislam umeharamisha wanayoyafanya?
hazole1,Tatizo la dini ya ya kiislam imeangalia upande wa sehemu moja kijumla ni dini ya kinafiki imempa nafasi kubwa mwanaume kuliko mwanamke na watoto wanasema ukifa kwaajili ya dini ukienda ahera unapata mabikira 72 na wakati huo wewe hujui familia yako ulio iacha huku nyuma unaishi vipi alie andika hicho kitabu hakuandika kwa marefu na mapana aliandika tu bila kufikiria na hakupanda mbegu ya upendo
Tatizo la dini ya ya kiislam imeangalia upande wa sehemu moja kijumla ni dini ya kinafiki imempa nafasi kubwa mwanaume kuliko mwanamke na watoto wanasema ukifa kwaajili ya dini ukienda ahera unapata mabikira 72 na wakati huo wewe hujui familia yako ulio iacha huku nyuma unaishi vipi alie andika hicho kitabu hakuandika kwa marefu na mapana aliandika tu bila kufikiria na hakupanda mbegu ya upendo