Maswali kumi kwa David Kafulila kuhusu IPTL

Baada ya kufuatilia na kushiriki mjadala huu mpana wenye maslahi kwa taifa letu nimepata maswali kumi ambayo ndugu yangu david kafulila anaweza kunisaidia kuyajibu kuhusu iptl na escrow.

1.JE Anaijua historia ya iptl vizuri au anaifahamu kwa kupitia kusoma raia mwema na machapisho ya zitto kabwe

2.JE Anafahamu mchakato wa mauziano ya hisa ulivyofanyika kati ya mechmar corporation (malaysia)berhard kwenda pap,anajua kwamba seth aliomba kuuziwa sehemu ya hisa za iptl tanzania yaani 70% za iptl zilizokuwa chini ya mechmar lakini akakataliwa kutokana na sheria za biashara kimataifa kutoruhusu mwangalizi kununua hisa za kampuni anayoisimamia,na hivyo hisa kuuzwa kwa kampuni ya piper link,hivyo seth singh alilazimika kuomba piperlink imuuzie hisa zake ndani ya iptl tanzania,na manunuzi hayo yalifuata taratibu zote za kisheria ikiwa pamoja na kununua madeni yote ya kampuni,je analijua hili?

3.JE Kafulila anafahamu masuala yote yalioleta utata kuhusu capacity charges za kuzalisha umeme kati ya iptl na tanesko yaliamriwa na kupatiwa ufumbuzi katika mahakama ya kimataifa ya biashara,na masuala ya mgawanyo wa mapato kati ya wanahisa yaani vip na mechmar yalipatiwa ufumbuzi katika mahakama kuu tanzania chini ya jaji ukama,hukumu iliyopelekea kuanzishwa kwa akaunti ya escrow ambayo kimsingi ilikua inatunza malipo ya wanahisa yanayotokana na mauzo ya umeme wanaozalisha na kuizia taneko baada ya usuluhishi wao mahakama ya kibiashara kuhusu capacity charges.

4.JE Kafulila anafamu kuwa vip iliuza hisa zake kwa pap baada ya kufikia makubaliano ya bei ya hisa zote 30% za vip?,Na kumfanya harbinder seth singh kuwa mmiliki halali wa asilimia zote mia za iptl

5.JE Kafulila anafahamu kuwa mmiliki wa vip bwana rugemalira sio mtumishi wa umma na hivyo kama raia wengine ana haki ya kutumia fedha zake alizopata kwa njia halali ya kuuza hisa zake ndani ya kampuni anavyotaka bila kuvunja sheria,bila kuingiliwa na mtu yeyote hata kama amehonga mwanamke,ametupa jalalani,amekunywa pombe au ametoa msikitini/kanisani/shuleni/ametoa msaada kwenye kwaya/kumpa mchepuko hata bilioni mbili,maana ni zake na kafulila hatakiwi kufuatilia maisha ya mtu binafsi maana hata rugemalira afuatilii maisha ya kafulila.

6.JE Kafulila anafahamu kuwa iptl ndio kampuni pekee inayookoa fedha za watanzania kwenye nishati kwasababu ya kuwauzia umeme kwa bei nafuu kuliko kampuni anayoipigia debe na iliyomtuma kuichafua iptl yaani symbioon ambayo inaiuzia tanesco umeme unit moja kwa zaidi ya elfu moja wakati iptl inaiuzia umeme tanesco chini ya shiling mia tano kwa unit na imeanza mazungumzo kushusha umeme hadi sh 90 kwa unit,je haoni anatumika vibaya na kampuni yenye wivu wa kibiashara kuchafua iptl ambayo ni mkombozi wa tanzania

7.JE Kafulila ana majibu gani baada ya kulidanganya bunge kuhusu mmiliki wa iptl harbinder seth singh kufukuzwa na kutotakiwa kufanya biashara kenya kwa sababu ya ufisadi wakati wiki iliyopita iptl ilikabidhiwa barua na waziri wa nishati kenya kupewa tender ya kuzalisha umeme mw 2000.?

