Maswali fikirishi shambulio la Tundu Lissu

nditolo

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
3,609
4,097
Naleta maswali yanayonitatiza sana.

1. Je? Ni kweli kuwa ili kupeleleza tukio lolote ni lazima muhusika atoe ushirikiano na wapelelezaji?

2. Yes hata kama muhusika ameshindwa kutoa ushirikiano.

Inasemekana wauaji/waliokusudia kumuua Mbunge Tundu Lissu walishika kitasa cha mlango wa gari baada ya kuona umelokiwa wakaamua kuuacha na kupiga risasi wakijua bullet haziwezi kuzuiwa na material ya ukuta wa mlango wa gari.

Je? Imeshindikana kutumia wataalamu wa maabara ili kupata DNA za wapigaji?

3. Wanasema alipigwa kwenye makazi ya viongozi.

Je? Hakukuwa hata na wafanyakazi wa ndani ili waulizwe kama Hilo tukio walilishuhudia.

4. Police kama kweli Wana Nia ya kuendelea na kufungua file la upelelezi wameshindwa kujua details za ulinzi siku hiyo ili waliokuwa walinzi eneo Hilo waulizwe ni nani alitoa amri siku hiyo kuondolewa ulinzi?

Wito Kwa Mzee Kinana, mshauri rais waliohusika wakamatwe ili nafsi zilizoumizwa ziponywe.
 
Achana na tabia za kuhangaika na marehemu waliolala mauti
Hizo ni dalili za wanga.
Hayo maswali nenda polisi ukayatoe huko kama unaamini hayajawahi kufanyiwa kazi.
 
Achana na tabia za kuhangaika na marehemu waliolala mauti
Hizo ni dalili za wanga.
Hayo maswali nenda polisi ukayatoe huko kama unaamini hayajawahi kufanyiwa kazi.
Marehemu alikuwa kama hitler hivyo lazima asemwe vizazi na vizazi na wala siyo kizazi hiki tu. Atasemwa kwa mambo yake mema na mabaya. Mbona Hitler, Musolini, Mobutu na wengine kama huyo mtu wenu wanasemwa na watu wao hawalalamiki kuwa haonwatu ni marehemu?
Vumilia ndiyo malipo ya ubaya wako hayo
 
Achana na tabia za kuhangaika na marehemu waliolala mauti
Hizo ni dalili za wanga.
Hayo maswali nenda polisi ukayatoe huko kama unaamini hayajawahi kufanyiwa kazi.
Kila mtu uamua mwenyewe asemwaje akifa.Hatumsemi marehemu tunayasema matendo ya marehemu
 
Lilikuwa ni shambulio la hovyo kabisa lililofanya na watu wa hovyo kabisa sema tu walikuwa na access na utawala.
Hata mama alisema police wao wasingekosa shabaha
 
Mi naona tundu aliamua kukodi watu wampige ili apate kiki kugombea uraisi
......... haiwezekani risasi zote zile zimkose. .....Kwan yeye Ni JINI?
 
Aliyewatoa walinzi siku ile, aliyezima cctv pia walitoa namba ya gari lilokuwa linawafutilia nani mmiliki wake.Sijui nimekusaidia mkuu Demi
Hao wote wanatakiwa kuhojiwa lakini kwanza si ni wahusika wakuu waanze kutoa maelezo? Kwa uelewa wangu mdogo kesi kuanza polisi wanahojiwa kwanza wahusika wakuu waliotendwa...lissu na dereva, then baada ya hapo mengine yanaendelea.
 
Back
Top Bottom