Maswali kumi kwa David Kafulila kuhusu IPTL

Mtoa mada mkurupukaji

tuambie umepewa sh. Ngapi ltk huo mgao kama motisha ya kuandika huo uchafuw
 
Hako kadudu kako hakajapata mwashaji tu?

Onyo tulishatahadhalisha muda mrefu juu ya watu kama nyie kutumika kutoa matusi kwenye hoja nzito za kitaifa. kama umelewa au haujala mjadala huu haukuhusu kabisa, ni mjadala unaolenga watu wenye ufahamu tu
 
Maswali yako yote ni leading questions hivyo uko biased huna msaada wowote. Audt report ya CAG bado wewe unauliza maswali ili iweje? CAG anakagua fedha za TANESCO wewe unataka kumkagua Kafulila kakutuma nani CAG katumwa na Bunge
Baada ya kufuatilia na kushiriki mjadala huu mpana wenye maslahi kwa taifa letu nimepata maswali kumi ambayo ndugu yangu david kafulila anaweza kunisaidia kuyajibu kuhusu iptl na escrow.

1.JE Anaijua historia ya iptl vizuri au anaifahamu kwa kupitia kusoma raia mwema na machapisho ya zitto kabwe

2.JE Anafahamu mchakato wa mauziano ya hisa ulivyofanyika kati ya mechmar corporation (malaysia)berhard kwenda pap,anajua kwamba seth aliomba kuuziwa sehemu ya hisa za iptl tanzania yaani 70% za iptl zilizokuwa chini ya mechmar lakini akakataliwa kutokana na sheria za biashara kimataifa kutoruhusu mwangalizi kununua hisa za kampuni anayoisimamia,na hivyo hisa kuuzwa kwa kampuni ya piper link,hivyo seth singh alilazimika kuomba piperlink imuuzie hisa zake ndani ya iptl tanzania,na manunuzi hayo yalifuata taratibu zote za kisheria ikiwa pamoja na kununua madeni yote ya kampuni,je analijua hili?

3.JE Kafulila anafahamu masuala yote yalioleta utata kuhusu capacity charges za kuzalisha umeme kati ya iptl na tanesko yaliamriwa na kupatiwa ufumbuzi katika mahakama ya kimataifa ya biashara,na masuala ya mgawanyo wa mapato kati ya wanahisa yaani vip na mechmar yalipatiwa ufumbuzi katika mahakama kuu tanzania chini ya jaji ukama,hukumu iliyopelekea kuanzishwa kwa akaunti ya escrow ambayo kimsingi ilikua inatunza malipo ya wanahisa yanayotokana na mauzo ya umeme wanaozalisha na kuizia taneko baada ya usuluhishi wao mahakama ya kibiashara kuhusu capacity charges.

4.JE Kafulila anafamu kuwa vip iliuza hisa zake kwa pap baada ya kufikia makubaliano ya bei ya hisa zote 30% za vip?,Na kumfanya harbinder seth singh kuwa mmiliki halali wa asilimia zote mia za iptl

5.JE Kafulila anafahamu kuwa mmiliki wa vip bwana rugemalira sio mtumishi wa umma na hivyo kama raia wengine ana haki ya kutumia fedha zake alizopata kwa njia halali ya kuuza hisa zake ndani ya kampuni anavyotaka bila kuvunja sheria,bila kuingiliwa na mtu yeyote hata kama amehonga mwanamke,ametupa jalalani,amekunywa pombe au ametoa msikitini/kanisani/shuleni/ametoa msaada kwenye kwaya/kumpa mchepuko hata bilioni mbili,maana ni zake na kafulila hatakiwi kufuatilia maisha ya mtu binafsi maana hata rugemalira afuatilii maisha ya kafulila.

6.JE Kafulila anafahamu kuwa iptl ndio kampuni pekee inayookoa fedha za watanzania kwenye nishati kwasababu ya kuwauzia umeme kwa bei nafuu kuliko kampuni anayoipigia debe na iliyomtuma kuichafua iptl yaani symbioon ambayo inaiuzia tanesco umeme unit moja kwa zaidi ya elfu moja wakati iptl inaiuzia umeme tanesco chini ya shiling mia tano kwa unit na imeanza mazungumzo kushusha umeme hadi sh 90 kwa unit,je haoni anatumika vibaya na kampuni yenye wivu wa kibiashara kuchafua iptl ambayo ni mkombozi wa tanzania

7.JE Kafulila ana majibu gani baada ya kulidanganya bunge kuhusu mmiliki wa iptl harbinder seth singh kufukuzwa na kutotakiwa kufanya biashara kenya kwa sababu ya ufisadi wakati wiki iliyopita iptl ilikabidhiwa barua na waziri wa nishati kenya kupewa tender ya kuzalisha umeme mw 2000.?