8.JE Kafulila anazungumziaje tuhuma za yeye kupokea milioni tisini kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa walioathirika na kitendo cha waziri mpya wa nishati na madini sospeter muhongo kufunga mirija ya kifisadi waliyokuwa wanatumia kujinufaisha na kuifilisi nchi (rostam,mengi,mkono) ili awachafue na kuwakomoa muhongo na katibu wake maswi?

9.JE Kafulila haoni ni muda sahihi wa yeye kuwataka radhi iptl na watanzania kwa kutumika na mafisadi ili kurudisha heshima yake kwa watanzania.

10.JE Kafulila anataka tumtambuaje baada ya haya yote,mpigaji?/Mzalendo/mtu wa kutumia fursa/au mtumikaji?

Naomba kuwasilisha ili mkuu kafulila aweze kuyajibu,karibuni kwenye mjadala

Escrow lilikuwa jambo la kisheria baina ya wabia na
serikali kama mpokea huduma, ambalo walilimaliza wao
wenyewe kwa makubaliano yao ya kisheria.
“Hakuna kitu chochote ovu hapa, mengi yanayozungumzwa
katika mitandao ni ya zamani na si mapya, ambayo
yamemalizika kisheria.
Hivyo IPTL/PAP ni kampuni makini isiyokuwa na
chembe ya kifisadi na imefika hapo baada ya kupita hatua
zote za kisheria, ikiwemo kununua hisa za VIP na Mechmar.
Tunazidi kuwaomba watanzania, wawaamini na
kuendelea kuwaamini kwa kuwa hakuna vitendo vya ufisadi.
Kinachofanyika sasa ni wivu wa kibiashara,na
wafanyabiashara hao wamemuonga kafulila ili alishikilie
bango swala hili kwa upande wa kisiasa na wengine
wamelipwa posho ili walisambaze swala hili kwenye mitandao
ya kijamii pasipo kuwa na ushaidi wowote.
 
Msichekee nyani shamba la mahindi, wewe unaona fahari kutetea majizi ya kutumia sayansi ya sheria kurubuni nchi na kuiibia, yetu macho tu ukweli uwezi kuotoa wewe kwani we sio hakimu wala jaji, subiri kesi ya msingi usituumize vichwa kwa maswali uchwara kisa kutaka kuwasafisha La Professari na kuwachafua Dr. Mengi na Mguu
Escrow lilikuwa jambo la kisheria baina ya wabia na
serikali kama mpokea huduma, ambalo walilimaliza wao
wenyewe kwa makubaliano yao ya kisheria.
“Hakuna kitu chochote ovu hapa, mengi yanayozungumzwa
katika mitandao ni ya zamani na si mapya, ambayo
yamemalizika kisheria.
Hivyo IPTL/PAP ni kampuni makini isiyokuwa na
chembe ya kifisadi na imefika hapo baada ya kupita hatua
zote za kisheria, ikiwemo kununua hisa za VIP na Mechmar.
Tunazidi kuwaomba watanzania, wawaamini na
kuendelea kuwaamini kwa kuwa hakuna vitendo vya ufisadi.
Kinachofanyika sasa ni wivu wa kibiashara,na
wafanyabiashara hao wamemuonga kafulila ili alishikilie
bango swala hili kwa upande wa kisiasa na wengine
wamelipwa posho ili walisambaze swala hili kwenye mitandao
ya kijamii pasipo kuwa na ushaidi wowote.
 
Niliandika kuhusu wale ambao wanapigia debe mapanya na mafisadi ndani ya chama chao cha wahuni ambao wanaiangamiza nchi kwa maamuzi ya mbali mbali ambayo hayana maslahi kwa Watanzania na Tanzania. Hakuna popote nilipoandika kuhusu wale wanaokuja hapa kwa kutaka kujifunza au kuelewa mambo.

