Maswali kumi kwa David Kafulila kuhusu IPTL

Huko Kote Mnazunguka na kutuzuga HOJA KUU ipo hapa, Kuwa Akaunti ESCROW ilitokana kutokana na Ugomvi wa IPTL na TANESCO au Ugomvi wa wanahisa wa IPTL.

Pia mnatudanganya kwa maana Kesi ya kuhusu Capacity Charge haijapata kuamuliwa kwa maana kufika hitimisho, maana muliiba hela kuuziana hisa kabla kesi haijaisha.

Swali kwako sasa:-
1.Hivi unajua Hela zilizonunua Hisa asilimia 30% zilitoka BOT kwa maana SINGASINGA alishalipwa kabla hata ajamilikishwa Hisa zote?
Kifupi walijikopesha ndio wakalipa deni, singasinga ajatumia hata THUMNI yake.

Waziri Prof. Muhongo

""15. Mheshimiwa Spika, Ni vizuri ikaeleweka kuwa, akaunti ya Escrow ilifunguliwa kutokana na "Dispute" iliyotolewa na TANESCO na sasa, "Dispute" haipo, na hivyo Serikali yeyote makini haina sababu ya kuzuia fedha ambazo zipo kwenye akaunti ya Escrow kwa sababu yoyote ile.

16. Mheshimiwa Spika, IPTL ni Kampuni binafsi na siyo kampuni ya Serikali, na TANESCO kama Mnunuzi wa umeme, wajibu wake ni kununua umeme na siyo kuingilia masuala ya ndani ya Kampuni. Kama "dispute" imeisha sasa fedha hizo zinazuiwa ili ziende wapi na zifanye nini?

17. Mheshimiwa Spika, Katika hukumu yake, ya tarehe 5 Septemba, 2013 na pia "consent order" iliyotolewa na Judge Utamwa J, tarehe 17 Januari, 2014, katika kesi yake Misc. Civil Case No.49/2002 and Misc. Civil Case No.254/2003 states "among other prayers that, by this settlement order, parties have discharged all of their respective outstanding performance obligations required in completion of execution of the contract". (Kiambatisho Na. 5 )

18. Mheshimiwa Spika, Siamini kama Bunge letu tukufu lingependa kuhoji maamuzi ya Mahakama. Ninaamini Mahakama zetu zina-uhuru wa kutoa uamuzi wowote na kulinda haki za Wananchi. Vyama vya upinzani wakifukuzana kwenye Ubunge (kama ilivyo kwa Mhe Zitto Kabwe na Mhe. David Kafulila) hukimbilia mahakamani na wanapopewa haki hawalalamiki na huona ni sawa, lakini katika kesi hii kati ya VIP na IPTL imeisha na mahakama imeamua hatutaki kukubali. Tumefikia mahali hatuiamini Mahakama kama chombo cha kutoa haki? Kwa nini hakuna aliyekata rufaa kupinga maamzi ya Mahakama?

Kuhusu malipo ya hisa 30% iptl wameshajibu kwakusema " mauziano ya hisa yalifata sheria za nchi na kwa ushahidi waweza anzia Brela"
 
Baada ya kufuatilia na kushiriki mjadala huu mpana wenye maslahi kwa taifa letu nimepata maswali kumi ambayo ndugu yangu david kafulila anaweza kunisaidia kuyajibu kuhusu iptl na escrow.

1.JE Anaijua historia ya iptl vizuri au anaifahamu kwa kupitia kusoma raia mwema na machapisho ya zitto kabwe

2.JE Anafahamu mchakato wa mauziano ya hisa ulivyofanyika kati ya mechmar corporation (malaysia)berhard kwenda pap,anajua kwamba seth aliomba kuuziwa sehemu ya hisa za iptl tanzania yaani 70% za iptl zilizokuwa chini ya mechmar lakini akakataliwa kutokana na sheria za biashara kimataifa kutoruhusu mwangalizi kununua hisa za kampuni anayoisimamia,na hivyo hisa kuuzwa kwa kampuni ya piper link,hivyo seth singh alilazimika kuomba piperlink imuuzie hisa zake ndani ya iptl tanzania,na manunuzi hayo yalifuata taratibu zote za kisheria ikiwa pamoja na kununua madeni yote ya kampuni,je analijua hili?