8.JE Kafulila anazungumziaje tuhuma za yeye kupokea milioni tisini kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa walioathirika na kitendo cha waziri mpya wa nishati na madini sospeter muhongo kufunga mirija ya kifisadi waliyokuwa wanatumia kujinufaisha na kuifilisi nchi (rostam,mengi,mkono) ili awachafue na kuwakomoa muhongo na katibu wake maswi?

9.JE Kafulila haoni ni muda sahihi wa yeye kuwataka radhi iptl na watanzania kwa kutumika na mafisadi ili kurudisha heshima yake kwa watanzania.

10.JE Kafulila anataka tumtambuaje baada ya haya yote,mpigaji?/Mzalendo/mtu wa kutumia fursa/au mtumikaji?

Naomba kuwasilisha ili mkuu kafulila aweze kuyajibu,karibuni kwenye mjadala

Mpashee huyoo mbululaa acye jitambuaa
 
Mtoa mada mkurupukaji

tuambie umepewa sh. Ngapi ltk huo mgao kama motisha ya kuandika huo uchafuw

Kweli we kwappa yani hujui ata mtoa mada kaandika madaa gani mpaka unakurupuka kuandika upuuzi
Ebu soma uzii vizurii huo uzi then uje tena
 
Kobil wewe ni mfanyabiashara? Vita ya kibiashara ni mambo ya kawaida duniani kote, lakini vita ya kibiashara isitumike kuwaziba uwelewa watu welevu. Afadhali swali la kipumbavu kuliko kutenda tendo la kipumbavu. Usimzuie Mhe. Kafulila kuuliza swali la kipumbavu mpe jibu lenye ueledi visingizio vya kututoa kwenye hoja ya msingi havikubaliki kwa watu weledi labda kwa watu wapumbavu
Mkuu tunapojadili swala zito kama hili mahaba yako yaache kwa mke wako, tunazungumzia kukomesha madalali wa kisiasa hapa nchini kwetu kama akina kafulila kutumiwa na akina Mengi, Rostam, Lowasa na Mkono kuchafua wafanyabiashara wenzao wanaowazidi mtaji. siku nyingine ukikumbuka akili yako ulipoiacha njoo uchangie
 
Umeleta mada ijadiliwe wakati umeshachagua upande wa kushabikia hivi husomi comments zako mbona zipo wazi kabisa.Zinaonesha upande ulipo

Wewe ndo njoo na hiyo ya upande wa pili ili nayo tuijadili mkuu! kafulila hafai kabisa anatumika vibaya sana na mafisadi kama akina mkono na rostam
 
maswali yote umeuliza kishoga sana ilikuwa uhoji kama kafulila yuko sahihi au hayuko sahihi...
Mkuu siku nyingine usirudie kuja na matusi hapa siyo mahala pake,kama wewe umezoea mchezo huo humu hakuna mteja wa biashara hiyo. humu tunazungiumuzia kutumika kwa kafulila tu kwa mafisadi kama mkono na rostam
 
Mtoa mada mkurupukaji

tuambie umepewa sh. Ngapi ltk huo mgao kama motisha ya kuandika huo uchafuw

Wewe umepewa sh gapi na hao mafisadi wa nchi yetu wanaomtumia dalali maarufu kwenye siasa kama kafulila?
 
Kobil wewe ni mfanyabiashara? Vita ya kibiashara ni mambo ya kawaida duniani kote, lakini vita ya kibiashara isitumike kuwaziba uwelewa watu welevu. Afadhali swali la kipumbavu kuliko kutenda tendo la kipumbavu. Usimzuie Mhe. Kafulila kuuliza swali la kipumbavu mpe jibu lenye ueledi visingizio vya kututoa kwenye hoja ya msingi havikubaliki kwa watu weledi labda kwa watu wapumbavu
Mkuu nafurahi sana jinsi ninavyozidi kuujua ufahamu wako! kimsingi wewe umegota ktk kujitambua kwa kila sekta maana unaonyesha kiasi gani ulivyo na ukame wa maarifa kichwani mwako. sina uwezo wa kukurudisha shule mlumu mzazi wako kukuandaa kuwa mlalamikaji
 
Bora umekiri kuwa huna uwezo. Kama wazazi hawa kumfundisha mtu sio mwisho wa kujipatia maarifa. Kwa umri wangu sitegemei kupata maarifa kutoka kwa wazazi wangu bali kutoka kwa dunia. Dunia ni watu kama wewe, lakini siwezi kupokea kila kitu kama dodoki. Nitachuja kipi nijifunze na kipi niache. Hicho unachoamini wewe mimi sikikubali na kupingana na wewe haina maana sina maarifa na wewe hali kadhalika. Mimi nakuona wewe unayo maarifa lakini unaegemea upande mmoja hutaki kuangalia upande wa pili. Inawezekana ni kwa kukosa uchambuzi wa kiina au umefikia ukomo wako. Hata hivyo mimi nakukumbusha uongeze uchambuzi. Uchambuzi mzuri ni ule usiogemea upande, huangalia mazuri na mabaya, hasara na faida. Katika hoja za Kafulila sidhani kwamba zina mabaya tupu. Kama umewahi kufanya utafiti biasness ni mojawapo unethical behaviour

Inasemekana wewe ulishabakiza akili ya kukumbuka haja kubwa tu

Hapana mkuu umesahau kidogo, nilishabakiza ya kuukung'uta M.Ku.nd wako kisawasawa!! Nasikia uliwahadithia vizuri washikaji wako nilivyokubabua?
 