Wewe ni wakuhurumiwa ndg umebakiwa na ufahamu wa kukumbuka haja kubwa tu na kula. Hakuna kingine unachokijua zaidi ya kutumiwa tu kama mipira ya kiume! Jitambue wenzio wanakula kwa mafisadi wewe unabaki kuwa mpiga debe tu mitaani na kwenye mitandao shame on u
 
Escrow lilikuwa jambo la kisheria baina ya wabia na
serikali kama mpokea huduma, ambalo walilimaliza wao
wenyewe kwa makubaliano yao ya kisheria.
"Hakuna kitu chochote ovu hapa, mengi yanayozungumzwa
katika mitandao ni ya zamani na si mapya, ambayo
yamemalizika kisheria.
Hivyo IPTL/PAP ni kampuni makini isiyokuwa na
chembe ya kifisadi na imefika hapo baada ya kupita hatua
zote za kisheria, ikiwemo kununua hisa za VIP na Mechmar.
Tunazidi kuwaomba watanzania, wawaamini na
kuendelea kuwaamini kwa kuwa hakuna vitendo vya ufisadi.
Kinachofanyika sasa ni wivu wa kibiashara,na
wafanyabiashara hao wamemuonga kafulila ili alishikilie
bango swala hili kwa upande wa kisiasa na wengine
wamelipwa posho ili walisambaze swala hili kwenye mitandao
ya kijamii pasipo kuwa na ushaidi wowote.

nimekupata mkuu
 
Niliandika kuhusu wale ambao wanapigia debe mapanya na mafisadi ndani ya chama chao cha wahuni ambao wanaiangamiza nchi kwa maamuzi ya mbali mbali ambayo hayana maslahi kwa Watanzania na Tanzania. Hakuna popote nilipoandika kuhusu wale wanaokuja hapa kwa kutaka kujifunza au kuelewa mambo.

Amno lolote wewe wakati mwanzo ulicho kiandika ni kutulenga cc wote ambao tupo agaist na team kafulila
 
leta ushahidi hatutaki mambo ya taarabu peleka huko kwa mafisadi wenzako ccm

Escrow lilikuwa jambo la kisheria baina ya wabia na
serikali kama mpokea huduma, ambalo walilimaliza wao
wenyewe kwa makubaliano yao ya kisheria.
“Hakuna kitu chochote ovu hapa, mengi yanayozungumzwa
katika mitandao ni ya zamani na si mapya, ambayo
yamemalizika kisheria.
Hivyo IPTL/PAP ni kampuni makini isiyokuwa na
chembe ya kifisadi na imefika hapo baada ya kupita hatua
zote za kisheria, ikiwemo kununua hisa za VIP na Mechmar.
Tunazidi kuwaomba watanzania, wawaamini na
kuendelea kuwaamini kwa kuwa hakuna vitendo vya ufisadi.
Kinachofanyika sasa ni wivu wa kibiashara,na
wafanyabiashara hao wamemuonga kafulila ili alishikilie
bango swala hili kwa upande wa kisiasa na wengine
wamelipwa posho ili walisambaze swala hili kwenye mitandao
ya kijamii pasipo kuwa na ushaidi wowote.
 
FaizaFoxy - Jf senior expert member “ Hapo Zittoanaongelea Tax, tena ya Capital gain”.

""Zitto anaelewa sana kuhusu Tax evasion na Tax avoidance lakini hilo anajifanyakama halijui. Ananshangaza!

Hapo jamaa hawakufanya Tax evasion hapo ni simply Tax avoidance, kisheria.

Hakuna ujanja hapo, kama hawakufanya evasion ni halali kabisa.

Zitto anachoshindwa kueleza ni kuwa IPTL ilikuwa na mgogoro na kampuni yaKitanzania, kaingia Singasinga kaiona opportunity na kajuwa vipi atatatuwa huomgogoro, kaongea nao wamekubalina kawanunua kawalipa, kavuta fedha walizokuwawalipwe wao.

