Kama watu wote wakaribu wote walikufa iweje walinzi wake hakuna aliyekufa mbona hapa kuna swali la kujiuliza?
Kwani unawajua walinzi wake wangapi?
Ikitokea yupo au wapo waliofariki taarifa hzo utazipataje?
Kama watu wote wakaribu wote walikufa iweje walinzi wake hakuna aliyekufa mbona hapa kuna swali la kujiuliza?
The GOABLEmwendazake kwa kiingereza inatamkw
Kama ugonjwa wa JPM ulihusisha tatizo la moyo, siyo ajabu Dr Janabi kushirikishwa kwenye tiba kwa kuwa ni mbobezi wa eneo hilo
tuanza na Aide de camp msaidizi na Usalama piaKwani unawajua walinzi wake wangapi?
Ikitokea yupo au wapo waliofariki taarifa hzo utazipataje?
tuanza na Aide de camp msaidizi na Usalama pia
Maswali yako naona yanajibika, naona umeacha hisia zikutawale kwa kiasi kikubwa ndio tatizo lako.
-Hii tabia ya kuficha ugonjwa wa viongozi wetu niseme ndio tabia ya serikali yetu, walianzia kwa Hayati Magufuli wakaja nayo mpaka kwa VP wa sasa.
- Uwepo wa Dr. Janabi eneo la tukio kwangu nachukulia tofauti, inawezekana aliitwa pale akatoe ushauri wake wa kitabibu juu ya mgonjwa, hili hutokea kwa madaktari wengi, sioni sababu ya kuwa na hofu.
- Kuhusu Hayati JPM kupelekwa Mzena, najua hiyo ndio hospitali yao wazito wa hii nchi, hata Mzee Hayati Mwinyi nae alienda kutibiwa pale last month tukaambiwa mauti yalimkuta pale.
- Hayati JPM kwa ile tabia yake ya kutopenda mambo ya wazungu, sishangai kuona kwanini hakupelekwa huko Ulaya unapopataka ili akatibiwe.
- Unaposema Hayati Magufuli aliachwa akipigania uhai wake kama mateka napo unapokosea, mgonjwa akiwa amelazwa hospitali akiendelea na matibabu hutembelewa na ndugu au jamaa zake, wakati ule hauwezi kusema aliachwa akipigania uhai wake kama mateka, wakina Mabeyo na wengine ndio walikuwa jamaa zake wakati ule, Hayati JPM akiwa kama Amiri Jeshi Mkuu, na Mabeyo akiwa kama CDF.
Hili suala la kushirikishwa kwa wengine, mbona inawezekana kabisa ikawa walishirikishwa kwa njia nyingine za kimawasiliano, mimi nijuavyo, hakuna hospitali inayoeleweka itaruhusu lundo la watu bila kujali vyeo vyao wakajazane wodini kwa mgonjwa, huo utakuwa ni usumbufu kwa mgonjwa usiotakiwa.![]()
Kwangu, kama wakati wa kifo cha Hayati JPM pasingekuwepo na ugonjwa wa Corona, hapo ningeweza kuamini hizi rumours za mwendazake kuondolewa na wajanja, lakini kama Corona ilikuwepo, na ikaondoka na baadhi ya wasaidizi wa Hayati JPM, sioni kwanini isingemuondoa na JPM ikiwa yeye hakuwahi kuchukua tahadhari zozote za kisayansi kujikinga dhidi ya ule ugonjwa
Kama profesa Janabi aliitwa hospitalini kwenda kutoa ushauri kwanini daktari Mchembe ambaye ni daktari maalumu wa rais JPM hakushirikishwa kwenye jopo la matibabu kuanzia mwanzo hadi kikapu kilipodondoka chini na alitengwa?Maswali yako naona yanajibika, naona umeacha hisia zikutawale kwa kiasi kikubwa ndio tatizo lako.
-Hii tabia ya kuficha ugonjwa wa viongozi wetu niseme ndio tabia ya serikali yetu, walianzia kwa Hayati Magufuli wakaja nayo mpaka kwa VP wa sasa.
- Uwepo wa Dr. Janabi eneo la tukio kwangu nachukulia tofauti, inawezekana aliitwa pale akatoe ushauri wake wa kitabibu juu ya mgonjwa, hili hutokea kwa madaktari wengi, sioni sababu ya kuwa na hofu.
