Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 37,402
- 79,644
Ni ukuu upi wa mungu umeonekana hadi sasa?Mpango wa Mwanadamu sio mpango wa Mungu.
Ilikuwa ni lzm muhusika afe kabla ya Lisu Ili uKuu wa Mungu uonekane
Ni ukuu upi wa mungu umeonekana hadi sasa?Mpango wa Mwanadamu sio mpango wa Mungu.
Ilikuwa ni lzm muhusika afe kabla ya Lisu Ili uKuu wa Mungu uonekane
Unda picha km angekufa maelezo wangeyatoa wapi,Hao wote wanatakiwa kuhojiwa lakini kwanza si ni wahusika wakuu waanze kutoa maelezo? Kwa uelewa wangu mdogo kesi kuanza polisi wanahojiwa kwanza wahusika wakuu waliotendwa...lissu na dereva, then baada ya hapo mengine yanaendelea.
Vipi kama huyo Tundu Lissu na dereva wake wangepoteza maisha kupitia hilo shambulio? Wangehojiwa wakiwa marehemu? Au kesi isingekuwepo kwa sababu wahanga wamefariki eneo la tukio?Mkuu, sasa polisi wataanzia wapi kama wahusika wasipohojiwa? Naomba kueleweshwa
Sheria haifanyi imaginations. Lissu yupo hai akitaka kupata haki itendeke akiwa bado hai anaweza.Unda picha km angekufa maelezo wangeyatoa wapi,
Waliotaka Lisu afe wamekufa wao kabla yake.Ni ukuu upi wa mungu umeonekana hadi sasa?
Kuhoji mtu nilazima muhusika aje.Au mnataka dereva aje mmalize.Jinai aifi,ngoja waendelee kufa kwanza wahusika Ili akirudi apate salamaSi Lisu wala dereva wake ambaye yuko tayari kutoa ushirikiano, yani amepigwa risasi yeye lakini anataka wakahojiwe watu wengine. Jinga kabisa
Vipi kama huyo Tundu Lissu na dereva wake wangepoteza maisha kupitia hilo shambulio? Wangehojiwa wakiwa marehemu? Au kesi isingekuwepo kwa sababu wahanga wamefariki eneo la tukio?
Vipi kama tukio kama hilo hilo lingetokea kwa kiongozi wa Serikali, au chama cha Mapinduzi? Mfano Waziri, Spika, Naibu spika, Katibu mkuu wa CCM, nk! Bado unadhani wangetakiwa kutoa ushahidi katika tukio la kuogofya kama lile?
Sasa kelele za nini tena kama Mungu ameshasawazisha?Waliotaka Lisu afe wamekufa wao kabla yake.
KILA baya walipangalo uwarudia wao mara 7
Na baada ya tukio kwann walinzi wale walihamishwa nje ya mkoa kabisa. Baada ya tukio zile gari zilizokuwa speed toka Dom kuelekea Dar pasipo kuzuiwa na traffic ambazo zilitambulika kwenye tukio zilikuwa ni za nani?Aliyewatoa walinzi siku ile, aliyezima cctv pia walitoa namba ya gari lilokuwa linawafutilia nani mmiliki wake.Sijui nimekusaidia mkuu Demi
Bado mmoja mwenye mkoa wake Ili hesabu itimieSasa kelele za nini tena kama Mungu ameshasawazisha?
Itajulikana upelelezi/kesi ikianza.Na baada ya tukio kwann walinzi wale walihamishwa nje ya mkoa kabisa. Baada ya tukio zile gari zilizokuwa speed toka Dom kuelekea Dar pasipo kuzuiwa na traffic ambazo zilitambulika kwenye tukio zilikuwa ni za nani?
Kwani Mungu kamuacha?Bado mmoja mwenye mkoa wake Ili hesabu itimie
Hapana..1. Je? Ni kweli kuwa ili kupeleleza tukio lolote ni lazima muhusika atoe ushirikiano na wapelelezaji
Ili ashuhudie uovu wake kwamba Hakuna siriKwani Mungu kamuacha?
Aliyerudi kung'oa CCTV ujasiri huo ni nani?Unaamini JPM alitoa amri, ulikuwepo?
1. Kama ni chama chake kinahusika?maana pia kama unaongea mambo ya kufikirika pia watu walisha sema alitaka uenyekiti ktk chama chake na ndiyo sababu.
2. Kama aliwahi kupindisha sheria ktk kesi fulani na Wenye haki iliyo dhulumiwa ndiyo walimfuata?
3. Yeye ni nani kiasi asiwe na adui wa kawaida ktk jamii.
4. Serikali na mkuu wa nchi aende akatumie njia ya risasi itakayo leta maneno mengi akose majajusi wa kumpoison kimya kimya?
5. Dereva wake aliyekua ndiyo shahidi wa kwanza walienda naye na wakawa hawataki hata kumrejesha ili ahojiwe nini kilitokea,na yeye hana jeraha hata moja?mmmh!
Brother,wananchi tuko na akili pia
Pa kuanzia ni nani alitoa amri ya kuwaondoa walinzi siku ya tukio na kwanini waliondolewaMkuu, sasa polisi wataanzia wapi kama wahusika wasipohojiwa? Naomba kueleweshwa