Kinachofata hapo ni uhalali wa tx na ndio anauongelea Zitto, kachimbuwa kakutahakuna tzx evasion kuna tax avoidance ambayo kisheria ni halali.

Sijui msichokielewa anachoongelea Zitto zaidi ya hicho ni nini?

Nadhani, Zitto angekuwa kidogo mjanja asingeongelea hilo la kampuni kuuzwamillion 6, unless anajuwa anachokifanya ila anataka ku divert msimamo, kunakila uwezekano na yeye kavuta au anataka kuvuta kwa singa na IPTL nahuyoMtanzania mwingine ambae hatajwi sana humu, lakini yeye ndio master-mind wahuu mkorogano.

Hapo sasa hivi kuna kila mtu kutaka kuvuta kwa Singa kwa kupiga makelele.

My Take:
Nasema huyo Mtanzania ni mastemind kwa sababu yeye alifikiri akiwabana sanaIPTL watakubali yaishe wachukuwe fedha wagawane halafu mitambo yote atabakinayo yeye aanze kuchuma peke yake kiulaini.

Bahati nzuri au mbaya, Singa kaliona hilo akaingia kati na kuna kila sababukakubaliana na IPTL kuwa wataumizwa, yeye ana njia mbadala watakuwa ni win winsituation, pesa watapata na mitambo haitopotea na wamuamini yeye, na ndichokilichofanyika.

Hapo aliyeumia ni Mtanzania mwenzetu, tena si kaumia kwa kuwa hajapata faida yabure, la hasha, faida kapata ya bure tena kubwa sana, kwani yeye hajatia fedhayake katika hili sakata, yeye alikuwa kama godfather tu waku facilitate mambondani ya Tanzania. Ndiyo norm kwa biashara zote kubwa duniani.

Alichoumia ni pale alipotaka kubana moaka mitambo yote ibaki kwake. Kataka kulakiharamu zaidi, ndipo Singa alipoingia na ku rescue.

Sasa, Mbnde kuona hivyo ni lazima apigane, kwani kwa sasa fedha ya kuwalishawapayukaji hovyo kama akina Tumbili anayo, na afanye nini zaidi? anachofanyakama kukosa tukose wote, lakini amechelewa jamvini karamu imeshaliwa.

Mwisho wa siku, kisheria ataibuka Singa kidedea, labda afanyiwe umafia. NaSinga si mdogo huyo, Tanzania anaijuwa juu chini, kaishi sana pande za Iringa,kama kuna mtu anaikumbuka RCC Iringa, basi ni hao akina Singa si wageni kabisaTanzania hii.

Mengine yote ni kubwabwaja, porojo na kuhororoja, kuna mshiko wa watukunyamazishwa na ndiyo maana unasikia kelele.

Hakuna wizi hapo wa mali ya umma kisheria, kuna "opportunity" naWatanzania kama ujuavyo ni ma "opportunists" kama fisi wanavyongojamifupa au makopangola wanavyoona mzoga, hawachelewi! ndicho kilichopo""".

# Yote kamaliza dada yangu Faiza hakuna cha kuongezea hapo, KAFULILA na mwenzake wezi kabisa

Na watawajibika na wizi waliofanya,ndani ya nchi yetu
 
Utoaji fedha kwenye account ya ESCROW ulifuata utaratibu uliopitia vikao halali katika ngazi mbalimbali. Nakwamba hakuna taratibu zilizopindishwa humo. Halafu nakuuliza swali mkuu " KAMA PAP/IPTL WALIPEWA MITAMBO YA IPTL PAMOJA NAKUBEBA MZIGO WA DENI LA IPTL KUTOKA KWA LIQUIDATOR JE KWANINI IPTL/PAP WASIWE NAHAKI YA KUCHUKUA FEDHA ZA ESCROW ACCOUNT???? lakuzingatia kesi ya ICSD imekwisha na TANESCO na IPTL wamekubaliana juu ya viwango vipya vya capacity charge. JE MLITAKA FEDHA HIZO ZICHUKULIWE NANANI??? lakuzingatia umeme wa IPTL tumetumia bila malipo husika.
 