3.JE Kafulila anafahamu masuala yote yalioleta utata kuhusu capacity charges za kuzalisha umeme kati ya iptl na tanesko yaliamriwa na kupatiwa ufumbuzi katika mahakama ya kimataifa ya biashara,na masuala ya mgawanyo wa mapato kati ya wanahisa yaani vip na mechmar yalipatiwa ufumbuzi katika mahakama kuu tanzania chini ya jaji ukama,hukumu iliyopelekea kuanzishwa kwa akaunti ya escrow ambayo kimsingi ilikua inatunza malipo ya wanahisa yanayotokana na mauzo ya umeme wanaozalisha na kuizia taneko baada ya usuluhishi wao mahakama ya kibiashara kuhusu capacity charges.

4.JE Kafulila anafamu kuwa vip iliuza hisa zake kwa pap baada ya kufikia makubaliano ya bei ya hisa zote 30% za vip?,Na kumfanya harbinder seth singh kuwa mmiliki halali wa asilimia zote mia za iptl

5.JE Kafulila anafahamu kuwa mmiliki wa vip bwana rugemalira sio mtumishi wa umma na hivyo kama raia wengine ana haki ya kutumia fedha zake alizopata kwa njia halali ya kuuza hisa zake ndani ya kampuni anavyotaka bila kuvunja sheria,bila kuingiliwa na mtu yeyote hata kama amehonga mwanamke,ametupa jalalani,amekunywa pombe au ametoa msikitini/kanisani/shuleni/ametoa msaada kwenye kwaya/kumpa mchepuko hata bilioni mbili,maana ni zake na kafulila hatakiwi kufuatilia maisha ya mtu binafsi maana hata rugemalira afuatilii maisha ya kafulila.

6.JE Kafulila anafahamu kuwa iptl ndio kampuni pekee inayookoa fedha za watanzania kwenye nishati kwasababu ya kuwauzia umeme kwa bei nafuu kuliko kampuni anayoipigia debe na iliyomtuma kuichafua iptl yaani symbioon ambayo inaiuzia tanesco umeme unit moja kwa zaidi ya elfu moja wakati iptl inaiuzia umeme tanesco chini ya shiling mia tano kwa unit na imeanza mazungumzo kushusha umeme hadi sh 90 kwa unit,je haoni anatumika vibaya na kampuni yenye wivu wa kibiashara kuchafua iptl ambayo ni mkombozi wa tanzania

7.JE Kafulila ana majibu gani baada ya kulidanganya bunge kuhusu mmiliki wa iptl harbinder seth singh kufukuzwa na kutotakiwa kufanya biashara kenya kwa sababu ya ufisadi wakati wiki iliyopita iptl ilikabidhiwa barua na waziri wa nishati kenya kupewa tender ya kuzalisha umeme mw 2000.?

8.JE Kafulila anazungumziaje tuhuma za yeye kupokea milioni tisini kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa walioathirika na kitendo cha waziri mpya wa nishati na madini sospeter muhongo kufunga mirija ya kifisadi waliyokuwa wanatumia kujinufaisha na kuifilisi nchi (rostam,mengi,mkono) ili awachafue na kuwakomoa muhongo na katibu wake maswi?

9.JE Kafulila haoni ni muda sahihi wa yeye kuwataka radhi iptl na watanzania kwa kutumika na mafisadi ili kurudisha heshima yake kwa watanzania.

10.JE Kafulila anataka tumtambuaje baada ya haya yote,mpigaji?/Mzalendo/mtu wa kutumia fursa/au mtumikaji?

Naomba kuwasilisha ili mkuu kafulila aweze kuyajibu,karibuni kwenye mjadala

Pombe unayotumia wakati mwingine unaangalia sio kufakamia tu
 
Hako kadudu kako hakajapata mwashaji tu?
 
Inatia shaka sana kuona uchafu wake umeanza kuanikwa na wapokeaji wa pesa za wizi wa bilioni 200 baada ya yeye kuanika hadharani wizi huo! Walikuwa wapi kabla ya hapo?