Naona unajitahidi sana kukimbia wizi wa bilioni 200 na kutaka kumchafua Kafulila. Hawa IPTL ni matapeli wakubwa sana waliingia nchini kitapeli na wanaendelea na utapeli wao huku wakishirikiana na wahusika mbali mbali ndani ya hii Serikali ya mafisadi.

Kwanza jifunze kukoti mtu kwa weledi zaidi siyo unavyofanya ni aibu kwenye jamii ambayo inajipambanua kama jamii iliyoelimika hususani kwenye maswala mazima ya technolojia. Siku nyingine usirudie kujiaibisha hivyo mkuu
 
Why ur so defensive just saying..shida ipo wapi nashangaa tu au..?!

Kwahiyo kuweka kabroken hako ndo kinga yako? Acha kujidhalilisha mkuu! Watu humu wengi wetu tumeutumia muda mwingi shule kuliko kukaa mitaani kama wewe! So unapoingia huko tunakuhurumia sana
 
Maswali yako yote ni leading questions hivyo uko biased huna msaada wowote. Audt report ya CAG bado wewe unauliza maswali ili iweje? CAG anakagua fedha za TANESCO wewe unataka kumkagua Kafulila kakutuma nani CAG katumwa na Bunge

Hakuna unachokijua wewe ndg! Kaa kimya itakusaidia kuficha uhaba wa upeo wako. Kafulila ni dalali zaidi ya madalali wa mitaani, hafai hata kidogo kwenye jamii ya wazalendo kama sisi
 
Baada ya kufuatilia na kushiriki mjadala huu mpana wenye maslahi kwa taifa letu nimepata maswali kumi ambayo ndugu yangu david kafulila anaweza kunisaidia kuyajibu kuhusu iptl na escrow.

1.JE Anaijua historia ya iptl vizuri au anaifahamu kwa kupitia kusoma raia mwema na machapisho ya zitto kabwe

2.JE Anafahamu mchakato wa mauziano ya hisa ulivyofanyika kati ya mechmar corporation (malaysia)berhard kwenda pap,anajua kwamba seth aliomba kuuziwa sehemu ya hisa za iptl tanzania yaani 70% za iptl zilizokuwa chini ya mechmar lakini akakataliwa kutokana na sheria za biashara kimataifa kutoruhusu mwangalizi kununua hisa za kampuni anayoisimamia,na hivyo hisa kuuzwa kwa kampuni ya piper link,hivyo seth singh alilazimika kuomba piperlink imuuzie hisa zake ndani ya iptl tanzania,na manunuzi hayo yalifuata taratibu zote za kisheria ikiwa pamoja na kununua madeni yote ya kampuni,je analijua hili?

3.JE Kafulila anafahamu masuala yote yalioleta utata kuhusu capacity charges za kuzalisha umeme kati ya iptl na tanesko yaliamriwa na kupatiwa ufumbuzi katika mahakama ya kimataifa ya biashara,na masuala ya mgawanyo wa mapato kati ya wanahisa yaani vip na mechmar yalipatiwa ufumbuzi katika mahakama kuu tanzania chini ya jaji ukama,hukumu iliyopelekea kuanzishwa kwa akaunti ya escrow ambayo kimsingi ilikua inatunza malipo ya wanahisa yanayotokana na mauzo ya umeme wanaozalisha na kuizia taneko baada ya usuluhishi wao mahakama ya kibiashara kuhusu capacity charges.

4.JE Kafulila anafamu kuwa vip iliuza hisa zake kwa pap baada ya kufikia makubaliano ya bei ya hisa zote 30% za vip?,Na kumfanya harbinder seth singh kuwa mmiliki halali wa asilimia zote mia za iptl

5.JE Kafulila anafahamu kuwa mmiliki wa vip bwana rugemalira sio mtumishi wa umma na hivyo kama raia wengine ana haki ya kutumia fedha zake alizopata kwa njia halali ya kuuza hisa zake ndani ya kampuni anavyotaka bila kuvunja sheria,bila kuingiliwa na mtu yeyote hata kama amehonga mwanamke,ametupa jalalani,amekunywa pombe au ametoa msikitini/kanisani/shuleni/ametoa msaada kwenye kwaya/kumpa mchepuko hata bilioni mbili,maana ni zake na kafulila hatakiwi kufuatilia maisha ya mtu binafsi maana hata rugemalira afuatilii maisha ya kafulila.

