Maswali magumu kuhusu Al shabaab na Al Qaeda

Maswali magumu kuhusu Al shabaab na Al Qaeda

Status
Not open for further replies.
Umesema KUDHIBITI WEZI na WAUAJI na SIYO DINI sawa?NA hata huop uthibiti bado hatuna haki ya kutoa uhai wa mtu,ni serikali vyombo vyake inayofanya hukumu hiyo na si wewe au mimi sawa?
Hakuna mahali popote niliposema nataka kudhibiti "dini"

Nimekupa mifano ya uwelewa aliotupa Mungu. Kuelewa Kwamba hili ni sawa na lile sio sawa.
 
mleta mada pamoja na wote wanaomsapoti, lengo lao na kilichomo kwenye akili zao ni kwamba marekani yupo nyuma ya al shabab na al quaeda.

hii ni myth ambayo watu wachache wenye akili ndogo wamedanganywa na wanaiamini. unachotakiwa kujua ni kwamba, kuna mkakati wa kishetani ambao mataifa ya kiarabu yanao, wa kusilimisha dunia nzima. kuanza na africa wanao mpango wa kusilimisha bara zima liwe la kiislam, ulaya yote inatakiwa kuwa ya kiislam. nafikiri marekani itakuwa ya mwisho kulingana na mkakati wao kwani christianity marekani ipo juu sana.

islamic caliphate inayoanzishawa na isis ndio hiyoiyo inasambaa hai africa magaribu na mashariki, wanataka kuongozwa na muislam na sheria za kiislam zitumike. ndio maana target kubwa sana ya hawa magaidi ni wakristo. walipoenda garissa walichangua wakristo wakawaua waislam hawajauawa. walifanya hivyohivyo hata westgate. wanafanya hivyo hata kwa isis. ukiona wanamuua muislam mwezake ujue ni kwasababu ni msuni vs mshia, au anashirikiana na adui yao kama ilivyo syria. ila kwa kawaida target ni kwa wakristo. na wanataka kusilimisha africa nzima na ulaya yote. ili dunia iwe ya kiislam.

ukiangalia kwa upande wa ulaya karibia wanafaulu, ulaya siku hizi uislam unakuwa sana sana. hao wahamiaji toka libya, syria, somalia etc wameshajiimarisha ulaya wamepata uraia na haki zote za kiraia wananunua makanisa na kubadilisha kuwa misikiti. waislam ulaya sasaivi ni wengi sana.

huu ndio ukweli halisi.

Mkuu umeongea ukweli kwa ulaya imeshakula kwao,ulaya wameacha kabsa misingi ya ukristo tofauti na Marekan ambapo watu wengi stil wanajitambua,baada ya miaka michache ijayo mji kama London utakuwa kama Karachi au Islamabad kutokana na wingi wa wahamiaji wanaofika,hizi nchi za ulaya walikuwa na nia ya kuwaassimilate na tamaduni zao lakn wamegundua uislam na tamaduni za kimagharibi ni vitu viwili tofauti,mtu anajisikia kuwa muislam zaidi kuliko mwingereza au mholanzi na hili ndio tatzo kubwa,kwa mfano mwingereza anaenda kujiunga na IS au Al Shabab tu kisa ni waislamu wenzao anajisahau kuwa yeye ni mwingereza,lakn ukiangalia kwa undani wao wanajisikia zaidi kuwa ni waislam kuliko utaifa wao na hilo ndio tatizo litalokuja kuziangamiza nchi za ulaya,hakuna kitu kama mwislamu mwingereza au mmarekani mwislam.
 
hapa duniani kuna makundi matatu ya siasa kali za kidini yenye ajenda zinazofanana.
(1)-cabal--hawa ni wayahuidi wenye itikadi kali,hawa ndo wanapanga kujenga hekalu pale jerusalem ili kuwezesha masiha wao arudi na kusimamisha ufalme wa daud pale jerusalem na kuwepo na dini moja tu duniani yani dini ya kiyahudi.hawa wako tayari vita ipiganwe kufikia lengo.
(2)Wahabism-hawa ni waislam wenye itikadi kali,hawa wako wengi saud,ila wameshatapakaa,mwanzilishi wake mohamed abdulwahab yasemekana ana asili ya kiyahudi,
hawa si suni japo hupenda waeleweke hivyo.wanataka aina yao ya kuabuidu ifatwe na kila mtu.
(3)-CHRISTIAN EVANGELICAL.
Hawa nao ni mahadliner wa hatari sana,wanapatikana marekani,na wamefanikiwa kuiteka siasa ya marekani,hasa kwa chama cha republican.
hawa wako dedicated kwa wanachoita taifa teule.
wanadhani ili yesu arudi sharti unabii utimie ama ikibidi UTIMILIZWE.
Kwanza wanasapoti great israel,tena lazima hekalu lijengwe iwe kwa heri ama kwa shari ,ili mwana wa adamu arudi kwa mara ya pili.

kila group linafanya mambo yake kivyake kufikia malengo,ni makundi haya matatu ndo hasa ulipo mzizi wa fitina.
 