- Kuhusu Hayati JPM kupelekwa Mzena, najua hiyo ndio hospitali yao wazito wa hii nchi, hata Mzee Hayati Mwinyi nae alienda kutibiwa pale last month tukaambiwa mauti yalimkuta pale.
- Hayati JPM kwa ile tabia yake ya kutopenda mambo ya wazungu, sishangai kuona kwanini hakupelekwa huko Ulaya unapopataka ili akatibiwe.
- Unaposema Hayati Magufuli aliachwa akipigania uhai wake kama mateka napo unapokosea, mgonjwa akiwa amelazwa hospitali akiendelea na matibabu hutembelewa na ndugu au jamaa zake, wakati ule hauwezi kusema aliachwa akipigania uhai wake kama mateka, wakina Mabeyo na wengine ndio walikuwa jamaa zake wakati ule, Hayati JPM akiwa kama Amiri Jeshi Mkuu, na Mabeyo akiwa kama CDF.
[emoji830] Hili suala la kushirikishwa kwa wengine, mbona inawezekana kabisa ikawa walishirikishwa kwa njia nyingine za kimawasiliano, mimi nijuavyo, hakuna hospitali inayoeleweka itaruhusu lundo la watu bila kujali vyeo vyao wakajazane wodini kwa mgonjwa, huo utakuwa ni usumbufu kwa mgonjwa usiotakiwa.
Kwangu, kama wakati wa kifo cha Hayati JPM pasingekuwepo na ugonjwa wa Corona, hapo ningeweza kuamini hizi rumours za mwendazake kuondolewa na wajanja, lakini kama Corona ilikuwepo, na ikaondoka na baadhi ya wasaidizi wa Hayati JPM, sioni kwanini isingemuondoa na JPM ikiwa yeye hakuwahi kuchukua tahadhari zozote za kisayansi kujikinga dhidi ya ule ugonjwa.
"Damu ya mtu huwa haipotei bure". Nakuungu mkono mkuu asilimia 💯 ..R.I.P Ben Sanane, Mawazo, Watu wote waliuawa kikatili wa Rufiji ,Kibiti,wote waliokotwa wakwenye viroba..( Chupuchupu kumkill Shujaa Mh Lissu)Hatimae tumemsikia na kumshuhudia aliekuwa Chief of Defense Forces kupitia media na mtu ambae inaonekana ndie alikuwa kiongozi wa nchi kwa muda wa siku zote Marehemu JPM akiwa anapigania uhai wake na hatimae kuondoka Duniani!
Lakini maelezo yake yameongeza sintofahamu zaidi kuliko alivyotarajia. Na kwa wengine hasa mimi binafsi,
Sasa nimeelewa maana ya "karma". Muda mfupi baadae mtoto wa kiume wa Mabeyo aliekuwa Pilot pale Coastal Aviation alianguka na ndege uwanja wa Seronera akiwa yeye na rubani mwanafunzi wa vitendo (trainee) na wote walifariki Dunia.
Hili kwa sasa sintaliongelea sana ila nimeliweka hapa ili kuonyesha ukuu wa Mungu na Malipo yake kwa wale anaotaka kuwapa majibu ya matendo yao wakiwa bado hai.
Na wakati mjadala ukiendelea kuhusu mambo kadhaa ya kisiasa kutoka na hotuba ya Mstaafu Mabeyo!
Sisi wengine tunajiuliza wwali muhimu: Ni kwa nini walituficha ugonjwa wa mpendwa Rais wetu JPM?
Tunajiuliza: Dk Janabi alikuwa pale muda wote akifanya nini ilhali yeye hakuwahi kuwa Daktari wa JPM, bali alikuwa ni Daktari wa familia ya Kikwete na pia swahiba ya JK?
Tunajiuliza ...ni kwa nini walikwenda kumficha pale Mzena badala ya kumpeleka kwenye hospitali nyingine yenye hadhi ikiwezekana hata nje ya nchi? Tunajiuliza. Kama waziri mkuu alituficha. Makamu wa Rais alituficha!
Ni nani au kikundi gani kilikuwa kinaratibu haya mambo?
Tunajiuliza: Kama Mkuu wa majeshi aliambiwa na JPM awali kwamba wamrudishe nyumbani akafie huko.Ni kwa nini aligoma kutimiza takwa la Marehemu? Na kwa nini hakuwashirikisha wengine ili wachukuwe maamuzi sahihi?
