Maswali kumi kwa David Kafulila kuhusu IPTL

endeleeni kuiba mimi nanoa panga langu hiyo mikono yenu itakua halali yangu

Mkuu hiyo adhabu itakuwa kubwa sana kwa KAFULILA!!! Kikubwa ni kumpuuza tu. Watanzania na WanaKIGOMA KUSINI watamuhukumu kwa usaliti wake wakutetea maslahi ya MAFISADI. Wote tunajua alivyoitelekeza KIGOMA KUSINI nakujibebesha jimbo la MAFISADI MKONO, MENGI na ROSTAM, je hawa ndio wapiga kula wake??? Anaposhughulikia matakwa ya mafisadi wakina MKONO, je WANAKIGOMA KUSINI matatizo yetu yashughulikiwe nanani?? Sisi tunamsubiri 2015 jimboni yeye sikaamia DAR ES SALAAM kwa wapiga kula wake.
KAFULILA we are coming for you Brother 2015, tutakuanika kwa vileulivyo SISIMIZI/TUMBILI.
 
Baada ya kufuatilia na kushiriki mjadala huu mpana wenye maslahi kwa taifa letu nimepata maswali kumi ambayo ndugu yangu david kafulila anaweza kunisaidia kuyajibu kuhusu iptl na escrow.

1.JE Anaijua historia ya iptl vizuri au anaifahamu kwa kupitia kusoma raia mwema na machapisho ya zitto kabwe

2.JE Anafahamu mchakato wa mauziano ya hisa ulivyofanyika kati ya mechmar corporation (malaysia)berhard kwenda pap,anajua kwamba seth aliomba kuuziwa sehemu ya hisa za iptl tanzania yaani 70% za iptl zilizokuwa chini ya mechmar lakini akakataliwa kutokana na sheria za biashara kimataifa kutoruhusu mwangalizi kununua hisa za kampuni anayoisimamia,na hivyo hisa kuuzwa kwa kampuni ya piper link,hivyo seth singh alilazimika kuomba piperlink imuuzie hisa zake ndani ya iptl tanzania,na manunuzi hayo yalifuata taratibu zote za kisheria ikiwa pamoja na kununua madeni yote ya kampuni,je analijua hili?

3.JE Kafulila anafahamu masuala yote yalioleta utata kuhusu capacity charges za kuzalisha umeme kati ya iptl na tanesko yaliamriwa na kupatiwa ufumbuzi katika mahakama ya kimataifa ya biashara,na masuala ya mgawanyo wa mapato kati ya wanahisa yaani vip na mechmar yalipatiwa ufumbuzi katika mahakama kuu tanzania chini ya jaji ukama,hukumu iliyopelekea kuanzishwa kwa akaunti ya escrow ambayo kimsingi ilikua inatunza malipo ya wanahisa yanayotokana na mauzo ya umeme wanaozalisha na kuizia taneko baada ya usuluhishi wao mahakama ya kibiashara kuhusu capacity charges.

4.JE Kafulila anafamu kuwa vip iliuza hisa zake kwa pap baada ya kufikia makubaliano ya bei ya hisa zote 30% za vip?,Na kumfanya harbinder seth singh kuwa mmiliki halali wa asilimia zote mia za iptl

5.JE Kafulila anafahamu kuwa mmiliki wa vip bwana rugemalira sio mtumishi wa umma na hivyo kama raia wengine ana haki ya kutumia fedha zake alizopata kwa njia halali ya kuuza hisa zake ndani ya kampuni anavyotaka bila kuvunja sheria,bila kuingiliwa na mtu yeyote hata kama amehonga mwanamke,ametupa jalalani,amekunywa pombe au ametoa msikitini/kanisani/shuleni/ametoa msaada kwenye kwaya/kumpa mchepuko hata bilioni mbili,maana ni zake na kafulila hatakiwi kufuatilia maisha ya mtu binafsi maana hata rugemalira afuatilii maisha ya kafulila.