Jamaa wa IPTL wanatambua haki ya mtu kufanya mambo yake binafsi,lakini wana haki ya kuwaeleza wananchi sura halisi ya Kafulila ambaye kwa makusudi,alianza kuwachafua IPTL
 
Serikali hii dhalimu ina rekodi chungu nzima za ufisadi kuhusiana na pesa za walipa kodi. Kama kweli hizo bilioni 200 si pesa za wizi kwanini hiyo ripoti ya CAG inaendelea kufichwa? Inafichwa ili iweje wakati pesa chungu nzima za walipa kodi zimekwapuliwa? Rais anayejali maslahi ya nchi yake huyu mama fisadi Tibaijuka na wahusika wengine wote wangekuwa wameshafukuzwa kazi lakini si Kikwete DHAIFU kama alivyopotezea EPA, Richmond, Rada, Kagoda, Meremeta ujambazi huu nao anataka kuupotezea ili kuwakingia kifua mafisadi wahusika.

Great thinker #BAK karibu jamvini,kwanini useme serikali inamchafua kafulila ili kumnyamazisha na si kafulila anatumia pesa za mafisadi kuichafua IPTL
 
Mimi naona haya maswali yate umeyaelekeza kwa Kafulila na hujaweka Cc.Watanzania wote,mimi sina cha kuchangia zaidi ya kukushauri ingia website ya bunge uchukue mawasiliano yake ili umtumie maswali yako au peleka kwenye ofisi ya mbunge jimboni kwake,humu JF hutapata majibu yako.Labda kama naye Kafulila alitoa tuhuma za hao akina Seth na wengineo hapa JF.

Baada ya kufuatilia na kushiriki mjadala huu mpana wenye maslahi kwa taifa letu nimepata maswali kumi ambayo ndugu yangu david kafulila anaweza kunisaidia kuyajibu kuhusu iptl na escrow.

1.JE Anaijua historia ya iptl vizuri au anaifahamu kwa kupitia kusoma raia mwema na machapisho ya zitto kabwe

2.JE Anafahamu mchakato wa mauziano ya hisa ulivyofanyika kati ya mechmar corporation (malaysia)berhard kwenda pap,anajua kwamba seth aliomba kuuziwa sehemu ya hisa za iptl tanzania yaani 70% za iptl zilizokuwa chini ya mechmar lakini akakataliwa kutokana na sheria za biashara kimataifa kutoruhusu mwangalizi kununua hisa za kampuni anayoisimamia,na hivyo hisa kuuzwa kwa kampuni ya piper link,hivyo seth singh alilazimika kuomba piperlink imuuzie hisa zake ndani ya iptl tanzania,na manunuzi hayo yalifuata taratibu zote za kisheria ikiwa pamoja na kununua madeni yote ya kampuni,je analijua hili?

3.JE Kafulila anafahamu masuala yote yalioleta utata kuhusu capacity charges za kuzalisha umeme kati ya iptl na tanesko yaliamriwa na kupatiwa ufumbuzi katika mahakama ya kimataifa ya biashara,na masuala ya mgawanyo wa mapato kati ya wanahisa yaani vip na mechmar yalipatiwa ufumbuzi katika mahakama kuu tanzania chini ya jaji ukama,hukumu iliyopelekea kuanzishwa kwa akaunti ya escrow ambayo kimsingi ilikua inatunza malipo ya wanahisa yanayotokana na mauzo ya umeme wanaozalisha na kuizia taneko baada ya usuluhishi wao mahakama ya kibiashara kuhusu capacity charges.

4.JE Kafulila anafamu kuwa vip iliuza hisa zake kwa pap baada ya kufikia makubaliano ya bei ya hisa zote 30% za vip?,Na kumfanya harbinder seth singh kuwa mmiliki halali wa asilimia zote mia za iptl

5.JE Kafulila anafahamu kuwa mmiliki wa vip bwana rugemalira sio mtumishi wa umma na hivyo kama raia wengine ana haki ya kutumia fedha zake alizopata kwa njia halali ya kuuza hisa zake ndani ya kampuni anavyotaka bila kuvunja sheria,bila kuingiliwa na mtu yeyote hata kama amehonga mwanamke,ametupa jalalani,amekunywa pombe au ametoa msikitini/kanisani/shuleni/ametoa msaada kwenye kwaya/kumpa mchepuko hata bilioni mbili,maana ni zake na kafulila hatakiwi kufuatilia maisha ya mtu binafsi maana hata rugemalira afuatilii maisha ya kafulila.

