Maswali kwa CDF Mstaafu, Venance Mabeyo

Maswali kwa CDF Mstaafu, Venance Mabeyo

Umenijibu kwa wepesi sana huku ukiwa na hoja ingine mfukoni!
Labda ungenijibu maswali muhimu kuliko haya uliyoamua kuyachagua kidogo ningekuelewa!

Je!
Nchi ilikuwa chini ya uongozi wa nani wakati wote wa ugonjwa hadi kifo cha JPM?
Je!
Katiba inasema nini kuhusu hilo?
Kama Mabeyo anatuambia Makamu wa Rais wala waziri mkuu hawakuwa na taarifa hadi walipopigiwa simu ili kutaarifiwa juu ya kifo!

Ni kina nani walikuwa wakiratibu mambo hayo yote?
Je!
Serikali ilikuwa chini ya amri za jeshi?
Kuhusu Dokta Janabi na uwepo wake muda woote wa Magufuli akiugulia pale.Je ni nani hasa na alikuwa wapi daktari maalumu wa Marehemu Rais Magufuli?
Na ni nini ilikuwa uwajibikaji na uhusika wake kwenye tukio zima?

Msiwe mnakimbilia kutoa majibu mepesi kwenye mambo mazito kama haya bila kwanza kutanguliza tafakuri.

Na ndio maana nimeunganisha tukio la kifo cha kijana pekee wa Mabeyo kwenye ile ajali baada tu ya muda mfupi wa kifo cha JPM kupita na nikasema hiyo ndio Karma!

Magufuli alifariki akiwa peke yake bila hata mke wake kuitwa ili kuja kushuhudia saa za mwisho za mumewe!
Walikuwa wakiitana kina Mabeyo na kamati yao tu!
Khe!
Kila mtu atakufa ila kusema mtoto wa Mabeyo kufa ni karma hapo ni uchuro havina uhusiano wowote (Misplaced karma) kama Babake amefanya makosa hiyo karma impate Mabeyo mwenyewe.
 
Na ndio maana nimeunganisha tukio la kifo cha kijana pekee wa Mabeyo kwenye ile ajali baada tu ya muda mfupi wa kifo cha JPM kupita na nikasema hiyo ndio Karma!

Hapa tu panakutambulisha ulivyo kiazi, uliyekosa umakini kupitiliza, na hiyo karma hujui hata maana yake.

Nelson Mabeyo kafariki September 23, 2019, Magufuli kafariki March 17, 2021!

Halafu wewe unasema kifo cha Nelson ni karma ya kifo cha Magufuli?

Yaani karma inatangulia kabla?
 
Hatimae tumemsikia na kumshuhudia aliekuwa Chief of Defense Forces kupitia media na mtu ambae inaonekana ndie alikuwa kiongozi wa nchi kwa muda wa siku zote Marehemu JPM akiwa anapigania uhai wake na hatimae kuondoka Duniani!

Lakini maelezo yake yameongeza sintofahamu zaidi kuliko alivyotarajia. Na kwa wengine hasa mimi binafsi,
Sasa nimeelewa maana ya "karma". Muda mfupi baadae mtoto wa kiume wa Mabeyo aliekuwa Pilot pale Coastal Aviation alianguka na ndege uwanja wa Seronera akiwa yeye na rubani mwanafunzi wa vitendo (trainee) na wote walifariki Dunia.

Hili kwa sasa sintaliongelea sana ila nimeliweka hapa ili kuonyesha ukuu wa Mungu na Malipo yake kwa wale anaotaka kuwapa majibu ya matendo yao wakiwa bado hai.

Na wakati mjadala ukiendelea kuhusu mambo kadhaa ya kisiasa kutoka na hotuba ya Mstaafu Mabeyo!
Sisi wengine tunajiuliza wwali muhimu: Ni kwa nini walituficha ugonjwa wa mpendwa Rais wetu JPM?
Tunajiuliza: Dk Janabi alikuwa pale muda wote akifanya nini ilhali yeye hakuwahi kuwa Daktari wa JPM, bali alikuwa ni Daktari wa familia ya Kikwete na pia swahiba ya JK?