Je, Magufuli aliugua ugonjwa gani huo ambao madaktari walikaa pembeni wakimshuhudia akipigania uhai wake akiwa kama mateka? Anasema alipofariki wao wakuu wa vyombo ndio waliwajulisha viongozi kama PM, CS na baadae makamu wa rais, ena wote hawakuwepo eneo la tukio.
Hatuoni mahala makamo wa Rais, mwanasheria mkuu, Wala jaji mkuu au spika wakiwa na maamuzi yeyote. Kila kitu kilipangwa na jeshi. Huyu Mabeyo ameongea, iko siku na wengine wataanza kuongea. Damu ya mtu huwa haipotei bure.
Kama kuna jambo lilipangwa na kufanywa na kikundi fulani,kinyume na tulivyoamishwa sisi wananchi. Na kwa jinsi siku ya Jana ilivyopita bila hata serikali ya Saa100 kujishughulisha na lolote kuhusu kumbukumbu hii muhimu nchini.
Tutashuhudia taraatiiibu!
R.I.P Jemedari JPM!
Wameanza kuropoka huku!
Kama nakuelewa vizuri hivi kwa narration hivi mkuu ila kuna vipande maoni yangu tofauti .Hata sijachagua maswali ya kukujibu, ngoja niendelee...
- Nchi inakuwa chini ya uongozi wa VP, hili lipo kikatiba.
- Katiba inazungumzia pale Rais anapokuwa nje ya nchi, kwa shughuli za kikazi, ugonjwa au vinginevyo, Makamu wake ndie anashika hatamu. Au ulitaka Katiba iseme kitu kuhusu VP kutopewa taarifa za ugonjwa wa Hayati JPM?!
Nani kati yenu mwenye uhakika kama VP hakuwa anafahamu chochote kuhusu hali ya ugonjwa wa Hayati JPM, narudia tena zipo njia nyingine za mawasiliano kufikisha ujumbe kwa mhusika, wakati ambao Mabeyo hakuwepo, ndio maana nasisitiza mwenye jibu la mwisho kuhusu hili, ni Samia pekee.
Mabeyo kazungumzia aliyoyaona mwenyewe, mengine yaongelewe na wengine. Naamini hata PM nae akiulizwa kuhusu hili jambo atakuja na part yake tofauti ambayo Mabeyo hakuigusa, hivyo hivyo kwa VP na wengine.
- Suala la waratibu, hao mbona wanaonekana wazi, ukianza na Mabeyo mwenyewe kwa cheo chake, PM Majaliwa, waliokuwa eneo la tukio, na viongozi wengine serikalini inawezekana walishirikishwa kwa mbali, wasingeweza wote kujazana kwenye chumba cha mgonjwa.
- Uwepo wa Dr. Janabi eneo la tukio pia nimekwambia inaweza kuwa ni ushauri wake kitaalamu ndio uliohitajika eneo husika, kama hata Dr. binafsi wa Hayati Magufuli humfahamu mpaka unaniuliza ni nani hasa, mimi siwezi kukupa jibu kwasababu hata nami sikuwa namfahamu.
• Hapa nakushangaa, kama hukuwa ukimfahamu daktari wa Hayati Magufuli, kwanini ushangae kutokuwepo kwake?!
• Mtu ambaye hata hukuwa ukimfahamu, unaulizia vipi uwajibikaji wake?!
Hata kuhusu kifo cha kijana wa Mabeyo kwenye ajali { sikumbuki kilitokea wakati gani}, napo sioni cha kushangaza, hakuna karma pale; ni nani kati yetu asiyekufa? au wewe ndie hupanga nani afe lini? mimi sioni uzito wowote wa hoja zako.
Inawezekana huyo Dr wa Magufuli alikuwa na dharura, lakini pia inawezekana kuna mchezo ulichezwa kama ambavyo wewe na wengine mnafikiri, hapa wa kuja kutoa uthibitisho ni Dr. Mchembe peke yake.Kama profesa Janabi aliitwa hospitalini kutoa ushauri kwanini daktari maalumu wa rais Mchem
Kama profesa Janabi aliitwa hospitalini kwenda kutoa ushauri kwanini daktari Mchembe ambaye ni daktari maalumu wa rais JPM hakushirikishwa kwenye jopo la matibabu kuanzia mwanzo hadi kikapu kilipodondoka chini na alitengwa?
*Why was Professor Janabi called to the hospital to provide a bit of consultative advice while a specialized doctor Mchembe for president JPM was not involved in the medical team from scratch to the climax of the tragic event and was isolated? The recent response of the retired CDF to the TBC journalist's interview which is currently spiraling viral on the social media platform is just the beginning, as there is more to uncover.