6.JE Kafulila anafahamu kuwa iptl ndio kampuni pekee inayookoa fedha za watanzania kwenye nishati kwasababu ya kuwauzia umeme kwa bei nafuu kuliko kampuni anayoipigia debe na iliyomtuma kuichafua iptl yaani symbioon ambayo inaiuzia tanesco umeme unit moja kwa zaidi ya elfu moja wakati iptl inaiuzia umeme tanesco chini ya shiling mia tano kwa unit na imeanza mazungumzo kushusha umeme hadi sh 90 kwa unit,je haoni anatumika vibaya na kampuni yenye wivu wa kibiashara kuchafua iptl ambayo ni mkombozi wa tanzania

7.JE Kafulila ana majibu gani baada ya kulidanganya bunge kuhusu mmiliki wa iptl harbinder seth singh kufukuzwa na kutotakiwa kufanya biashara kenya kwa sababu ya ufisadi wakati wiki iliyopita iptl ilikabidhiwa barua na waziri wa nishati kenya kupewa tender ya kuzalisha umeme mw 2000.?

8.JE Kafulila anazungumziaje tuhuma za yeye kupokea milioni tisini kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa walioathirika na kitendo cha waziri mpya wa nishati na madini sospeter muhongo kufunga mirija ya kifisadi waliyokuwa wanatumia kujinufaisha na kuifilisi nchi (rostam,mengi,mkono) ili awachafue na kuwakomoa muhongo na katibu wake maswi?

9.JE Kafulila haoni ni muda sahihi wa yeye kuwataka radhi iptl na watanzania kwa kutumika na mafisadi ili kurudisha heshima yake kwa watanzania.

10.JE Kafulila anataka tumtambuaje baada ya haya yote,mpigaji?/Mzalendo/mtu wa kutumia fursa/au mtumikaji?

Naomba kuwasilisha ili mkuu kafulila aweze kuyajibu,karibuni kwenye mjadala

Swali na. 5: Hivi kuhonga ni sawa kisheria ikiwa tu wewe si mtumishi wa umma!
 
Mimi naona haya maswali yate umeyaelekeza kwa Kafulila na hujaweka Cc.Watanzania wote,mimi sina cha kuchangia zaidi ya kukushauri ingia website ya bunge uchukue mawasiliano yake ili umtumie maswali yako au peleka kwenye ofisi ya mbunge jimboni kwake,humu JF hutapata majibu yako.Labda kama naye Kafulila alitoa tuhuma za hao akina Seth na wengineo hapa JF.

Asante sana kwa ushauri wako nitaufanyia kazi
 
Mimi naona haya maswali yate umeyaelekeza kwa Kafulila na hujaweka Cc.Watanzania wote,mimi sina cha kuchangia zaidi ya kukushauri ingia website ya bunge uchukue mawasiliano yake ili umtumie maswali yako au peleka kwenye ofisi ya mbunge jimboni kwake,humu JF hutapata majibu yako.Labda kama naye Kafulila alitoa tuhuma za hao akina Seth na wengineo hapa JF.

Asante sana nitaufanyia kazi ushauri wako
 
Inatia shaka sana kuona uchafu wake umeanza kuanikwa na wapokeaji wa pesa za wizi wa bilioni 200 baada ya yeye kuanika hadharani wizi huo! Walikuwa wapi kabla ya hapo?

inshu ni kwamba watu tumestuka baada ya kuunganisha dots na kugundua kuwa bwana mdogo kafulila siyo mwenzetu tena kumbe anatumika na mafisadi, naandio maana nguvu zinaelekezwa katika kuueleza umma juu ya uchafu wa kafulila, kabla ya hapo alikuwa sisimizi tu!
 
Ukilipwa pesa ya wizi $75 million ya walipa kodi wa Tanzania kutoa "zawadi" ya 2 billion pesa ya madafu ni kitu rahisi sana.

Hatuko sawa bwana watu wana helaaa
 
Back
Top Bottom