Tunajiuliza ...ni kwa nini walikwenda kumficha pale Mzena badala ya kumpeleka kwenye hospitali nyingine yenye hadhi ikiwezekana hata nje ya nchi? Tunajiuliza. Kama waziri mkuu alituficha. Makamu wa Rais alituficha!
Ni nani au kikundi gani kilikuwa kinaratibu haya mambo?

Tunajiuliza: Kama Mkuu wa majeshi aliambiwa na JPM awali kwamba wamrudishe nyumbani akafie huko.Ni kwa nini aligoma kutimiza takwa la Marehemu? Na kwa nini hakuwashirikisha wengine ili wachukuwe maamuzi sahihi?

Je, Magufuli aliugua ugonjwa gani huo ambao madaktari walikaa pembeni wakimshuhudia akipigania uhai wake akiwa kama mateka? Anasema alipofariki wao wakuu wa vyombo ndio waliwajulisha viongozi kama PM, CS na baadae makamu wa rais, ena wote hawakuwepo eneo la tukio.

Hatuoni mahala makamo wa Rais, mwanasheria mkuu, Wala jaji mkuu au spika wakiwa na maamuzi yeyote. Kila kitu kilipangwa na jeshi. Huyu Mabeyo ameongea, iko siku na wengine wataanza kuongea. Damu ya mtu huwa haipotei bure.

Kama kuna jambo lilipangwa na kufanywa na kikundi fulani,kinyume na tulivyoamishwa sisi wananchi. Na kwa jinsi siku ya Jana ilivyopita bila hata serikali ya Saa100 kujishughulisha na lolote kuhusu kumbukumbu hii muhimu nchini.

Tutashuhudia taraatiiibu!

R.I.P Jemedari JPM!

Wameanza kuropoka huku!
Hata mhoji maswali elfu moja kifo kipo pale pale na Magufuri kafa kama wanadamu wengine tena kwa ugonjwa alioubeza.
 
Maswali yako naona yanajibika, naona umeacha hisia zikutawale kwa kiasi kikubwa ndio tatizo lako.

-Hii tabia ya kuficha ugonjwa wa viongozi wetu niseme ndio tabia ya serikali yetu, walianzia kwa Hayati Magufuli wakaja nayo mpaka kwa VP wa sasa.

- Uwepo wa Dr. Janabi eneo la tukio kwangu nachukulia tofauti, inawezekana aliitwa pale akatoe ushauri wake wa kitabibu juu ya mgonjwa, hili hutokea kwa madaktari wengi, sioni sababu ya kuwa na hofu.

- Kuhusu Hayati JPM kupelekwa Mzena, najua hiyo ndio hospitali yao wazito wa hii nchi, hata Mzee Hayati Mwinyi nae alienda kutibiwa pale last month tukaambiwa mauti yalimkuta pale.

- Hayati JPM kwa ile tabia yake ya kutopenda mambo ya wazungu, sishangai kuona kwanini hakupelekwa huko Ulaya unapopataka ili akatibiwe.

- Unaposema Hayati Magufuli aliachwa akipigania uhai wake kama mateka napo unapokosea, mgonjwa akiwa amelazwa hospitali akiendelea na matibabu hutembelewa na ndugu au jamaa zake, wakati ule hauwezi kusema aliachwa akipigania uhai wake kama mateka, wakina Mabeyo na wengine ndio walikuwa jamaa zake wakati ule, Hayati JPM akiwa kama Amiri Jeshi Mkuu, na Mabeyo akiwa kama CDF.