6.JE Kafulila anafahamu kuwa iptl ndio kampuni pekee inayookoa fedha za watanzania kwenye nishati kwasababu ya kuwauzia umeme kwa bei nafuu kuliko kampuni anayoipigia debe na iliyomtuma kuichafua iptl yaani symbioon ambayo inaiuzia tanesco umeme unit moja kwa zaidi ya elfu moja wakati iptl inaiuzia umeme tanesco chini ya shiling mia tano kwa unit na imeanza mazungumzo kushusha umeme hadi sh 90 kwa unit,je haoni anatumika vibaya na kampuni yenye wivu wa kibiashara kuchafua iptl ambayo ni mkombozi wa tanzania

7.JE Kafulila ana majibu gani baada ya kulidanganya bunge kuhusu mmiliki wa iptl harbinder seth singh kufukuzwa na kutotakiwa kufanya biashara kenya kwa sababu ya ufisadi wakati wiki iliyopita iptl ilikabidhiwa barua na waziri wa nishati kenya kupewa tender ya kuzalisha umeme mw 2000.?

8.JE Kafulila anazungumziaje tuhuma za yeye kupokea milioni tisini kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa walioathirika na kitendo cha waziri mpya wa nishati na madini sospeter muhongo kufunga mirija ya kifisadi waliyokuwa wanatumia kujinufaisha na kuifilisi nchi (rostam,mengi,mkono) ili awachafue na kuwakomoa muhongo na katibu wake maswi?

9.JE Kafulila haoni ni muda sahihi wa yeye kuwataka radhi iptl na watanzania kwa kutumika na mafisadi ili kurudisha heshima yake kwa watanzania.

10.JE Kafulila anataka tumtambuaje baada ya haya yote,mpigaji?/Mzalendo/mtu wa kutumia fursa/au mtumikaji?

Naomba kuwasilisha ili mkuu kafulila aweze kuyajibu,karibuni kwenye mjadala

Hilo swali namba nane tunaomba uthibitishe hizo tuhuma kwa wote ulio wataja vinginevyo wewe utakuwa mke wa muhongo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Upumbavu wako kaongee na mapanya na mafisi ndani ya chama chenu cha wahuni ambao wanaiangamiza Tanzania.

Mkuu tunapojadili swala zito kama hili mahaba yako yaache kwa mke wako, tunazungumzia kukomesha madalali wa kisiasa hapa nchini kwetu kama akina kafulila kutumiwa na akina Mengi, Rostam, Lowasa na Mkono kuchafua wafanyabiashara wenzao wanaowazidi mtaji. siku nyingine ukikumbuka akili yako ulipoiacha njoo uchangie
 
Bora umekiri kuwa huna uwezo. Kama wazazi hawa kumfundisha mtu sio mwisho wa kujipatia maarifa. Kwa umri wangu sitegemei kupata maarifa kutoka kwa wazazi wangu bali kutoka kwa dunia. Dunia ni watu kama wewe, lakini siwezi kupokea kila kitu kama dodoki. Nitachuja kipi nijifunze na kipi niache. Hicho unachoamini wewe mimi sikikubali na kupingana na wewe haina maana sina maarifa na wewe hali kadhalika. Mimi nakuona wewe unayo maarifa lakini unaegemea upande mmoja hutaki kuangalia upande wa pili. Inawezekana ni kwa kukosa uchambuzi wa kiina au umefikia ukomo wako. Hata hivyo mimi nakukumbusha uongeze uchambuzi. Uchambuzi mzuri ni ule usiogemea upande, huangalia mazuri na mabaya, hasara na faida. Katika hoja za Kafulila sidhani kwamba zina mabaya tupu. Kama umewahi kufanya utafiti biasness ni mojawapo unethical behaviour

Nashukuru mkuu! Kwa ushauri wako mi nimebobea ktk research ya mazingira ya kiuchumi na mazingira yake! Lkn napokea ushauri wako, ila mimi tayari nilisha fanya utafiti wangu kwenye sakata hilo nanikagudua mchezo mchafu unaofanywa na wanasiasa na wafanyabiashara walioshindwa kuinunua hisa za VIP na mechmar
 
Upumbavu wako kaongee na mapanya na mafisi ndani ya chama chenu cha wahuni ambao wanaiangamiza Tanzania.
Wewe ndg upeo wako unahitaji service kibwa sana maana muda mfupi hata akili iliyokuwa imebaki ya kukumbusha kwenda chooni itakata, fanya mchakato mapema kuifsnyia service mkuu
 
Back
Top Bottom