Maswali kumi kwa David Kafulila kuhusu IPTL

Maswali kumi kwa David Kafulila kuhusu IPTL

Huna tofauti na hao panya na mafisi waliokulipa ili kuwatetea, na kwa kukosa hoja unaandika pumba tu. Pumba zako kaongee na mapanya na mafisi wenzio walafi wanaoiangamiza Tanzania kila kukicha. Mwenzio fisadi Tibaijuka kishakatiwa karibu bilioni 2 kwenye account yake wewe unatokwa povu kwa Buku 7 tu!!! Kamshike shati fisadi Rugemarila akupe nawe mgao mkubwa wa pesa za wizi.

Wewe ndg upeo wako unahitaji service kibwa sana maana muda mfupi hata akili iliyokuwa imebaki ya kukumbusha kwenda chooni itakata, fanya mchakato mapema kuifsnyia service mkuu
 
Kwahiyo kuweka kabroken hako ndo kinga yako? Acha kujidhalilisha mkuu! Watu humu wengi wetu tumeutumia muda mwingi shule kuliko kukaa mitaani kama wewe! So unapoingia huko tunakuhurumia sana
wabongo kwa ujuaji bana..ungejua nilipo na nnafanya nini..? endelea kuteta wezi kilaza wewe..
 
Tibaijuka yeye kagawiwa Bil 1.3 jewewe umegawiwa shilingi ngapi na hawa matapeli ili uje hapa kuuliza ujinga wako?

Tangu lini pesa isiyo ya serikali ikakaguliwa na CAG?

Hivi unatumia tumbo kufikiri?

Maswi na Muhongo wanajaribu kupigapiga miguu chini ili kujinasua lkn wizi kama huu wa kutuibia na kugawana genge lisilozidi hata watu 20 pesa nyingi zaidi ya Bil 200 ,hauvumiliki tena.

Kila siku unakuja jamii forums kupima upepo.

Kafulila anazungumziaje tuhuma za yeye kupokea
milioni tisini kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa
walioathirika na kitendo cha waziri mpya wa nishati na
madini sospeter muhongo kufunga mirija ya kifisadi
waliyokuwa wanatumia kujinufaisha na kuifilisi nchi
(rostam,mengi,mkono) ili awachafue na kuwakomoa
muhongo na katibu wake maswi?
 
Huna tofauti na hao panya na mafisi waliokulipa ili kuwatetea, na kwa kukosa hoja unaandika pumba tu. Pumba zako kaongee na mapanya na mafisi wenzio walafi wanaoiangamiza Tanzania kila kukicha. Mwenzio fisadi Tibaijuka kishakatiwa karibu bilioni 2 kwenye account yake wewe unatokwa povu kwa Buku 7 tu!!! Kamshike shati fisadi Rugemarila akupe nawe mgao mkubwa wa pesa za wizi.
Kafulila anazungumziaje tuhuma za yeye kupokea
milioni tisini kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa
walioathirika na kitendo cha waziri mpya wa nishati na
madini sospeter muhongo kufunga mirija ya kifisadi
waliyokuwa wanatumia kujinufaisha na kuifilisi nchi
(rostam,mengi,mkono) ili awachafue na kuwakomoa
muhongo na katibu wake maswi?
 
Nashukuru mkuu! Kwa ushauri wako mi nimebobea ktk research ya mazingira ya kiuchumi na mazingira yake! Lkn napokea ushauri wako, ila mimi tayari nilisha fanya utafiti wangu kwenye sakata hilo nanikagudua mchezo mchafu unaofanywa na wanasiasa na wafanyabiashara walioshindwa kuinunua hisa za VIP na mechmar

Kafulila anazungumziaje tuhuma za yeye kupokea
milioni tisini kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa
walioathirika na kitendo cha waziri mpya wa nishati na
madini sospeter muhongo kufunga mirija ya kifisadi
waliyokuwa wanatumia kujinufaisha na kuifilisi nchi
(rostam,mengi,mkono) ili awachafue na kuwakomoa
muhongo na katibu wake maswi?
 
Upumbavu wako kaongee na mapanya na mafisi ndani ya chama chenu cha wahuni ambao wanaiangamiza Tanzania.

Kafulila anazungumziaje tuhuma za yeye kupokea
milioni tisini kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa
walioathirika na kitendo cha waziri mpya wa nishati na
madini sospeter muhongo kufunga mirija ya kifisadi
waliyokuwa wanatumia kujinufaisha na kuifilisi nchi
(rostam,mengi,mkono) ili awachafue na kuwakomoa
muhongo na katibu wake maswi?
 
Hilo swali namba nane tunaomba uthibitishe hizo tuhuma kwa wote ulio wataja vinginevyo wewe utakuwa mke wa muhongo.

