Maswali kuhusu hatma ya Humphrey Polepole

Bado kuna Ng'ombe wengine wanajidanganya kuwa wapo salama wakiwa ndani ya CCM.
Chukuwachakomapema watatafunana wenyewe kwa wenyewe, na utakuwa mwisho wao!
Trend ya kuteka, kutesa, kudhalilisha na hatimaye KUUWA MWISHO WAKE NI MBAYA, HAKUNA ATAKAYEPONA...
 
POLE POLE IS NO MORE, ABDULY NA MAFWELE WANAJUA WALICHOMFANYA
 
Huzuni sana.Hapo ni pamoja na Ben Saanane,Azory Gwanda,Mdude Nyagali na wengineo wengi katika orodha.
 
Aiseee, watawala kwa hili WAMEKOSEA SANA SANA...😢😢😢😢😢
Mimi nahisi Polepole alistahili haya kwa sababu wao na mjomba wake wa Chato ndiyo waaanzilishi wa utekaji na alikuwa kimya kabisa.

Sasa mtu wa namna hiyo inabidi aachwe aonje matunda ya mikono yake.
 
Nachoweza kusema tu katika huu Uzi ni.

"T h e g r a i n o f w h e a t"

Ili mmea uote na utoe matunda lazima uzikwe ardhini, hivyo Pole pole, Sanane, Soka, Chaula,Mbise,Mdude nk ni sehemu ya mbegu ambazo zimepandwa. Siku si nyingi Sana Ccm na mfumo huu ukandamizi utakuja kupata pigo ambalo hawatakua kulisahau katika maisha yao na huenda nchi yetu ikaanza upya.
 
Pole pole alinywea kikombe alichostahili kwasababu wao ndio waanzilishi wa kuteka watu na kupoteza watu enzi za magufuli alichopata alisitahili kukipata.
 
Je unaposema alitubu, aliwahi kukosoa au kutaja madhaifu ya Magufuli?? Aliwahi kusema ni wapi walitupa mabaki ya mwili wa Ben Saanane? Aliwahi kueleza ni nani walimshambulia Tundu?
 
Hawa wengine ni mbegu ila polepole anastahili kupitia Kwa sababu mfumo huu dharimu alihusika kuanzisha enzi za magufuli
 
Hapa chaguo ni moja tu kwa green, kubaki madarakani milele, siku wakianguka watapitia kipindi kigumu sana, na mengi yatakuwa bayana.Mwenyezi Mungu atupe umri mlefu
 
Hawa wengine ni mbegu ila polepole anastahili kupitia Kwa sababu mfumo huu dharimu alihusika kuanzisha enzi za magufuli
Inawezekana ni kweli lakini Kuna wakati ili ukombozi upatikane lazima atokee mtu anayeujua mfumo wa unyanyasaji barabara mfano kwa wakristo bila yuda iskariote kumsaliti yesu aliyekuwa anamfahamu kindakindaki pengine ukombozi usingekuja au ungechelewa hivyo Polepole naye ni sehemu ya mbegu Bora kabisa iliyokuwa inaufahamu mfumo wa kinyonyaji barabara na ikaamua dakika za mwisho kuwa upande wa haki.
 
Walisha muua usipate tabu.

Wahusika wakuu
CCM
Wakuu wa mapolisi na vikosi vyao
Usalama wa taifa mpaka mnapewa dole la kati na watoto wao.

Mkuu wa majeshi kushindana na utajiri bhakresa.
 
Mtu kama Tundu Lissu, Ben Saanane niwaweke kundi moja na Humphrey Polepole kweli? Niseme ukweli Polepole namuonea huruma tu kama Binadamu lakini alichokipata alistahili tofauti na hao wengine, tusichanganye mambo...

Haya Kesho Mafwele pamoja na akina Samia wakijirudi kama Polepole then Baadae wakaja kuuwawa kama Polepole nao tutaanza kuwaweka kundi moja na hao niliowataja hapo juu!!

Nisiwe mnafiki, mtu kama Polepole kiukweli najisikia vibaya na nisinge-wish yampate yaliyompata, ukweli ni kwamba yaliyompata yeye ndio ameyasababisha, ukatili aliouanzisha ni bora umpate yeye mwenyewe kuliko kuwapata wengine wasiohusika.. Alichokipa yeye atajijua mwenyewe sasa sisi anataka tufanyeje?
 
Yule baba kuna video ile akisema hapa ni wapi huku anatabasamu maskini😢
 
Je unaposema alitubu, aliwahi kukosoa au kutaja madhaifu ya Magufuli?? Aliwahi kusema ni wapi walitupa mabaki ya mwili wa Ben Saanane? Aliwahi kueleza ni nani walimshambulia Tundu?
Mkuu wewe una mtazamo kama wangu... Nashangaa watu wanachanganya mambo... Yaani watu wanawaweka Polepole, Tundu Lissu, Mdude, Ben Saanane etc kundi moja..

Najaribu kuwaza ndugu zake Tundu Lissu na ndugu wa wengine niliowataja hapo juu nao wanatakiwa wamsamehe Polepole kama wadau wanavyoshauri hapa.. Vaa viatu huyo Tundu Lissu ni wewe au ndugu yako...
 
Pole pole alinywea kikombe alichostahili kwasababu wao ndio waanzilishi wa kuteka watu na kupoteza watu enzi za magufuli alichopata alisitahili kukipata.
Alijirudi na kutubu huku akishiri bega kwa bega katika harakati za kupambania haki, wahenga walinena better late than never.
Lakini hapohapo kuna maswali ya kujiuliza, what were his motives? Je ni kwamba alikuwa ambitious auangushe mbuyu ili ajitengenezee nafasi ndani ya mbogamboga united? Je hizi rumors ya kwamba kuna factions ndani ya mbogamboga hivyo vigogo wapinzani ndani ya chama walikuwa wamemtanguliza kama chambo ili labda;
(A)-Chama cha mbogamboga kisambaratike into two na team Polepole waje na gear ya kwamba wao 'wazalendo' wameshindwa kuvumilia mienendo ya mafisadi ndani ya chama hivyo waneamua kuanzisha chama chao.
(B)-Kumpigisha 'shoti' Samia ili aanguke na Sukuma gang(waanzilishi wa genge la wasiojulikana) labda watapata nafasi kukikamata chama kwani Jiwe hakuwa mjanja kukitengenza chama cha mbogamboga kiwe kimeiva kwenye mrengo anaoutaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…