• Hili suala la kushirikishwa kwa wengine, mbona inawezekana kabisa ikawa walishirikishwa kwa njia nyingine za kimawasiliano, mimi nijuavyo, hakuna hospitali inayoeleweka itaruhusu lundo la watu bila kujali vyeo vyao wakajazane wodini kwa mgonjwa, huo utakuwa ni usumbufu kwa mgonjwa usiotakiwa.

Kwangu, kama wakati wa kifo cha Hayati JPM pasingekuwepo na ugonjwa wa Corona, hapo ningeweza kuamini hizi rumours za mwendazake kuondolewa na wajanja, lakini kama Corona ilikuwepo, na ikaondoka na baadhi ya wasaidizi wa Hayati JPM, sioni kwanini isingemuondoa na JPM ikiwa yeye hakuwahi kuchukua tahadhari zozote za kisayansi kujikinga dhidi ya ule ugonjwa.
Sahihi kabisa mkuu.
 
Umenijibu kwa wepesi sana huku ukiwa na hoja ingine mfukoni!
Labda ungenijibu maswali muhimu kuliko haya uliyoamua kuyachagua kidogo ningekuelewa!

Je!
Nchi ilikuwa chini ya uongozi wa nani wakati wote wa ugonjwa hadi kifo cha JPM?
Je!
Katiba inasema nini kuhusu hilo?
Kama Mabeyo anatuambia Makamu wa Rais wala waziri mkuu hawakuwa na taarifa hadi walipopigiwa simu ili kutaarifiwa juu ya kifo!

Ni kina nani walikuwa wakiratibu mambo hayo yote?
Je!
Serikali ilikuwa chini ya amri za jeshi?
Kuhusu Dokta Janabi na uwepo wake muda woote wa Magufuli akiugulia pale.Je ni nani hasa na alikuwa wapi daktari maalumu wa Marehemu Rais Magufuli?
Na ni nini ilikuwa uwajibikaji na uhusika wake kwenye tukio zima?

Msiwe mnakimbilia kutoa majibu mepesi kwenye mambo mazito kama haya bila kwanza kutanguliza tafakuri.

Na ndio maana nimeunganisha tukio la kifo cha kijana pekee wa Mabeyo kwenye ile ajali baada tu ya muda mfupi wa kifo cha JPM kupita na nikasema hiyo ndio Karma!

Magufuli alifariki akiwa peke yake bila hata mke wake kuitwa ili kuja kushuhudia saa za mwisho za mumewe!
Walikuwa wakiitana kina Mabeyo na kamati yao tu!
Khe!
Pole.
 
Sio kwamba mtoto wa mabeyo ndio alianza kufa kabla ya DKt Magufuli
 
Kama watu wote wakaribu wote walikufa iweje walinzi wake hakuna aliyekufa mbona hapa kuna swali la kujiuliza?
 
Mwenye amri ya mwisho ya kumruhusu mgonjwa ni daktari hata raisi hana mamlaka hayo, angeruhusiwa kwa amri ya CDF leo ingesemekana yeye ndio alimtoa kwenye matibabu ili afe. Nchi nyingine usalama wa Taifa ndio panga safari za raisi na raisi hana amri, wakimwambia hamna kutoka nje wiki raisi hawezi kutoka hata afanyaje, hii ni kwa sababu dhamana ya ulinzi wa raisi iko juu yao na naijalishi raisi anataka nini ila akipata shida wao ndio watajibu ilikuaje
 
Umenijibu kwa wepesi sana huku ukiwa na hoja ingine mfukoni!
Labda ungenijibu maswali muhimu kuliko haya uliyoamua kuyachagua kidogo ningekuelewa!

Je!
Nchi ilikuwa chini ya uongozi wa nani wakati wote wa ugonjwa hadi kifo cha JPM?
Je!
Katiba inasema nini kuhusu hilo?
Kama Mabeyo anatuambia Makamu wa Rais wala waziri mkuu hawakuwa na taarifa hadi walipopigiwa simu ili kutaarifiwa juu ya kifo!