Yes, hii issue lazima iwe na two sides, kuna upande wangu, na upande wako pia.Kama nakuelewa vizuri hivi kwa narration hivi mkuu ila kuna vipande maoni yangu tofauti .
uwepo wa Dr janabi kuna mawili ambayo huenda ni kweli au yakawa yaliendeshwa kihisia.
- uwepo wake watu waliumulika na kumwangalia zaidi kwa kuwa ni kwanini Dr wa familia nyingine (JK) ambayo wengi walidai kuna sintofahamu kati ya JK na JPM hivyo kuhisi katumwa
- lingine ni hilo ulilosema kitabibu ana uwezo wa kuitwa pia kutoa ushauri kwa kuwa na yeye ni tabibu mkubwa na ni mbobevu katika maswala ya afya ikizingatiwa madaktari walishindwa kumtibu mgonjwa , pale unaposhindwa ndipo wazo la kuita wengine wakusaidie pia huwa linakuja
Na wahusika kuusema ukweli ni ngumu issue za serikali na wanasiasa bana, kizungumkuti ndio maana watu wanakuwa na huenda ilikuwa hivi au vileYes, hii issue lazima iwe na two sides, kuna upande wangu, na upande wako pia.
Mpaka pale wahusika watakapokuja kutoa maelezo yao, hapo ndipo tutakapojua mbivu na mbichi.
unawatisha sana watu mzee hata marehemu ana tetesi nyingi za kuhusika kwenye baadhi ya mauaji ya wakosoaji wake vp kama na yeye kakutana na malipo ya damu alizozipoteza kama ni kweliHatimae tumemsikia na kumshuhudia aliekuwa Chief of Defense Forces kupitia media na mtu ambae inaonekana ndie alikuwa kiongozi wa nchi kwa muda wa siku zote Marehemu JPM akiwa anapigania uhai wake na hatimae kuondoka Duniani!
Lakini maelezo yake yameongeza sintofahamu zaidi kuliko alivyotarajia. Na kwa wengine hasa mimi binafsi,
Sasa nimeelewa maana ya "karma". Muda mfupi baadae mtoto wa kiume wa Mabeyo aliekuwa Pilot pale Coastal Aviation alianguka na ndege uwanja wa Seronera akiwa yeye na rubani mwanafunzi wa vitendo (trainee) na wote walifariki Dunia.
Hili kwa sasa sintaliongelea sana ila nimeliweka hapa ili kuonyesha ukuu wa Mungu na Malipo yake kwa wale anaotaka kuwapa majibu ya matendo yao wakiwa bado hai.
Na wakati mjadala ukiendelea kuhusu mambo kadhaa ya kisiasa kutoka na hotuba ya Mstaafu Mabeyo!
Sisi wengine tunajiuliza wwali muhimu: Ni kwa nini walituficha ugonjwa wa mpendwa Rais wetu JPM?
Tunajiuliza: Dk Janabi alikuwa pale muda wote akifanya nini ilhali yeye hakuwahi kuwa Daktari wa JPM, bali alikuwa ni Daktari wa familia ya Kikwete na pia swahiba ya JK?
Tunajiuliza ...ni kwa nini walikwenda kumficha pale Mzena badala ya kumpeleka kwenye hospitali nyingine yenye hadhi ikiwezekana hata nje ya nchi? Tunajiuliza. Kama waziri mkuu alituficha. Makamu wa Rais alituficha!
Ni nani au kikundi gani kilikuwa kinaratibu haya mambo?
Tunajiuliza: Kama Mkuu wa majeshi aliambiwa na JPM awali kwamba wamrudishe nyumbani akafie huko.Ni kwa nini aligoma kutimiza takwa la Marehemu? Na kwa nini hakuwashirikisha wengine ili wachukuwe maamuzi sahihi?
Je, Magufuli aliugua ugonjwa gani huo ambao madaktari walikaa pembeni wakimshuhudia akipigania uhai wake akiwa kama mateka? Anasema alipofariki wao wakuu wa vyombo ndio waliwajulisha viongozi kama PM, CS na baadae makamu wa rais, ena wote hawakuwepo eneo la tukio.
Hatuoni mahala makamo wa Rais, mwanasheria mkuu, Wala jaji mkuu au spika wakiwa na maamuzi yeyote. Kila kitu kilipangwa na jeshi. Huyu Mabeyo ameongea, iko siku na wengine wataanza kuongea. Damu ya mtu huwa haipotei bure.