Millions of Americans believe that0„2Christwill not come again until Israel wipes out its competitors and there is widespreadwar inthe Middle East
. Some of these folks0„2
want to start a huge fire ofwar and death and destruction, so that Jesus comes quickly.
According to French President Chirac, Bush0„2told him thatthe Iraqwar was needed tobring onthe apocalypse:
In0„2Genesis0„2and0„2Ezekiel0„2Gog and Magog are forces ofthe Apocalypse who are prophesied to come out ofthe north and destroy Israel unless stopped.The Book of Revelation took upthe Old Testament prophesy:
¡°And whenthe thousand years are expired, Satan shall be loosed out of his prison, And shall go out to deceivethe nations which are inthe four quarters ofthe earth, Gog and Magog, to gather them together to battle and fire came down from God out of heaven, and devoured them.¡±
Bush believedthe time had now come for that battle, telling Chirac:
¡°This confrontation is willed by God, who wants to use this conflict to erase his people¡¯s enemies before a New Age begins¡±¡-
There can be little doubt now that President Bush¡¯s reason for launchingthewar in Iraq was, for him, fundamentally religious. He was driven by his belief thatthe attack on Saddam¡¯s Iraq wasthe fulfilment of a Biblical prophesy in which he had been chosen to serve asthe instrument ofthe Lord.
And British Prime Minister Tony Blair long-time mentor, advisor and confidante0„2said:
 
British Prime Minister Tony Blair long-time mentor, advisor and confidante-said:
“Tony’s Christian faith is part of him, down to his cotton socks. He believed strongly atthe time, that intervention in Kosovo, Sierra Leone – Iraq too – was all part ofthe Christian battle; good should triumph over evil, making lives better.”
Mr Burton, who was often described as Mr Blair’s mentor, says that his religion gave him a “total belief in what’s right and what’s wrong”, leading him to seethe so-calledWar on Terror as “a moral cause”…
Anti-war campaigners criticised remarks Mr Blair made in 2006, suggesting thatthe decision to go towar in Iraq would ultimately be judged by God.
Bill Moyers reports thatthe organization Christians United for Israel – led by highly-influential Pastor John C. Hagee – is a universal call to all Christians to help factions in Israel fundthe Jewish settlements, throw out allthe Palestinians and-
lobby for a pre-emptive invasion of Iran. All tobring Russia into awar against us causingWorldWar III followed by Armageddon,the Second Coming andThe Rapture
 
Utakuwa huwatendei haki mathink tank na wachumi waliobobea wa marekani kutuaminisha kwamba uchumi wa marekani unategemea kuuza silaha bara la afrika, na kwamba siku afrika ikigoma kununua silaha itatikisa uchumi wa marekani. Hapa unataka kutuaminisha kwamba wachumi wa marekani wamekosa kabisa mbinu, ushauri na njia mbadala za kuendesha uchumi wa marekani isipokuwa ni viwanda vya silaha pekee.

Hapana umetengeneza silaha zikae ghalani au?
 
swari la pili hata mm hunisumbua akili, lakin naona mjadala umeanza kuwa mabishano ya dini, wengine hatupendi kubishania mambo ya din
 
Hapana umetengeneza silaha zikae ghalani au?

Hapana hajatengeneza ili zikae ghalani, nchi zote duniani zina majeshi ni kwa ajili ya usalama wa nchi husika na pengine ndo hununua silaha katka hivyo, ebu jiulize Tz tuna Jeshi na pengine tunanunua silaha ktk hivyo viwanda je tunazitumia kwa kiwango gani ili kumantain biashara za hivyo viwanda? Kwanini unataka kutuaminisha biashara ya silaha marekani ndo inamlipa zaidi kuliko biashara zingne ambazo ni mahitaji muhimu ya kilasiku kwa binadamu zenye mzunguko mkubwa kibiashara?
 
swari la pili hata mm hunisumbua akili, lakin naona mjadala umeanza kuwa mabishano ya dini, wengine hatupendi kubishania mambo ya din

Makundi tajwa hapo juu misimamo yake inajulikana ni kupigania dini sasa mjadala unawezaje kuetenganisha na dini?
 
watu wanasahau kuwa wamiliki wa viwanda vya silaha ni watu binafsi na hawajawekeza mabilion ili wapate hasara.
 
Mjadala ulianza vizuri,lakini baadhi ya wajumbe wameanza kuishambulia dini ya kiislamu na kudai wanalishwa sumu madrassa,
sasa niwaiulize nyie mnaoacha mada na kushambulia uislam,mmewahi kisoma madrasa?
Hizo sumu mlifundishwa?
Kama dini filani hamjui msiijadili,iacheni.
 