Sijui Mbunge Zitto Kabwe alicomment nini wakati anapost hizi files kwenye facebook account yake, lakini kama dhamira yake ilikuwa kutaka kutuendelezea ule mchezo mchafu basi kwenye hili mimi binafsi na mpuuza nakumwona kama kibaraka wa mabeberu, sababu ya kusema hivi ni moja kwakumbukumbu inaonyesha pia ushiriki wa ZITTO kwenye kuwapotosha wananchi huku akitumia karata yake ya imani ambayo wananchi wanayo juu yake.
Hili sakata la IPTL kabla kina ZITTO na KAFULILA kulidakia,ilikuwa nikampeni ya mabeberu kuilazimisha serikali kuwapa dili ya kuuza umeme kupitia kampuni yao ya SONGAS. Hawakulidhishwa na serikali kutoa dili kwa nchi ya malaysia, mwendelezo wa hili sakata ulipamba moto baada ya watu wenye interest tofauti kudakia na kuanza kuishambulia serikali kuwa kuna ufisadi kwenye mradi wa IPTL,lakini ikumbukwe kuwa hivi nilini mabeberu walifanya kitu kwamaslahi ya nchi maskini na ndio maana Tanzania kwa mara ya kwanza tulipotaka kampuni binafsi ya kwaajiri ya kuzalisha umeme suruhisho letu kama nchi lilikuwa Malaysia kupitia South-south Commision.
Mabeberu kupitia BRIAN COOKSEY walianza kutuandama kwa lugha chafu sababu tu IPTL imeiside line SONGAS:

View attachment 189515

Malalamiko yanayotengenezwa na BRIAN COOKSEY yanabase kwenye kutaka kuimbua serikali kuwahaikufanya uamuzi mzuri ilipokubari kuipadili IPTL. Lakini je dili ya SONGAS ingekuwa na tofauti kweli naingelinda maslahi ya wazalendo kweli?? nimataifa mangapi ya kibeperi yamewekeza kwenye sekta kubwakubwa lakini bado wazalendo tunalia na mikataba yao??

View attachment 189516

Lakini tunaona sasa kwamba pamoja na ubungo gas turbines kufanya kazi bado tunawahitaji IPTL,na BRIAN COOKSEY yupo kimya kabisa toka atoe chapisho lake, hii yote nisababu anajua mabeberu wamepata walichokuwa wanahitaji SONGAS kuwa operational.
Lakini IPTL waliliona hizi hila za BRIAN COOKSEY:

In a long letter to the African (1 June 1998) titled ‘Brian's phobia against South-South Commission', I am dubbed a racist with a ‘pathological hatred of South-South cooperation', with ‘derogatory tendencies towards African governments, leaders and its people.' In a letter to Minister of Planning, Nassoro Malocho, IPTL copied an article that appeared in East African Alternatives, and accuse me of having vested interests in Songas. I am referred to as a ‘dangerous underground advisor,' ‘an academic and business crook,' with ‘prejudices against African and Asian leaders'.