6.JE Kafulila anafahamu kuwa iptl ndio kampuni pekee inayookoa fedha za watanzania kwenye nishati kwasababu ya kuwauzia umeme kwa bei nafuu kuliko kampuni anayoipigia debe na iliyomtuma kuichafua iptl yaani symbioon ambayo inaiuzia tanesco umeme unit moja kwa zaidi ya elfu moja wakati iptl inaiuzia umeme tanesco chini ya shiling mia tano kwa unit na imeanza mazungumzo kushusha umeme hadi sh 90 kwa unit,je haoni anatumika vibaya na kampuni yenye wivu wa kibiashara kuchafua iptl ambayo ni mkombozi wa tanzania

7.JE Kafulila ana majibu gani baada ya kulidanganya bunge kuhusu mmiliki wa iptl harbinder seth singh kufukuzwa na kutotakiwa kufanya biashara kenya kwa sababu ya ufisadi wakati wiki iliyopita iptl ilikabidhiwa barua na waziri wa nishati kenya kupewa tender ya kuzalisha umeme mw 2000.?

8.JE Kafulila anazungumziaje tuhuma za yeye kupokea milioni tisini kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa walioathirika na kitendo cha waziri mpya wa nishati na madini sospeter muhongo kufunga mirija ya kifisadi waliyokuwa wanatumia kujinufaisha na kuifilisi nchi (rostam,mengi,mkono) ili awachafue na kuwakomoa muhongo na katibu wake maswi?

9.JE Kafulila haoni ni muda sahihi wa yeye kuwataka radhi iptl na watanzania kwa kutumika na mafisadi ili kurudisha heshima yake kwa watanzania.

10.JE Kafulila anataka tumtambuaje baada ya haya yote,mpigaji?/Mzalendo/mtu wa kutumia fursa/au mtumikaji?

Naomba kuwasilisha ili mkuu kafulila aweze kuyajibu,karibuni kwenye mjadala

habarihuru.blogspot.com/2014/10/hatimaye-ukweli-umebainika-fedha-za.html?
 
teh teh teh teh !!!kijana unafikra pana sana, watanzania kweli tumeanza kumjua Kafulila bin Tumbili kwa rangi yake!!!!!
 
Mkuu hiyo adhabu itakuwa kubwa sana kwa KAFULILA!!! Kikubwa ni kumpuuza tu. Watanzania na WanaKIGOMA KUSINI watamuhukumu kwa usaliti wake wakutetea maslahi ya MAFISADI. Wote tunajua alivyoitelekeza KIGOMA KUSINI nakujibebesha jimbo la MAFISADI MKONO, MENGI na ROSTAM, je hawa ndio wapiga kula wake??? Anaposhughulikia matakwa ya mafisadi wakina MKONO, je WANAKIGOMA KUSINI matatizo yetu yashughulikiwe nanani?? Sisi tunamsubiri 2015 jimboni yeye sikaamia DAR ES SALAAM kwa wapiga kula wake.
KAFULILA we are coming for you Brother 2015, tutakuanika kwa vileulivyo SISIMIZI/TUMBILI.

Kama ulikuwa hujui basi nakupa nahii mkuu, Kwenye hiyo list ya wadhamini wa kafulila muongeze na Standard chartered- Hong Kong, hawa wamegharamia harusi nzima ya Kafulila, pamoja na kumwongezea mtaji wa ile shule yake. Kafulia kapiga 1.3 bill kutoka hawa jamaa ili kuichafua IPTL
 
Hi si jambo jema kama ni kweli
 
CCM ni ukoo wa panya baba mwizi, mama mwizi,.....................................By Mh Nassari
 
Mkuu hivi jamaa kashaacha kuvuta bangi siku hizi? Maana nakumbuka enzi zile tulikuwa pamoja na mwanetu mmoja hivi aitwanga Meshi Japhet jamaa walikuwa noma kweli!! wakishakula mambo yao daahh! embwana eehh Mh!!! kitambo sana hiyo, nimewakumbuka sana jamaa hawa, wapi Mh, wapi Meshi!!
 
teh teh teh teh !!!kijana unafikra pana sana, watanzania kweli tumeanza kumjua Kafulila bin Tumbili kwa rangi yake!!!!!

Tumefika mahali watanzania tumekuwa kama wale watu
wanaogombania bakuli za supu kwa ng'ombe ambaye
hajachinjwa na pengine hajatolewa hata zizini,Fikiri kama
ng'ombe atakata kama au kutoroka zizini itakuaje?
Tumefika mahali baadhi ya viongozi na wanasiasa kwa kauli
zao au za kutumwa na watu wenye maslahi kwao(mafisadi)
wanajaribu kuwapotosha na kuwarubuni watanzania kwa
kuwaaminisha kuwa IPTL/PAP ilikuwa siyo sahihi kwa
wanunuzi wapya PAP kuzichukua fedha za kwenye akaunti ya
ESCROW kwani fedha hizo ni mali ya serikali,kitu ambacho si
kweli.kwahiyo kafulila aacha kutumika na mafisadi kwahiyo bilion 1.3 alizotengewa na hao mafisadi maana mwisho wa siku atakuja kuumbuka tu.
 
