Maswali fikirishi shambulio la Tundu Lissu

Vipi kama huyo Tundu Lissu na dereva wake wangepoteza maisha kupitia hilo shambulio? Wangehojiwa wakiwa marehemu? Au kesi isingekuwepo kwa sababu wahanga wamefariki eneo la tukio?

Vipi kama tukio kama hilo hilo lingetokea kwa kiongozi wa Serikali, au chama cha Mapinduzi? Mfano Waziri, Spika, Naibu spika, Katibu mkuu wa CCM, nk! Bado unadhani wangetakiwa kutoa ushahidi katika tukio la kuogofya kama lile?
Unatumia kinywaji gani Bro
 
Unaamini JPM alitoa amri, ulikuwepo?

1. Kama ni chama chake kinahusika?maana pia kama unaongea mambo ya kufikirika pia watu walisha sema alitaka uenyekiti ktk chama chake na ndiyo sababu.

2. Kama aliwahi kupindisha sheria ktk kesi fulani na Wenye haki iliyo dhulumiwa ndiyo walimfuata?

3. Yeye ni nani kiasi asiwe na adui wa kawaida ktk jamii.

4. Serikali na mkuu wa nchi aende akatumie njia ya risasi itakayo leta maneno mengi akose majajusi wa kumpoison kimya kimya?

5. Dereva wake aliyekua ndiyo shahidi wa kwanza walienda naye na wakawa hawataki hata kumrejesha ili ahojiwe nini kilitokea,na yeye hana jeraha hata moja?mmmh!

Brother,wananchi tuko na akili pia
Ujinga ni kipaji.
Alitoa walinzi na cctv?
 
Unaota mchana kabisa. Kama angetuma amri huyo hayati. Kwanini wakampigie mahali Pa wazi. Hata boda boda tu angeweza kumwuua kwa laki tatu. Acha kutumia IQ yako ya under normal average kujaza upuuzi.
 
Vipi kama huyo Tundu Lissu na dereva wake wangepoteza maisha kupitia hilo shambulio? Wangehojiwa wakiwa marehemu? Au kesi isingekuwepo kwa sababu wahanga wamefariki eneo la tukio?

Vipi kama tukio kama hilo hilo lingetokea kwa kiongozi wa Serikali, au chama cha Mapinduzi? Mfano Waziri, Spika, Naibu spika, Katibu mkuu wa CCM, nk! Bado unadhani wangetakiwa kutoa ushahidi katika tukio la kuogofya kama lile?

Vipi Vipi. Acha kujaza JF na ujinga. Dereva hajafa na wala Lissu hajafa. Na polisi sio kwamba hawajafanya kazi. Kunahitajika ushirikiano. Na hiyo Ni kawaida kwa kesi Zote. Na Mara nyingi wahusika husaidia sana. Dereva Ni muhimu sana. Sasa kama hiyo Imagination yako ingekuwa pure ungeojiuliza why dereva na nani amemlipia magharama ya kutoenekana. Je. Mbowe. Je. JPM Nk. Siasa Ni mchezo wa Hatari sana. Unapoona umeelewa. Ujue ndo Hakuna kitu.
 
Sheria haifanyi imaginations. Lissu yupo hai akitaka kupata haki itendeke akiwa bado hai anaweza.
Ninachoona mimi ni kelele za mitandaoni tu but no real actions. Nipo upande wa lissu kutaka kujua nini hasa kilitokea.

Labda unasuggest serikali ifanyeje kama muhusika mwenyewa hajaenda kulalamika?
Naomba nizidi kuelimishwa tafadhali inawezekana kuna kitu bado sijaelewa
Mauaji au jaribio la mauaji ni kesi ya Jamhuri vs … Tukio li wazi. Lissu hatakiwi kwenda polisi kulalamika au kushtaki. Yeye na Dereva wake wanaweza kuitwa kama mashahidi ikibidi. Kama kafa au kaparalyse kesi inaendelea.

Msipoteze muda wenu. Hii ni kesi ambayo DPP hana nia nayo. Kama ile ya mauaji ya Mwangosi au kama alivyopindisha ya mauaji ya Akwilina.
 
Unaota mchana kabisa. Kama angetuma amri huyo hayati. Kwanini wakampigie mahali Pa wazi. Hata boda boda tu angeweza kumwuua kwa laki tatu. Acha kutumia IQ yako ya under normal average kujaza upuuzi.
Walimpigia mahali pa wazi kwa vile walikuwa na kibali na jeuri yote ya dola. Kwa nini wavizie vichochoroni? Ila waliopanga na waliotekeleza lile tukio wote walikuwa ama mazuzu au waoga wa kupindukia. Very unprofessional.

Mama alikuwa sahihi ingawa alipitwa na maadili kusema kuwa: wangekuwa “askari wetu” wasingetumia zaidi ya risasi tatu! Sijui ilikuwa mihemko ya kampeni?
 
Na baada ya tukio kwann walinzi wale walihamishwa nje ya mkoa kabisa. Baada ya tukio zile gari zilizokuwa speed toka Dom kuelekea Dar pasipo kuzuiwa na traffic ambazo zilitambulika kwenye tukio zilikuwa ni za nani?
Aione Demi
 
Mauaji au jaribio la mauaji ni kesi ya Jamhuri vs … Tukio li wazi. Lissu hatakiwi kwenda polisi kulalamika au kushtaki. Yeye na Dereva wake wanaweza kuitwa kama mashahidi ikibidi. Kama kafa au kaparalyse kesi inaendelea.

Msipoteze muda wenu. Hii ni kesi ambayo DPP hana nia nayo. Kama ile ya mauaji ya Mwangosi au kama alivyopindisha ya mauaji ya Akwilina.
Asante kwa ufafanuzi mkuu.
 
Haki inaweza kuchelewa lakini lazima itendeke siku moja, na itakuwa furaha ya wapenda HAKI!
 
Unaamini JPM alitoa amri, ulikuwepo?

1. Kama ni chama chake kinahusika?maana pia kama unaongea mambo ya kufikirika pia watu walisha sema alitaka uenyekiti ktk chama chake na ndiyo sababu.

2. Kama aliwahi kupindisha sheria ktk kesi fulani na Wenye haki iliyo dhulumiwa ndiyo walimfuata?

3. Yeye ni nani kiasi asiwe na adui wa kawaida ktk jamii.

4. Serikali na mkuu wa nchi aende akatumie njia ya risasi itakayo leta maneno mengi akose majajusi wa kumpoison kimya kimya?

5. Dereva wake aliyekua ndiyo shahidi wa kwanza walienda naye na wakawa hawataki hata kumrejesha ili ahojiwe nini kilitokea,na yeye hana jeraha hata moja?mmmh!

Brother,wananchi tuko na akili pia
Wewe jamaa huna tofauti na kinyesi cha mateja takataka kabisa wewe nadhani angepigwa baba yako ndy ungepata akili
 
Alie panga njama nayeye si keshakufa??hakuna kitu hapo Lisu asamehe tu la sivyo wataanza kubambikia vichaa kesi.
 
Ukweli wa tutashitakiwa MIGA?

Kupigwa kwake risasi kulisaidia sana taifa kusaini mikataba mipya ya madini
Una akili fupi Sana! Mikata a unayoishadadia ni Ile ambayo haijaleta gawio Hadi Sasa au Kuna mingine? Au unamaanisha Ile mkataba wa kumwaga kemikali mto mara?
 
Back
Top Bottom