Kama kuna jambo lilipangwa na kufanywa na kikundi fulani,kinyume na tulivyoamishwa sisi wananchi. Na kwa jinsi siku ya Jana ilivyopita bila hata serikali ya Saa100 kujishughulisha na lolote kuhusu kumbukumbu hii muhimu nchini.
Tutashuhudia taraatiiibu!
R.I.P Jemedari JPM!
Wameanza kuropoka huku!
Kwa taarifa yako Magufuli hakuwa binadamu wa kawaida bali shetani! Pia hakuwa mpendwa wetu labda wa majini! Hakuwa jemadari bali jambazi!Hatimae tumemsikia na kumshuhudia aliekuwa Chief of Defense Forces kupitia media na mtu ambae inaonekana ndie alikuwa kiongozi wa nchi kwa muda wa siku zote Marehemu JPM akiwa anapigania uhai wake na hatimae kuondoka Duniani!
Lakini maelezo yake yameongeza sintofahamu zaidi kuliko alivyotarajia. Na kwa wengine hasa mimi binafsi,
Sasa nimeelewa maana ya "karma". Muda mfupi baadae mtoto wa kiume wa Mabeyo aliekuwa Pilot pale Coastal Aviation alianguka na ndege uwanja wa Seronera akiwa yeye na rubani mwanafunzi wa vitendo (trainee) na wote walifariki Dunia.
Hili kwa sasa sintaliongelea sana ila nimeliweka hapa ili kuonyesha ukuu wa Mungu na Malipo yake kwa wale anaotaka kuwapa majibu ya matendo yao wakiwa bado hai.
Na wakati mjadala ukiendelea kuhusu mambo kadhaa ya kisiasa kutoka na hotuba ya Mstaafu Mabeyo!
Sisi wengine tunajiuliza wwali muhimu: Ni kwa nini walituficha ugonjwa wa mpendwa Rais wetu JPM?
Tunajiuliza: Dk Janabi alikuwa pale muda wote akifanya nini ilhali yeye hakuwahi kuwa Daktari wa JPM, bali alikuwa ni Daktari wa familia ya Kikwete na pia swahiba ya JK?
Tunajiuliza ...ni kwa nini walikwenda kumficha pale Mzena badala ya kumpeleka kwenye hospitali nyingine yenye hadhi ikiwezekana hata nje ya nchi? Tunajiuliza. Kama waziri mkuu alituficha. Makamu wa Rais alituficha!
Ni nani au kikundi gani kilikuwa kinaratibu haya mambo?
Tunajiuliza: Kama Mkuu wa majeshi aliambiwa na JPM awali kwamba wamrudishe nyumbani akafie huko.Ni kwa nini aligoma kutimiza takwa la Marehemu? Na kwa nini hakuwashirikisha wengine ili wachukuwe maamuzi sahihi?
Je, Magufuli aliugua ugonjwa gani huo ambao madaktari walikaa pembeni wakimshuhudia akipigania uhai wake akiwa kama mateka? Anasema alipofariki wao wakuu wa vyombo ndio waliwajulisha viongozi kama PM, CS na baadae makamu wa rais, ena wote hawakuwepo eneo la tukio.
Hatuoni mahala makamo wa Rais, mwanasheria mkuu, Wala jaji mkuu au spika wakiwa na maamuzi yeyote. Kila kitu kilipangwa na jeshi. Huyu Mabeyo ameongea, iko siku na wengine wataanza kuongea. Damu ya mtu huwa haipotei bure.
Kama kuna jambo lilipangwa na kufanywa na kikundi fulani,kinyume na tulivyoamishwa sisi wananchi. Na kwa jinsi siku ya Jana ilivyopita bila hata serikali ya Saa100 kujishughulisha na lolote kuhusu kumbukumbu hii muhimu nchini.
Tutashuhudia taraatiiibu!
R.I.P Jemedari JPM!
Wameanza kuropoka huku!
HakikaKwa taarifa yako Magufuli hakuwa binadamu wa kawaida bali shetani! Pia hakuwa mpendwa wetu labda wa majini! Hakuwa jemadari bali jambazi!
