Maswali 38 kabla ya kuoa au kuolewa pt 1

Maswali 38 kabla ya kuoa au kuolewa pt 1

BRO LEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2011
Posts
838
Reaction score
628
Dondoo:

  • Mpangilio wa maswali c kwa umuhimu.
  • Baadhi ya maswali yanaweza kuwa yanaelemea imani fulani ya kidini hivyo km halikuhusu potezea 2 mkuu.


  1. unajua wajibu wa ndoa na upo tayari kuubeba bila kutegemea wazazi au walezi wako?
  2. Je. uwezo wako wa kuelewa kiakili na kiroho unatosha kukabiliana na matatizo kama yatajitokeza katika ndoa?
  3. Kwa nini unataka kuoa au kuolewa au ni kwa vile unaona watu wakifanya hivyo au ni tamaa?
  4. Je, una tabia ya kuchukia uchafu?
  5. Je, upo tayari kuishi na mwenzako maisha ya aina yoyote yale kwa hiari na kwa amani?
  6. Je, una matatizo ya ubinafsi, majivuno, kiburi na dharau?
  7. Je, upo tayari kushirikiana kwa kila kitu na mwenzi wako badala ya kusema changu utasema chetu/yetu?


Yataendelea.
 
Endelea kutoa changamoto kwa vijana ambao bado wanatafakari? Niongezee nami kidogo
Before getting married you are incomplete but once married you are finished!!
 
wewe kweli bado teenager! ukikua ataacha
Nilitarajia hilo, ila c kwamba nimekurupuka ni maswali ambayo niliyapitia kabla ya kuoa hivyo kuniita teenager ni mtizamo wako, Ndo maana kikaweka angalizo km haikuhusu potezea tu .
 
HUYU MTOA MADA LAZIMA TUH ATAKUA NI HAWA FORM 4 LEAVER YUPO MTAANI ANASUBIRI MAJIBU YA MTIHANI WAKE WA KIDATO CHA NNE,,

WANASEMA YUPO LIKIZO YA MKAPA...!!

VIPI,HUKUANDIKA BONGO FLEVA KWENYE PAPER LENYEWE LAKINI??

:madgrin: :madgrin:
 
HUYU MTOA MADA LAZIMA TUH ATAKUA NI HAWA FORM 4 LEAVER YUPO MTAANI ANASUBIRI MAJIBU YA MTIHANI WAKE WA KIDATO CHA NNE,,

WANASEMA YUPO LIKIZO YA MKAPA...!!

VIPI,HUKUANDIKA BONGO FLEVA KWENYE PAPER LENYEWE LAKINI??

:madgrin: :madgrin:

Acha kebehi na udhalilishaji. Heshimu sana, tena sana mtu usiyemjua.
 
acha kebehi na udhalilishaji. Heshimu sana, tena sana mtu usiyemjua.


heee,,mbona imekutachi ivo??

We inakuhusu nini,,unajuaje je kama sisi ni watani??
Yatakushinda fanya yako..!!

Jamvi kubwa hili..
 
Naona points zenyewe ni nyepesi mno! Ila si haba, zinasaidia kwa wanaojiandaa...
 
Back
Top Bottom