Baada ya kufuatilia na kushiriki mjadala huu mpana wenye maslahi kwa taifa letu nimepata maswali kumi ambayo ndugu yangu david kafulila anaweza kunisaidia kuyajibu kuhusu iptl na escrow.

1.JE Anaijua historia ya iptl vizuri au anaifahamu kwa kupitia kusoma raia mwema na machapisho ya zitto kabwe

2.JE Anafahamu mchakato wa mauziano ya hisa ulivyofanyika kati ya mechmar corporation (malaysia)berhard kwenda pap,anajua kwamba seth aliomba kuuziwa sehemu ya hisa za iptl tanzania yaani 70% za iptl zilizokuwa chini ya mechmar lakini akakataliwa kutokana na sheria za biashara kimataifa kutoruhusu mwangalizi kununua hisa za kampuni anayoisimamia,na hivyo hisa kuuzwa kwa kampuni ya piper link,hivyo seth singh alilazimika kuomba piperlink imuuzie hisa zake ndani ya iptl tanzania,na manunuzi hayo yalifuata taratibu zote za kisheria ikiwa pamoja na kununua madeni yote ya kampuni,je analijua hili?

3.JE Kafulila anafahamu masuala yote yalioleta utata kuhusu capacity charges za kuzalisha umeme kati ya iptl na tanesko yaliamriwa na kupatiwa ufumbuzi katika mahakama ya kimataifa ya biashara,na masuala ya mgawanyo wa mapato kati ya wanahisa yaani vip na mechmar yalipatiwa ufumbuzi katika mahakama kuu tanzania chini ya jaji ukama,hukumu iliyopelekea kuanzishwa kwa akaunti ya escrow ambayo kimsingi ilikua inatunza malipo ya wanahisa yanayotokana na mauzo ya umeme wanaozalisha na kuizia taneko baada ya usuluhishi wao mahakama ya kibiashara kuhusu capacity charges.

4.JE Kafulila anafamu kuwa vip iliuza hisa zake kwa pap baada ya kufikia makubaliano ya bei ya hisa zote 30% za vip?,Na kumfanya harbinder seth singh kuwa mmiliki halali wa asilimia zote mia za iptl

5.JE Kafulila anafahamu kuwa mmiliki wa vip bwana rugemalira sio mtumishi wa umma na hivyo kama raia wengine ana haki ya kutumia fedha zake alizopata kwa njia halali ya kuuza hisa zake ndani ya kampuni anavyotaka bila kuvunja sheria,bila kuingiliwa na mtu yeyote hata kama amehonga mwanamke,ametupa jalalani,amekunywa pombe au ametoa msikitini/kanisani/shuleni/ametoa msaada kwenye kwaya/kumpa mchepuko hata bilioni mbili,maana ni zake na kafulila hatakiwi kufuatilia maisha ya mtu binafsi maana hata rugemalira afuatilii maisha ya kafulila.

6.JE Kafulila anafahamu kuwa iptl ndio kampuni pekee inayookoa fedha za watanzania kwenye nishati kwasababu ya kuwauzia umeme kwa bei nafuu kuliko kampuni anayoipigia debe na iliyomtuma kuichafua iptl yaani symbioon ambayo inaiuzia tanesco umeme unit moja kwa zaidi ya elfu moja wakati iptl inaiuzia umeme tanesco chini ya shiling mia tano kwa unit na imeanza mazungumzo kushusha umeme hadi sh 90 kwa unit,je haoni anatumika vibaya na kampuni yenye wivu wa kibiashara kuchafua iptl ambayo ni mkombozi wa tanzania

7.JE Kafulila ana majibu gani baada ya kulidanganya bunge kuhusu mmiliki wa iptl harbinder seth singh kufukuzwa na kutotakiwa kufanya biashara kenya kwa sababu ya ufisadi wakati wiki iliyopita iptl ilikabidhiwa barua na waziri wa nishati kenya kupewa tender ya kuzalisha umeme mw 2000.?

8.JE Kafulila anazungumziaje tuhuma za yeye kupokea milioni tisini kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa walioathirika na kitendo cha waziri mpya wa nishati na madini sospeter muhongo kufunga mirija ya kifisadi waliyokuwa wanatumia kujinufaisha na kuifilisi nchi (rostam,mengi,mkono) ili awachafue na kuwakomoa muhongo na katibu wake maswi?

9.JE Kafulila haoni ni muda sahihi wa yeye kuwataka radhi iptl na watanzania kwa kutumika na mafisadi ili kurudisha heshima yake kwa watanzania.

10.JE Kafulila anataka tumtambuaje baada ya haya yote,mpigaji?/Mzalendo/mtu wa kutumia fursa/au mtumikaji?

