Maswali kumi kwa David Kafulila kuhusu IPTL

Maswali kumi kwa David Kafulila kuhusu IPTL

Naona unajitahidi sana kukimbia wizi wa bilioni 200 na kutaka kumchafua Kafulila. Hawa IPTL ni matapeli wakubwa sana waliingia nchini kitapeli na wanaendelea na utapeli wao huku wakishirikiana na wahusika mbali mbali ndani ya hii Serikali ya mafisadi.

Jamaa wa IPTL wanatambua haki ya mtu kufanya mambo yake binafsi,lakini wana haki ya kuwaeleza wananchi sura halisi ya Kafulila ambaye kwa makusudi,alianza kuwachafua IPTL
 
Naona unajitahidi sana kukimbia wizi wa bilioni 200 na kutaka kumchafua Kafulila. Hawa IPTL ni matapeli wakubwa sana waliingia nchini kitapeli na wanaendelea na utapeli wao huku wakishirikiana na wahusika mbali mbali ndani ya hii Serikali ya mafisadi.

kwasisi wajuzi wa mambo kafulila alijichafua yeye mwenyewe wala asisingiziwe mtu.
 
Mkuu #BAK kafulila kachafuka the same day alipochukua mil.90
 
Kwi kwi kwi kwi eti mjuzi wa mambo!!! Huna ujuzi wa jambo lolote lile bali unaonyesha uzalendo wako hauko kwa nchi yako bali iko kwa mafisadi wachache. Badala ya kutetea maslahi ya Watanzania wenzio 45 million uko hapa kutetea maslahi ya mafisadi waliofaidika na wizi huo wa shilingi bilioni 200 ambao hawafiki hata 100!!! Sijui huyo Rugemarila amekuwekea kiasi gani kwenye bank aacount yako hadi umtetee yeye na mafisadi wenzie kiasi hiki.

kwasisi wajuzi wa mambo kafulila alijichafua yeye mwenyewe wala asisingiziwe mtu.
 
Especially zikiwa pesa za wizi na za kuvutia ugoro unazimwaga tu kwenye bank accounts za mafisadi. Pesa ya wizi halafu ya kununulia ugoro huna uchungu nayo ati!!

Kutoa ni moyo wala si utajiri
 
Naona unajitahidi sana kukimbia wizi wa bilioni 200 na kutaka kumchafua Kafulila. Hawa IPTL ni matapeli wakubwa sana waliingia nchini kitapeli na wanaendelea na utapeli wao huku wakishirikiana na wahusika mbali mbali ndani ya hii Serikali ya mafisadi.

Hao walioiba fedha za epa wametoa ngapi
 
maswali yote umeuliza kishoga sana ilikuwa uhoji kama kafulila yuko sahihi au hayuko sahihi...
 
Swali hili kamuulize Kikwete DHAIFU na P Pinda aliyetamka hadharani, "wezi wa EPA ni matajiri wakubwa sana nchini kama watakamatwa basi nchi itawaka moto."

Hao walioiba fedha za epa wametoa ngapi
 
​Na hao waliokwapua bilioni 200 za walipa kodi je, wao bado wasafi?

Bilioni 200 zipi unazongumzia,za malipo ya umeme tuliotumia toka 2001.au mlipenda watu watoe mitambo malaysia hadi tanzania,wazalishe umeme,tutumie bure tu,mkuu usitake kuniambia unawaza hvyo,otherwise huwezi zungumzia malipo halali ya watu kuwa wamezipga
 
Mkuu huo muda wa kurudia habari ambayo tayari iko hapa sinao. Tafuta hayo majina humu utayaona ya baadhi ya wahusika.

Mkuu ebu wataje hao walio kwapua hizo b 200 mapema kabla ripot ya cag ijatoka
 
Umeleta mada ijadiliwe wakati umeshachagua upande wa kushabikia hivi husomi comments zako mbona zipo wazi kabisa.Zinaonesha upande ulipo

Asa mkuu mbona hilo lipo kwaida sana yan ata ungekuwa wewe ni lazima uwe na upande wa kutetea
Mfano mzuri ni rais wetu wa tz cku anafungua bunge la katiba tayari kabisa alisema kwa serikali mbili haziepukiki ata kidogo so yeye ndo ali kubali bunge la katiba lianze then at za same time akachagua upande wake wa serekli mbili au mfano kwa kafulila wakati mambo haya yanaanza kuwa hot yeye alichagua upande wa kina rostam plus mkono na kuwa nao na bila kufanya uchunguzi wa upande wa pili

Mkuu mambo ndo yalivyo hivyo
 
Umeleta mada ijadiliwe wakati umeshachagua upande wa kushabikia hivi husomi comments zako mbona zipo wazi kabisa.Zinaonesha upande ulipo

Hata maswali yangu yanaonyesha kuwa sijafurahshwa na rumours nnazosikia kuwa kafulila anaujua ukweli ila amenunuliwa kuchafua wenzake,na ndio msingi wa madai yangu kutaka ndugu yangu kafulila anipe majibu
 
Kuna juhudi kubwa zinazofanywa na mapanya na mafisi ndani ya Serikali hii dhalimu kumchafua Kafulila ili kumnyamazisha katika wizi huu mkubwa ambao Mawaziri na hata Wabunge wamepokea pesa nyingi sana za wizi wa pesa za walipa kodi. Mjue juhudi zenu kamwe hazitafanikiwa.
Mkuu tunapojadili swala zito kama hili mahaba yako yaache kwa mke wako, tunazungumzia kukomesha madalali wa kisiasa hapa nchini kwetu kama akina kafulila kutumiwa na akina Mengi, Rostam, Lowasa na Mkono kuchafua wafanyabiashara wenzao wanaowazidi mtaji. siku nyingine ukikumbuka akili yako ulipoiacha njoo uchangie
 
Back
Top Bottom