Kilichofuata wote tunajua, waandishi waudaku wakina MIHANGWA wakatafsiri maandishi ya udaku ya BRIAN nakuyasambaza. Nasasa tunamuona ZITTO na KAFULILA wakiyabeba maneno yaleyale na kuyasambaza kwa umma, mfano ZITTO anarudiarudia sana kusema "Wapinzani, vyombo vya habari na civil society vimelikalia kimya sakata hili" nikitu kilekile alichokindika BRIAN kwenye udaku wake:

""View attachment 189517

Watanzania wenzangu hapa tunachokiona ni mchuano mkali wa kibiashara ambao ndani yake mafisadi wakubwa wa taifa hili wamenunua kesi aliyoiacha BRIAN kibaraka wa mabeberu, na sasa ndugu zetu wenyewe wakina MKONO, MENGI na ROSTAM wanatugawanya kwa maslahi yao wakimtumia mbunge wa KIGOMA KUSINI, DAVID KAFULILA.
Upotoshaji unaofanywa na KAFULILA niwawazi kabisa, niwamakusudi kwa maslahi yake binafsi na ndio maana Katibu Mkuu wa NISHATI ndugu MASWI alisema tena hadharani kuwa KAFULILA na ZITTO wanatumika na wamepewa fedha na MKONO. Sababu nyingine za kutengeneza skendo ya IPTL;
(i) Nikukweli uliowazi hawa wabunge huu nimchezo wao wa siku nyingi kuanda zengwe ambalo mwisho wasiku wanafaidika nalo kwa kupozwa nawahusika, hii nimichezo inachezwa nakamati nyingi za bunge.
(ii) Masakata makubwa kama haya husaidia kuwapa kick wanasiasa tunakumbuka sakata la EPA na RICHMOND. ZITTO na mabilioni ya uswis

Watanzania tusikubali kuwa madaraja yawatu binafsi kujipatia umaarufu wakisiasa na kujiongezea ukwasi walionao.

View attachment 189518
 
Minamshukuru sana aliyeleta hizi files sababu amesaidia sana kuonesha nikwanamna gani IPTL wanastahili kulipwa Fedha za ESCROW account. Hizi files zinatuonesha waziwazi kwamba KAFULILA alikuwa anatumika kwa kubadilisha maneno kiujanja ujanja na kupotosha ukweli kwamba pesa hizi hazistahili kulipwa kwa IPTL

View attachment 189476

kwakutumia Pdf no. 9 yenye kichwa cha habari:

View attachment 189490

Tunagundua kwamba kulikuwepo na makubaliano ya IPTL kulipwa fedha zilizopo kwenye account ya escrow. Lakini vikao vilifanywa kudiscuss masuala muhimu kama kodi, capacity charges na mengineyo:

View attachment 189497

Lakini tunaona tena upotoshaji uliokuwa ukifanywa na KAFULILA na timu yake hapa chini:

View attachment 189498

Huu ni upotoshaji, mfano kama argument inasema huyu provisional liquidator anaiachia majukumu yote PAP/IPTL ukijumlisha na mitambo, navilevile PAP anajicommite kubeba deni lote la IPTL je kwanini asichukue fedha ya ESCROW??? KWAHIYO TUNAMRUHUSU PAP ABEBE MADENI YA IPTL NA SIYO HAKI NYINGINE ZA IPTL KAMA FEDHA ZA ESCROW????
View attachment 189499
Naikumbukwe kwamba wakati fedha ya ESCROW inalipwa tiyari kulikuwa na muafaka wa kupunguza capacity charge:

View attachment 189501

Jaribu nawewe sasa kutafakari alafu tuulizane!

View attachment 189502
Kwahiyo tusimpe sasa PAP hela ya IPTL iliyopo kwenye ESCROW account?? KAFULILA anajitoa ufahamu nakujifanya hajui kuhusu ESCROW AGREEMENT!!!
Tukumbuke pia hukumu ya Jaji UTAMWA ilibase kwenye Dispute baina ya wabia wa IPTL, Na hukumu ya ICSD ilishatolewa kwa kuzitaka pande zote mbili kukaa na kukokotoa upya mahesabu na pande zote zilikaa na kufanya hivyo, soma kidokezo hapo juu.

IPTL: NYUMA YA PAZIA | TAIFA IMARA
 
wakuu mjadala umenifungua macho huu ni upotoshaji mkubwa mno
 
Back
Top Bottom