Naomba kuwasilisha ili mkuu kafulila aweze kuyajibu,karibuni kwenye mjadala

Kafulila anazungumziaje tuhuma za yeye kupokea
milioni tisini kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa
walioathirika na kitendo cha waziri mpya wa nishati na
madini sospeter muhongo kufunga mirija ya kifisadi
waliyokuwa wanatumia kujinufaisha na kuifilisi nchi
(rostam,mengi,mkono) ili awachafue na kuwakomoa
muhongo na katibu wake maswi?
 
Bora umekiri kuwa huna uwezo. Kama wazazi hawa kumfundisha mtu sio mwisho wa kujipatia maarifa. Kwa umri wangu sitegemei kupata maarifa kutoka kwa wazazi wangu bali kutoka kwa dunia. Dunia ni watu kama wewe, lakini siwezi kupokea kila kitu kama dodoki. Nitachuja kipi nijifunze na kipi niache. Hicho unachoamini wewe mimi sikikubali na kupingana na wewe haina maana sina maarifa na wewe hali kadhalika. Mimi nakuona wewe unayo maarifa lakini unaegemea upande mmoja hutaki kuangalia upande wa pili. Inawezekana ni kwa kukosa uchambuzi wa kiina au umefikia ukomo wako. Hata hivyo mimi nakukumbusha uongeze uchambuzi. Uchambuzi mzuri ni ule usiogemea upande, huangalia mazuri na mabaya, hasara na faida. Katika hoja za Kafulila sidhani kwamba zina mabaya tupu. Kama umewahi kufanya utafiti biasness ni mojawapo unethical behaviour

Hakuna kitu kama hicho,business is not unethical behaviour,it depends na behaviour ya player in the busines game,sasa hatupaswi kuifanya ni tabia ya kawaida kwa wafanya biashara kukodi wanasiasa na kulitumia bunge kuchafua wafanyabiashara wengne,hili tutalipinga
 
Kafulila anazungumziaje tuhuma za yeye kupokea
milioni tisini kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa
walioathirika na kitendo cha waziri mpya wa nishati na
madini sospeter muhongo kufunga mirija ya kifisadi
waliyokuwa wanatumia kujinufaisha na kuifilisi nchi
(rostam,mengi,mkono) ili awachafue na kuwakomoa
muhongo na katibu wake maswi?

Kafulila anapaswa kutoa majibu juu ya suala hili la msingi
 
wabongo kwa ujuaji bana..ungejua nilipo na nnafanya nini..? endelea kuteta wezi kilaza wewe..

Wewe ni mtu wa wapi? Mbona unazidi kujidhalilisha mkuu! Jitahidi sana kuficha uhaba wa maarifa yako mbele ya jamii itakusaidia
 
hayo maswali kaulize mama yako unataka kujua wewe kama nani peleka umbea wako huko ccm
mkuu mbona unapanik tena ucwe mkali kiasi hiyo kumbuka lakin mkali simba na anazaa sembuse wewe
tubishane na kueleweshana kwa hoja mkuu
 
Hilo swali namba nane tunaomba uthibitishe hizo tuhuma kwa wote ulio wataja vinginevyo wewe utakuwa mke wa muhongo.

Acha kujing'ata mtoto wa kiume wewe! Kwahiyo wewe unataka kutushawishi kuwa wewe ndo mke wa kafulila?
 
Huna tofauti na hao panya na mafisi waliokulipa ili kuwatetea, na kwa kukosa hoja unaandika pumba tu. Pumba zako kaongee na mapanya na mafisi wenzio walafi wanaoiangamiza Tanzania kila kukicha. Mwenzio fisadi Tibaijuka kishakatiwa karibu bilioni 2 kwenye account yake wewe unatokwa povu kwa Buku 7 tu!!! Kamshike shati fisadi Rugemarila akupe nawe mgao mkubwa wa pesa za wizi.
mkuuu co kila mtu anayependa kuchangia humu ndani bas analipwa wangine tunapenda kujifunza na kuelewa mambo mengi
 
mkuuu co kila mtu anayependa kuchangia humu ndani bas analipwa wangine tunapenda kujifunza na kuelewa mambo mengi

umeona eeh...kwavile yeye amelipwa kwahiyo anadhani na wengine wanalipwa kama alivyolipwa yeye ili awatetee mafisadi wake hao.
 
Achana naye huyo mkuu! Yeye kishazoea kulipwa gongo na viroba anafikiri na wengine tuna bei humu

Busara itawale,kama kuna mtu ana ushahidi wa mwenzake kununuliwa alete mezani mi nadhani lengo ni kujifunza hapa
 
Back
Top Bottom