CCM ni ukoo wa panya baba mwizi, mama mwizi,.....................................By Mh Nassari

Tumefika mahali watanzania tumekuwa kama wale watu
wanaogombania bakuli za supu kwa ng'ombe ambaye
hajachinjwa na pengine hajatolewa hata zizini,Fikiri kama
ng'ombe atakata kama au kutoroka zizini itakuaje?
Tumefika mahali baadhi ya viongozi na wanasiasa kwa kauli
zao au za kutumwa na watu wenye maslahi kwao(mafisadi)
wanajaribu kuwapotosha na kuwarubuni watanzania kwa
kuwaaminisha kuwa IPTL/PAP ilikuwa siyo sahihi kwa
wanunuzi wapya PAP kuzichukua fedha za kwenye akaunti ya
ESCROW kwani fedha hizo ni mali ya serikali,kitu ambacho si
kweli.kwahiyo kafulila aacha kutumika na mafisadi kwahiyo
bilion 1.3 alizotengewa na hao mafisadi maana mwisho wa
siku atakuja kuumbuka tu.
 
Jamaa wamechambua vizuri asili ya uanzishwaji akaunti ya escrow,wamekata kiu yangu

Tumefika mahali watanzania tumekuwa kama wale watu
wanaogombania bakuli za supu kwa ng'ombe ambaye
hajachinjwa na pengine hajatolewa hata zizini,Fikiri kama
ng'ombe atakata kama au kutoroka zizini itakuaje?
Tumefika mahali baadhi ya viongozi na wanasiasa kwa kauli
zao au za kutumwa na watu wenye maslahi kwao(mafisadi)
wanajaribu kuwapotosha na kuwarubuni watanzania kwa
kuwaaminisha kuwa IPTL/PAP ilikuwa siyo sahihi kwa
wanunuzi wapya PAP kuzichukua fedha za kwenye akaunti ya
ESCROW kwani fedha hizo ni mali ya serikali,kitu ambacho si
kweli.kwahiyo kafulila aacha kutumika na mafisadi kwahiyo
bilion 1.3 alizotengewa na hao mafisadi maana mwisho wa
siku atakuja kuumbuka tu.
 
Baada ya kufuatilia na kushiriki mjadala huu mpana wenye maslahi kwa taifa letu nimepata maswali kumi ambayo ndugu yangu david kafulila anaweza kunisaidia kuyajibu kuhusu iptl na escrow.

1.JE Anaijua historia ya iptl vizuri au anaifahamu kwa kupitia kusoma raia mwema na machapisho ya zitto kabwe

2.JE Anafahamu mchakato wa mauziano ya hisa ulivyofanyika kati ya mechmar corporation (malaysia)berhard kwenda pap,anajua kwamba seth aliomba kuuziwa sehemu ya hisa za iptl tanzania yaani 70% za iptl zilizokuwa chini ya mechmar lakini akakataliwa kutokana na sheria za biashara kimataifa kutoruhusu mwangalizi kununua hisa za kampuni anayoisimamia,na hivyo hisa kuuzwa kwa kampuni ya piper link,hivyo seth singh alilazimika kuomba piperlink imuuzie hisa zake ndani ya iptl tanzania,na manunuzi hayo yalifuata taratibu zote za kisheria ikiwa pamoja na kununua madeni yote ya kampuni,je analijua hili?

3.JE Kafulila anafahamu masuala yote yalioleta utata kuhusu capacity charges za kuzalisha umeme kati ya iptl na tanesko yaliamriwa na kupatiwa ufumbuzi katika mahakama ya kimataifa ya biashara,na masuala ya mgawanyo wa mapato kati ya wanahisa yaani vip na mechmar yalipatiwa ufumbuzi katika mahakama kuu tanzania chini ya jaji ukama,hukumu iliyopelekea kuanzishwa kwa akaunti ya escrow ambayo kimsingi ilikua inatunza malipo ya wanahisa yanayotokana na mauzo ya umeme wanaozalisha na kuizia taneko baada ya usuluhishi wao mahakama ya kibiashara kuhusu capacity charges.