Kwanza ajali ya ndede ni hitilafu ya kiufundi sio mpango wa Mungu, ikianguka ukafa ndio Mapenzi yake yanatimia maana wapo waliowahi anguka na madege na hawakufa. Pili usipende kujadili mambo usiyo na ufahamu nayo. Jaji mkuu au mwanasheria wa serikali kama kina nani wapewe ripoti ya hali ya Rais ili hali nao wamewekwa md awowote wanaondolewa. Wabongo acheni ujuaji.Hili kwa sasa sintaliongelea sana ila nimeliweka hapa ili kuonyesha ukuu wa Mungu na Malipo yake kwa wale anaotaka kuwapa majibu ya matendo yao wakiwa bado hai.
Mkiwezekana mhakikishe amekula na kunywa maji ya kutosha.Ukitaka kumuarifu first born wa kike kwamba Baba amefariki, unawaita na kuwaarifu kwanza baba mdogo au mkubwa, shangazi na mjomba 🐒
Kisha mnajadiliana na kukubaliana namna ya kumuarifu first born, na akiwa mbali mnamsogeza kwanza jirani na msiba ulipo, mnamuweka sawa na ndipo sasa mnamuweka wazi kilichotokea 🐒
Nadhani uwepo wa Janabi uliwafanya watu wahisi kuwa alikuwa na kazi maalum, hasa kutokana na kilichotokea baada ya kifo cha JPM. Yaani wale mzee Kinana kurudishwa ghafra kwenye uongozi wa chama na mtoto wa yule mzee mwenzake waliokuwa wakimtukana JPM kurudishiwa uwaziri na mtoto wa JK kuteuliwa uwaziri. (kumbe it was just a coincidence)- Uwepo wa Dr. Janabi eneo la tukio kwangu nachukulia tofauti, inawezekana aliitwa pale akatoe ushauri wake wa kitabibu juu ya mgonjwa, hili hutokea kwa madaktari wengi, sioni sababu ya kuwa na hofu.
- Hayati JPM kwa ile tabia yake ya kutopenda mambo ya wazungu, sishangai kuona kwanini hakupelekwa huko Ulaya unapopataka ili akatibiwe.
- Unaposema Hayati Magufuli aliachwa akipigania uhai wake kama mateka napo unapokosea, mgonjwa akiwa amelazwa hospitali akiendelea na matibabu hutembelewa na ndugu au jamaa zake, wakati ule hauwezi kusema aliachwa akipigania uhai wake kama mateka, wakina Mabeyo na wengine ndio walikuwa jamaa zake wakati ule, Hayati JPM akiwa kama Amiri Jeshi Mkuu, na Mabeyo akiwa kama CDF.
Mpumbavu kama wewe hupaswi kujibiwa! Huyo shetani mwenzako heri alitangulia mapema kwa kuwa angeangamiza wengi!Umenijibu kwa wepesi sana huku ukiwa na hoja ingine mfukoni!
Labda ungenijibu maswali muhimu kuliko haya uliyoamua kuyachagua kidogo ningekuelewa!
Je!
Nchi ilikuwa chini ya uongozi wa nani wakati wote wa ugonjwa hadi kifo cha JPM?
Je!
Katiba inasema nini kuhusu hilo?
Kama Mabeyo anatuambia Makamu wa Rais wala waziri mkuu hawakuwa na taarifa hadi walipopigiwa simu ili kutaarifiwa juu ya kifo!
Ni kina nani walikuwa wakiratibu mambo hayo yote?
Je!
Serikali ilikuwa chini ya amri za jeshi?
Kuhusu Dokta Janabi na uwepo wake muda woote wa Magufuli akiugulia pale.Je ni nani hasa na alikuwa wapi daktari maalumu wa Marehemu Rais Magufuli?
Na ni nini ilikuwa uwajibikaji na uhusika wake kwenye tukio zima?
Msiwe mnakimbilia kutoa majibu mepesi kwenye mambo mazito kama haya bila kwanza kutanguliza tafakuri.
Na ndio maana nimeunganisha tukio la kifo cha kijana pekee wa Mabeyo kwenye ile ajali baada tu ya muda mfupi wa kifo cha JPM kupita na nikasema hiyo ndio Karma!
Magufuli alifariki akiwa peke yake bila hata mke wake kuitwa ili kuja kushuhudia saa za mwisho za mumewe!
Walikuwa wakiitana kina Mabeyo na kamati yao tu!
Khe!
Swali la nyongeza hili...inahitaji utulivu nalo kujibuKama watu wote wakaribu wote walikufa iweje walinzi wake hakuna aliyekufa mbona hapa kuna swali la kujiuliza?