Tunapofikia hapa ndipo tunatakiwa kufikiri nje ya box!!

1. Vitisho vinavyoletwa na ulimwengu wa "Waislam" vimeanza lini??

2. Vifungu hivyo vinavyoamrisha kuua watu vimekuwepo toka lini?? Mbona muda mwingi ulimwengu ulikuwa kimyaa mpaka hivi karibuni tuu

3. Vinatafsiriwa ipasavyo?? Maana kwa uzoefu wangu mimi ukimfuata Shehe/Mchungaji ukamuuliza hivyo vifungu vinavyotajwa tajwa humu kuwa vinaamrisha kuua akiunganisha vifungu vyake unakuta anakupa maana tofauti!! Thus why huwa sibishanagi kuhusu masuala ya dini coz kuna Waislam humu walitoa kifungu cha biblia kinaamrisha kuua tukaenda nacho kwa Askofu akatuchambulia maana na matumizi menginee kabisa!! Hali kadhalika tukachukua vifungu humu tukaenda navyo kwa Shehe tuliyemuona kabobea nae akatoa tafsiri na matumizi mengineee...!! Ngachoka kabisa

4. Wanaovitumia hivyo vifungu ni watu sahihi?? Maana hata kama ni kufuata Sharia hukumu hutolewa na mabaraza maalum na ndipo adhabu hutekelezwa na si mtu mmoja mmoja, je yalifuatwa hayo!! Je siyo wahuni tu wanaofanya mauaji kwa kuwa wana silaha na visasi vyao binafsi na maslahi yao?

5. Je, wanapovitumia hivyo vifungu wanamaanisha katika swala la dini?? Mfano wale waliovamia chuo waliweza kuua wanawake wengi kwa kuwalaghai kupitia vifungu vya Quraan kuwa katika medani ya vita huruhusiwi kuua mwanamke yeyote!! Wakawaambia njooni hatutawaua dini hairusu na wanawake kwa kutokuelewa wakajikusanya kwa wingi na kilichotokea Mungu ndo anajua!! Sasa vitu kama hivyo wengi hawaelewii....!!

Lakini kikubwa ndo tunarudi pale pale ujinga wetu Waafrika kuiga yasiyofaa kuigwa!! Hata leo hii kuna Mtanzania anamchukia Mtanzania mwenzie kwa sababu ya dini na sababu eti vita ya Palestina na Israel wakati ye mwenyewe kazaliwa kaukuta huo mgogoro hahaahaaaaa...!! Hatari sana, si ni ujinga huo??

Kwa maana nyingine wewe na mimi tunakubaliana kwamba kuna MAFIRAUNI wachache wanaotumia DINI YA KIISLAMU kufanya UFIRAUNI wao na si UISLAMU!!!!!!!!!!!!!

Na pili tupo pamoja inabidi wenzetu waisome vyema QUARAN na kuielewa ili wasipotoshwe,hakika hakuna MUNGU anayependa kiumbe alichokiumba kiuawe.............

Hivyo tunakubaliana kwamba hakuna DINI inayoruhusu MAUAJI
 
Hakuna mahali popote niliposema nataka kudhibiti "dini"

Nimekupa mifano ya uwelewa aliotupa Mungu. Kuelewa Kwamba hili ni sawa na lile sio sawa.

SIjakukatalia ndiyo maana nimeiweka kama swali...Kwamba kwa uelewa wangu tunauwezo tuliopewa wa kuthibitiana na si kuithibiti DINI.........hiyo sawa ni kama nimeuliza tupo pamoja kwa uelewa wangu?
 
Haya Anza kutoa elim

Mh!Kulikoni?Kuna kibaya nilichosema?Hivi mfano mtu anaongelea vibaya DINI nyingine na ukamwambia ukweli kwamba akifanyacho sicho,siyo elimu?

Ukiona maelezo yangu mengi ni sawa na elimu tosha kwa muhusika ambaye anachuki dhidi ya dini nyingine.Pili yake Hakuna Mungu anayependa visasi,wala kuua binadamu mwingine.

Ninaamini hata wenzetu wanaamini katika MUNGU asiyependa vita..................
 
Mh!Kulikoni?Kuna kibaya nilichosema?Hivi mfano mtu anaongelea vibaya DINI nyingine na ukamwambia ukweli kwamba akifanyacho sicho,siyo elimu?

Ukiona maelezo yangu mengi ni sawa na elimu tosha kwa muhusika ambaye anachuki dhidi ya dini nyingine.Pili yake Hakuna Mungu anayependa visasi,wala kuua binadamu mwingine.

Ninaamini hata wenzetu wanaamini katika MUNGU asiyependa vita..................

wapi imeandikwa mungu hapendi vita?.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom