Maswali kumi kwa David Kafulila kuhusu IPTL

Maswali kumi kwa David Kafulila kuhusu IPTL

teh teh teh teh!!! Wasinge kagua kafulila angetunga wimbo @ mfia uzi
Halafu hili la Tibaijuka iptl wenyewe wameshalitolea ufafanuzi labda kama umeamua kutoelewa maelezo yao mazuri. Ukikosa angle ya kutete upande wako usilete ramli, kwahyo kwakuwa unampinga nayeye awe namawazo kama yako unatumika.

Hii ni shida kwetu vijana kama mtu asipokua upande wako bs msaliti na anatumika,tafadhali jamani tuchangie mjadala bila kejeli
 
Tibaijuka yeye kagawiwa Bil 1.3 jewewe umegawiwa shilingi ngapi na hawa matapeli ili uje hapa kuuliza ujinga wako?

Tangu lini pesa isiyo ya serikali ikakaguliwa na CAG?

Hivi unatumia tumbo kufikiri?

Maswi na Muhongo wanajaribu kupigapiga miguu chini ili kujinasua lkn wizi kama huu wa kutuibia na kugawana genge lisilozidi hata watu 20 pesa nyingi zaidi ya Bil 200 ,hauvumiliki tena.

Kila siku unakuja jamii forums kupima upepo.

Mdogo wangu jamii forum ni jukwaa la watu kubadilishana mawazo na mitizamo juu ya mambo mbalimbali yanayokabili taifa letu
 
Kafulila ni binadamu naye pia anakosea,ndio maana alidanganya bunge kuwa seth hatakiwi kenya,wakati ni kinyume chake seth kapewa mradi kenya mkubwa kuliko wa hapa tanzania

Kakosa aibu huyu mtoto, anamwambia Dr. Hosea amkamate Prof. Tibaijuka kwamba amekula pesa za iptl. Yaani kajitoa ufahamu kabisa huyu bwana mdogo kafulila, ila shetani wa pesa mbaya sana ona bwana mdogo anavyojidhalilisha.
 
mkuu unajifichia kona fupi mno cag kazi yake ni kwenda kukagua namna fedha hizo zilivotolewa bank kuu kama zilifuata utaratibu wa kibenk nasi vinginevyo. Je fedha hizo zililipwa kwa walengwa waliyoiuzia umeme tanesco? Kama ni kweli kwanini baadhi yao wanapiga kelele? Akishabaini hapo cag kwamba fedha hizo zililipwa kwa wahusika. Itakuwa wale wanaolalamika watakuwa huru kwenda mahakamani kwenda kumshitaki yule wanayedaina naye

cag alivyoanza kufanya uchunguzi kafulila akatangaza kukosa imani na cag,lakini baadae kidogo wakawa marafiki wakubwa hadi tarehe ya kustaafu cag katangaza kafulila,cjui nini kilitokea
 
Kakosa aibu huyu mtoto, anamwambia Dr. Hosea amkamate Prof. Tibaijuka kwamba amekula pesa za iptl. Yaani kajitoa ufahamu kabisa huyu bwana mdogo kafulila, ila shetani wa pesa mbaya sana ona bwana mdogo anavyojidhalilisha.

Tatizo ni kwamba labda hajui swali lolote kati ya hayo niliyouliza hapo juu
 
Tatizo ni kwamba labda hajui swali lolote kati ya hayo niliyouliza hapo juu

Hili swala liko kwenye uchunguzi na vyombo vinavyohusika kisheria kuchunguza tuhuma hizo. Sasa wewe kuja JF na maswali yako ili Kafulila aje kukujibu hapa ni uchizi wa wazi kabisa maana unajua hata kama majibu anayo hawezi kuja hapa na kuyatoa wakati huu. Ulichofanya ni kupandikiza fikira fulani kwa wana JF waelewe tofauti kama utakavyo wewe kwa manufaa yako au aliyekutuma.
Haraka ya nini wakati ripoti ya CAG na Hosea hazijatoka? Afterall kama mahali pakiwa na tuhuma za wizi au ufisadi majibu yake sio mjadala bali ni uchunguzi wa kisheria. Mjadala unakuwepo sio kwa kubaini wizi huo bali kupiga porojo za kuupotezea tuu.
Tusubiri ripoti ndio tuijadili. Na hizo pesa unazosema alipewa Kafulila na mafisadi kama una ushahidi upeleke kwa Hosea ili kumsaidia katika uchunguzi wake vinginevyo ni majungu yenye malengo maalumu na yasiyo na msaada kwa taifa.
 
Mkuu umekurupa kweli kwan mkuu ujui kama biashara ilifanyika kati ya tanesco na iptl na lazima CAG haucke maana tanesco ni taacc ya serekal mkuu acha umbulula wewe kiraza

Dada waliokutuma kawaambie kwanza wakupeleke darasani maana hujui unachokiandika,Dada CAG anahusika name mashirika ya umma na ile hela waluyochukua mabosi wako walkouts ni serikali yaani umma,Ingekuwa ni ya iptl asingekagua kwa kuwa ni shirika binafsi.
 
Hili swala liko kwenye uchunguzi na vyombo vinavyohusika kisheria kuchunguza tuhuma hizo. Sasa wewe kuja JF na maswali yako ili Kafulila aje kukujibu hapa ni uchizi wa wazi kabisa maana unajua hata kama majibu anayo hawezi kuja hapa na kuyatoa wakati huu. Ulichofanya ni kupandikiza fikira fulani kwa wana JF waelewe tofauti kama utakavyo wewe kwa manufaa yako au aliyekutuma.
Haraka ya nini wakati ripoti ya CAG na Hosea hazijatoka? Afterall kama mahali pakiwa na tuhuma za wizi au ufisadi majibu yake sio mjadala bali ni uchunguzi wa kisheria. Mjadala unakuwepo sio kwa kubaini wizi huo bali kupiga porojo za kuupotezea tuu.
Tusubiri ripoti ndio tuijadili. Na hizo pesa unazosema alipewa Kafulila na mafisadi kama una ushahidi upeleke kwa Hosea ili kumsaidia katika uchunguzi wake vinginevyo ni majungu yenye malengo maalumu na yasiyo na msaada kwa taifa.

Soma uzi halafu rudi uulize hlo swali
 
Kwan mkuu kafulila akijibu kuna tatizo
 
Kuna juhudi kubwa zinazofanywa na mapanya na mafisi ndani ya Serikali hii dhalimu kumchafua Kafulila ili kumnyamazisha katika wizi huu mkubwa ambao Mawaziri na hata Wabunge wamepokea pesa nyingi sana za wizi wa pesa za walipa kodi. Mjue juhudi zenu kamwe hazitafanikiwa.
 
Dada waliokutuma kawaambie kwanza wakupeleke darasani maana hujui unachokiandika,Dada CAG anahusika name mashirika ya umma na ile hela waluyochukua mabosi wako walkouts ni serikali yaani umma,Ingekuwa ni ya iptl asingekagua kwa kuwa ni shirika binafsi.

Wewe hujui unachokiandika cag anakagua sababu bosi wako kafulila anadai yeye ana ushahidi kuwa ile ni hela ya serikali sababu tanesco iliongezewa capacity charge kitu ambacho si kweli maana hlo tatizo lilishamalzwa mahakama ya kibiashara,hakuna utata wa capacity charge
 
Kwan mkuu kafulila akijibu kuna tatizo

Mkuu unafahamu wazi hawezi kujibu hapa hadharani majibu ambayo keshajibu kwa CAG na Hosea maana shughuli za kiuchunguzi zinaendelea kwa kutumia ushahidi aliotoa.
 
3.JE Kafulila anafahamu masuala yote yalioleta utata kuhusu capacity charges za kuzalisha umeme kati ya iptl na tanesko yaliamriwa na kupatiwa ufumbuzi katika mahakama ya kimataifa ya biashara,na masuala ya mgawanyo wa mapato kati ya wanahisa yaani vip na mechmar yalipatiwa ufumbuzi katika mahakama kuu tanzania chini ya jaji ukama,hukumu iliyopelekea kuanzishwa kwa akaunti ya escrow ambayo kimsingi ilikua inatunza malipo ya wanahisa yanayotokana na mauzo ya umeme wanaozalisha na kuizia taneko baada ya usuluhishi wao mahakama ya kibiashara kuhusu capacity charges.

Huko Kote Mnazunguka na kutuzuga HOJA KUU ipo hapa, Kuwa Akaunti ESCROW ilitokana kutokana na Ugomvi wa IPTL na TANESCO au Ugomvi wa wanahisa wa IPTL.

Pia mnatudanganya kwa maana Kesi ya kuhusu Capacity Charge haijapata kuamuliwa kwa maana kufika hitimisho, maana muliiba hela kuuziana hisa kabla kesi haijaisha.

Swali kwako sasa:-
1.Hivi unajua Hela zilizonunua Hisa asilimia 30% zilitoka BOT kwa maana SINGASINGA alishalipwa kabla hata ajamilikishwa Hisa zote?
Kifupi walijikopesha ndio wakalipa deni, singasinga ajatumia hata THUMNI yake.
 
  1. Hebu na wewe tuambie kwa nini mnamdaka Kafulila juu kwa juu wakati hii ishu ilikuwa inachunguzwa na PCCB na CAG ambazo ni taasisi za serikali? Ripoti za hawa jamaa ziko wapi (japo ni serikali hii hii na viongozi wake ndiyo wanaotuhumiwa kwa ufisadi huu) maana ingalau kwa ripoti ya Hosea na Utouh na timu zao (hata kama imechakachuliwa) tunaweza kupata pa kuanzia ili kujua mbivu na mbichi na kisha kumhukumu Kafulila? Au bado wanaendelea na uchunguzi? If so, mbona mnakuja kwa kasi hivi kuutetea huu ufisadi katika mitandao ya kijamii? Kuna nini hapa?..............Tumesikia hawa jamaa wameshatoa ripoti zao na kuna ushahidi wa kutosha kuwa kuna baadhi ya vigogo waaandamizi wa serikali hii ya JK (mawaziri) wamehusika katika deal hili la kifisadi, je ni kweli? Na Je, ni kweli pia eti Cabinet (Baraza la Mawaziri) wanakaa several times Ikulu kujadili hili ili kuona namna watakavyozuia na kuiokoa serikali hii isije ikaanguka kwa mara nyingine tena kutokana na scandal hii?
  2. Unazikumbuka scandals za EPA na Richmond namna zilivyoanza huku dhihaka kama hizi zinavyoendelea leo kwa walioziibua? Unaukumbuka mwisho wa scandal hizo? Kama umesahau, basi tukupe hiyo kumbukumbu japo ni mbaya kwenu CCM lakini ndiyo hali halisi na ndiyo nature ya serikali ya CCM ya wizi na ufisadi wa mali ya umma!!.......Mara zote walionekana kama anavyoonekana Kafulila leo, walishinda na ukweli ulidhihiri na mwisho wa siku serikali iliangukia pua!!

FionaMushi, kwa level hii ya propaganda mnayoifanyia serikali hii eti tu katika kujaribu kuikoa, bado hamjaweza kufikia kiwango cha kuwa fool watanzania hata waweze kunyamaza ktk hili.

Na nikuambie kitu ndugu yangu? Hakuna wakati mwingine mbaya kama huu ambapo serikali hii ya CCM imekabwa koo kila kona hata iweze kujinasua kwani ikigeuka huku inakutana na sokomoko la Katiba mpya, ikigeukia kule inakutana na kashfa ya ESCROW/IPTL Account vs TANESCO na zingine kibao zitakuja, wewe subiri tu tunapoelekea katika General Election ya 2015. Utabiri wa ujenzi wa mnara wa babel na kusambaratika kwa utawala huu ndiyoooooo huo kwa kasi sana unatimia sasa maana mtaongea kwa lugha ambayo hakuna atakayemwelewa mwenzake na mnara utaporomoka puuuuuh!!

Na haya yatawavuruga na kuwasambaratisha kuanzia ndani ya chama chenu hadi kuivuruga na kuisambaratisha Serikali yote. Wewe chunguza tu utalibaini hili mara moja kwani kuna kauli na matendo ya ajabuajabu sana yanafanywa na vongozi wa serikali hii hata inafikia watu wenye akili timamu wanashindwa kuelewa na kuamini iwapo hili limesemwa au limeagizwa na kiongozi wa serikali kweli au mlevi fulani ktk bar!!??

Washauri wakubwa zako, ripoti za uchunguzi wa sakata hili ziwekwe wazi ili public ijue kwani tutaelewa na kutambua mara moja kuwa, aaah, kumbe ni kweli fedha hizo hazikuwa za umma bali zilikuwa za akina Tibaijuka,(Rwegamurula?) au Sethi Singasinga na IPTL yao............Otherwise,hakuna propaganda itakayobadilisha ukweli huu ya kuwa fedha ni zetu na tumeibiwa tu na Kafulila na wengine wote walio kinyume na hili watasimama kama heroes!!
 
Back
Top Bottom