Ni kina nani walikuwa wakiratibu mambo hayo yote?
Je!
Serikali ilikuwa chini ya amri za jeshi?
Kuhusu Dokta Janabi na uwepo wake muda woote wa Magufuli akiugulia pale.Je ni nani hasa na alikuwa wapi daktari maalumu wa Marehemu Rais Magufuli?
Na ni nini ilikuwa uwajibikaji na uhusika wake kwenye tukio zima?

Msiwe mnakimbilia kutoa majibu mepesi kwenye mambo mazito kama haya bila kwanza kutanguliza tafakuri.

Na ndio maana nimeunganisha tukio la kifo cha kijana pekee wa Mabeyo kwenye ile ajali baada tu ya muda mfupi wa kifo cha JPM kupita na nikasema hiyo ndio Karma!

Magufuli alifariki akiwa peke yake bila hata mke wake kuitwa ili kuja kushuhudia saa za mwisho za mumewe!
Walikuwa wakiitana kina Mabeyo na kamati yao tu!
Khe!
Kwanza umekosea....kijana wa mabeyo alifariki wakati jiwe akiwa Bado hai kabisa ..Na jiwe alienda kumtembelea nyumbani nampicha zipo so acha kudanganya angalia facts
 
Pale hawapelekwi kupatiwa matibabu wapone. Pale unapelekwa kwenye your last days and they see no option. Na kwa mujibu wa mabeyo anasema pale si kila mtu anaweza kuingia maana yake kwa watanzania wanavyopenda ushilawadu na upaparazi ukifia muhimbili taarifa zitawafikia ndugu zako kupitia manesi na wauguzi wengine hata kabla ya taarifa rasmi kutolewa na wanao takiwa kufanya hivyo.

Wanapelekwa pale pengine wakiwa ni wafu ili kupisha protokali nyinginezo tu za kiserikali na unatangaziwa kuwa alifia mzena. End of story
Hapa naamini kabisa, marais wote isipokua Mchonga wamefia Mzena, mbona hatari hii.
 
Mambo mazito ya nchi yanayolihusu na jeshi siyo yakurukia-rukia unaweza zua taharuki ukaombwa ukaeleze wewe jinsi ilivyokuwa!!
Elewa mpaka alipoishia usijiongeze saana ukajikuta wewe CIA...
Asante mabeyo wakuelewa tumeelewa hongera kwa kusimamia katiba licha ya wachache kutaka kuipindisha Kwa maslahi yao...
Sasa naelewa kwanini kuna wazee wamepumzishwa uwaziri Kwamba wawe washauri 🤣🤣🤣🤣
 
Maswali yako naona yanajibika, naona umeacha hisia zikutawale kwa kiasi kikubwa ndio tatizo lako.

-Hii tabia ya kuficha ugonjwa wa viongozi wetu niseme ndio tabia ya serikali yetu, walianzia kwa Hayati Magufuli wakaja nayo mpaka kwa VP wa sasa.

- Uwepo wa Dr. Janabi eneo la tukio kwangu nachukulia tofauti, inawezekana aliitwa pale akatoe ushauri wake wa kitabibu juu ya mgonjwa, hili hutokea kwa madaktari wengi, sioni sababu ya kuwa na hofu.

- Kuhusu Hayati JPM kupelekwa Mzena, najua hiyo ndio hospitali yao wazito wa hii nchi, hata Mzee Hayati Mwinyi nae alienda kutibiwa pale last month tukaambiwa mauti yalimkuta pale.

- Hayati JPM kwa ile tabia yake ya kutopenda mambo ya wazungu, sishangai kuona kwanini hakupelekwa huko Ulaya unapopataka ili akatibiwe.