4.JE Kafulila anafamu kuwa vip iliuza hisa zake kwa pap baada ya kufikia makubaliano ya bei ya hisa zote 30% za vip?,Na kumfanya harbinder seth singh kuwa mmiliki halali wa asilimia zote mia za iptl

5.JE Kafulila anafahamu kuwa mmiliki wa vip bwana rugemalira sio mtumishi wa umma na hivyo kama raia wengine ana haki ya kutumia fedha zake alizopata kwa njia halali ya kuuza hisa zake ndani ya kampuni anavyotaka bila kuvunja sheria,bila kuingiliwa na mtu yeyote hata kama amehonga mwanamke,ametupa jalalani,amekunywa pombe au ametoa msikitini/kanisani/shuleni/ametoa msaada kwenye kwaya/kumpa mchepuko hata bilioni mbili,maana ni zake na kafulila hatakiwi kufuatilia maisha ya mtu binafsi maana hata rugemalira afuatilii maisha ya kafulila.

6.JE Kafulila anafahamu kuwa iptl ndio kampuni pekee inayookoa fedha za watanzania kwenye nishati kwasababu ya kuwauzia umeme kwa bei nafuu kuliko kampuni anayoipigia debe na iliyomtuma kuichafua iptl yaani symbioon ambayo inaiuzia tanesco umeme unit moja kwa zaidi ya elfu moja wakati iptl inaiuzia umeme tanesco chini ya shiling mia tano kwa unit na imeanza mazungumzo kushusha umeme hadi sh 90 kwa unit,je haoni anatumika vibaya na kampuni yenye wivu wa kibiashara kuchafua iptl ambayo ni mkombozi wa tanzania

7.JE Kafulila ana majibu gani baada ya kulidanganya bunge kuhusu mmiliki wa iptl harbinder seth singh kufukuzwa na kutotakiwa kufanya biashara kenya kwa sababu ya ufisadi wakati wiki iliyopita iptl ilikabidhiwa barua na waziri wa nishati kenya kupewa tender ya kuzalisha umeme mw 2000.?

8.JE Kafulila anazungumziaje tuhuma za yeye kupokea milioni tisini kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa walioathirika na kitendo cha waziri mpya wa nishati na madini sospeter muhongo kufunga mirija ya kifisadi waliyokuwa wanatumia kujinufaisha na kuifilisi nchi (rostam,mengi,mkono) ili awachafue na kuwakomoa muhongo na katibu wake maswi?

9.JE Kafulila haoni ni muda sahihi wa yeye kuwataka radhi iptl na watanzania kwa kutumika na mafisadi ili kurudisha heshima yake kwa watanzania.

10.JE Kafulila anataka tumtambuaje baada ya haya yote,mpigaji?/Mzalendo/mtu wa kutumia fursa/au mtumikaji?

Naomba kuwasilisha ili mkuu kafulila aweze kuyajibu,karibuni kwenye mjadala

Tumefika mahali watanzania tumekuwa kama wale watu
wanaogombania bakuli za supu kwa ng'ombe ambaye
hajachinjwa na pengine hajatolewa hata zizini,Fikiri kama
ng'ombe atakata kama au kutoroka zizini itakuaje?
Tumefika mahali baadhi ya viongozi na wanasiasa kwa kauli
zao au za kutumwa na watu wenye maslahi kwao(mafisadi)
wanajaribu kuwapotosha na kuwarubuni watanzania kwa
kuwaaminisha kuwa IPTL/PAP ilikuwa siyo sahihi kwa
wanunuzi wapya PAP kuzichukua fedha za kwenye akaunti ya
ESCROW kwani fedha hizo ni mali ya serikali,kitu ambacho si
kweli.kwahiyo kafulila aacha kutumika na mafisadi kwahiyo
bilion 1.3 alizotengewa na hao mafisadi maana mwisho wa
siku atakuja kuumbuka tu.
 
huu mchakato lazima utaondoka na roho ya mtuu amini usiamini
 
Kumekuwepo na malumbano makubwa kuhusiana na Shirikabinafsi la kufua umeme la IPTL na utendaji wake wa kazi.Jambo la msingi la kuzingatia ni kwamba IPTL ni mojawapo yamashirika ya biashara yaliyoanzishwa katika nchi changa kwajitihada za kukuza uhusiano na ushirikiano wa kiuchumimiongoni mwa nchi changa zenyewe, badala ya kungoja nchiza Magharibi zilete maendeleo kwa nchi changa. Hatua hiyoni sahihi ili kuhakikisha kwamba nchi changa zitegemeanekatika maendeleo.
 
Back
Top Bottom