- Unaposema Hayati Magufuli aliachwa akipigania uhai wake kama mateka napo unapokosea, mgonjwa akiwa amelazwa hospitali akiendelea na matibabu hutembelewa na ndugu au jamaa zake, wakati ule hauwezi kusema aliachwa akipigania uhai wake kama mateka, wakina Mabeyo na wengine ndio walikuwa jamaa zake wakati ule, Hayati JPM akiwa kama Amiri Jeshi Mkuu, na Mabeyo akiwa kama CDF.

[emoji830] Hili suala la kushirikishwa kwa wengine, mbona inawezekana kabisa ikawa walishirikishwa kwa njia nyingine za kimawasiliano, mimi nijuavyo, hakuna hospitali inayoeleweka itaruhusu lundo la watu bila kujali vyeo vyao wakajazane wodini kwa mgonjwa, huo utakuwa ni usumbufu kwa mgonjwa usiotakiwa.

Kwangu, kama wakati wa kifo cha Hayati JPM pasingekuwepo na ugonjwa wa Corona, hapo ningeweza kuamini hizi rumours za mwendazake kuondolewa na wajanja, lakini kama Corona ilikuwepo, na ikaondoka na baadhi ya wasaidizi wa Hayati JPM, sioni kwanini isingemuondoa na JPM ikiwa yeye hakuwahi kuchukua tahadhari zozote za kisayansi kujikinga dhidi ya ule ugonjwa.
Uzi wa magumashi kwa ajiri ya uchafuzi wa taifa ufungwe kabisa
[emoji120] [emoji120]
 
Hata sijachagua maswali ya kukujibu, ngoja niendelee...

- Nchi inakuwa chini ya uongozi wa VP, hili lipo kikatiba.

- Katiba inazungumzia pale Rais anapokuwa nje ya nchi, kwa shughuli za kikazi, ugonjwa au vinginevyo, Makamu wake ndie anashika hatamu. Au ulitaka Katiba iseme kitu kuhusu VP kutopewa taarifa za ugonjwa wa Hayati JPM?!

Nani kati yenu mwenye uhakika kama VP hakuwa anafahamu chochote kuhusu hali ya ugonjwa wa Hayati JPM, narudia tena zipo njia nyingine za mawasiliano kufikisha ujumbe kwa mhusika, wakati ambao Mabeyo hakuwepo, ndio maana nasisitiza mwenye jibu la mwisho kuhusu hili, ni Samia pekee.

Mabeyo kazungumzia aliyoyaona mwenyewe, mengine yaongelewe na wengine. Naamini hata PM nae akiulizwa kuhusu hili jambo atakuja na part yake tofauti ambayo Mabeyo hakuigusa, hivyo hivyo kwa VP na wengine.

- Suala la waratibu, hao mbona wanaonekana wazi, ukianza na Mabeyo mwenyewe kwa cheo chake, PM Majaliwa, waliokuwa eneo la tukio, na viongozi wengine serikalini inawezekana walishirikishwa kwa mbali, wasingeweza wote kujazana kwenye chumba cha mgonjwa.

- Uwepo wa Dr. Janabi eneo la tukio pia nimekwambia inaweza kuwa ni ushauri wake kitaalamu ndio uliohitajika eneo husika, kama hata Dr. binafsi wa Hayati Magufuli humfahamu mpaka unaniuliza ni nani hasa, mimi siwezi kukupa jibu kwasababu hata nami sikuwa namfahamu.

• Hapa nakushangaa, kama hukuwa ukimfahamu daktari wa Hayati Magufuli, kwanini ushangae kutokuwepo kwake?!

• Mtu ambaye hata hukuwa ukimfahamu, unaulizia vipi uwajibikaji wake?!

Hata kuhusu kifo cha kijana wa Mabeyo kwenye ajali { sikumbuki kilitokea wakati gani}, napo sioni cha kushangaza, hakuna karma pale; ni nani kati yetu asiyekufa? au wewe ndie hupanga nani afe lini? mimi sioni uzito wowote wa hoja zako.
Kwani hoja yenyewe anaijua ni kitu gani[emoji2368]
 
Back
Top Bottom